JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hillary Clinton ameshinda midahalo yote mitatu wakati Donald Trump ameshinda uchaguzi *Funzo:* Usibishane na mkeo katika maneno atakushinda tuu
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Leo November 11ni birthday yangu nimeona pamoja na kujitathmini kimaisha, si vibaya nikatathmini mustakabali wangu kama member wa Jf. Kwa muda mrefu nilikuwa nawafuata pm baadhi ya warembo wa Jf...
6 Reactions
68 Replies
3K Views
Wanawake Wa Mjini Sio wa Kuwawekea Wivu Hata Kidogo Unaweza Kuumwa Kila siku Ukimpenda Mpende Ila usiweke Moyo wote Kwake Hawajui Kulima ila Wanajua kuvuna..!
4 Reactions
28 Replies
4K Views
Je umewaza kumiliki mjengo wako wa maana kwa Pesa yako yakuchanga changa. Sasa hii ni kwaajili yako mpenda vya rahisi. Wahi kabla haija..... _Jamani kuna nyumba inauzwa *milioni 8 tu* ipo vizur...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
*Mimi ni kijana mchapakazi, namiliki nyumba yangu mwenyewe na naendesha biashara kibao hapa mjini, natafuta msichana mrembo mwenye umri kati ya miaka 23-28 aniazime charger ya HUAWEI* *ndugu zangu...
6 Reactions
10 Replies
3K Views
Ukistaajabu ya musa........ Kweli dunian kuna vituko, Leo nilikua baa moja ya rafki angu (Kona Bar), Basi bwana, Wakati napata Kinywaji laini huku nikisindikizwa na Mziki mwanana kutoka kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekutana na huu ujumbe leo..nifanyeje kwenye kompyuta yangu
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Trafik mlevi alisimamisha gari Mama akapaki pembeni akaona trafik anakuja akiwa anayumba! Alipofika akasema, "naomba leseni yako." Mama akasachi mkoba Wake akatoa kioo kidogo cha kujtazama...
8 Reactions
5 Replies
2K Views
MTU PEKEE AMBAYE MWANAMKE ANAWEZA KUMSIKILIZA KWA MAKINI NA AKAMUELEWA AKAFANYA VILE HASWA INAVYOTAKIWA NI MPIGA PICHA TU VINGINEVYO KUWA MPOLE TU NDUGU...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hawa watakuwa kabila gani?
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Nauliza mahali hizi ofisi zilipo. Tafadhali nisaidieni.
2 Reactions
53 Replies
6K Views
Ule msemo wa kufa kufaana unajidhilisha LEO Wengi wamepata kujua uchafu, hila Na njama pamoja Na usaliti wa huyu mzee Alikua ana wasaliti ccm Na kuvujisha siri za utawala kwa vijana wa upinzani...
0 Reactions
2 Replies
849 Views
Jamani nilizoea kumwona kikulacho huku MMU.... Ila siku hizi simuoni tena,nini kimempata???? Amekua kimya kwa muda au kahama jukwaa??? Kikulacho a mishuuu popote ulipo,michango yako...
1 Reactions
45 Replies
3K Views
Kuna mwalimu wa shule moja ya sekondari alikuwa amezoea kumchapa viboko mwanafunzi mmoja mchelewaji. Mwanafunzi huyu alikuwa akichelewa kipindi cha kwanza kila siku. Hivyo, siku ambazo mwalimu...
1 Reactions
7 Replies
768 Views
Jf Ni Kwa Sasa Sio Tu Inafundisha Na Kuburudisha Pia Inajenga Mahusiano Na Connection Mbalimbali Kama Vile Elimu,biashara,kijamii Na Uchumi Tuko Members Mbalimbali Wenye Michango...
1 Reactions
8 Replies
816 Views
A guy was in a daladala and his phone rang. It was his wife calling and he wanted to show off so he decided to put his phone in aloud speaker and answered... HIM; Hi! Sweetheart missing me...
6 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom