JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
HIFADHI MAZAO BILA KUTIA DAWA Kwa ajili ya kulinda afya ya mlaji, tumia mifuko ya kisasa (helmetic) kuhifadhi mazao yako. Mifuko inaitwa PICS Na AgroZ. Ukubwa: kilo 100 Bei: 4000 Tutakutumia...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Sasa wewe jifanye unampenda sana ukaanza kumsomesha,kabla hujachukua maamuzi tambua kwamba mwanamke hasomeshwi Hawana wema hawa viumbe,unaweza kumsomesha mpaka masters halafu ukaambulia kupewa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habarini ndugu wana Jf nimatumaini yangu mko vizuri mnaendelea na majukumu Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni kushirikishana tabia zinazo kuudhi ambazo zimekuwa zikifanywa na baadhi ya watu...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
*MWALIMU* angaiko mbona Leo unawaza sana darasani? [emoji18][emoji18] *angaiko* kwasababu baba yupo polisi na mama yupo hospitali *MWALIMU* ooh pole mwanangu, kwa hiyo unahitaji kwenda nyumbani...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
0 Reactions
1 Replies
1K Views
hii ni kwa wadada wote wa JF, kama boyfriend wako anakusaliti basi njoo PM tufanye mpango na sisi tumsaliti......na hiyo ndiyo maana halisi ya "malipo ni hapa hapa duniani" #WapostPumba
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ukiachana na wake up 7up whatsup break up ni up gani nyingine unayoifahamu?
0 Reactions
35 Replies
2K Views
Hanna kitu kigumu kama Siku ya kwanza katika maisha ya mgodini karibuni tukumbushane changamoto zilizo jitokeza
3 Reactions
41 Replies
9K Views
Maneno yanaponya, maneno yanaumba. Sema huwezi na tayari umeshashindwa, sema uko maskini na tayari umeshakua.....!! Japo waza wewe ni Bakhresa na tayari ushakua, Japo fikiria kuacha ulevi na...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Hodi
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari yenu wana jf hope mko poa wote. Niende kwenye mada husika je unasifika kwa tabia lipi mtaani kwako unapoishi? eg.upole,ukorofi,u-play boy or u-play girl,uongo,shilawadu(umbeya) n.k weka...
1 Reactions
135 Replies
7K Views
salaam wadau Naomba niingie Kwenye mada moja kwa moja,Baada ya kuingia Chaka nimeibuka na biashara moja Nzuri tu kwa aliye tayari, biashara yenyewe natafuta wateja nina meno matano ya tembo...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Wabongo Bwana wanapenda saaana kuagiza Vitu Unapotaka kusafiri kwenda mahali.. Ukienda Mtwara utasikia "Niletee Korosho" Ukienda Mbeya utasikia "Niletee Mchele" Ukienda Singida utasikia...
0 Reactions
6 Replies
984 Views
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Yaani kuna members wengine ni kama wamekwisha kukalili jina basi kila utakapo post kitu au kucomment kitu ni lazima ata kupinga au kukukashifu tu ilihali umeongea vitu vya kawaida tu, tena...
11 Reactions
82 Replies
6K Views
Wanaume ndivyo tulivyo, kutenda dhambi ni sekunde 1. Hebu soma hii: ```Wanandoa walizoea kudanganyana. Siku moja mke alilala nje aliporudi nyumbani mmewe akamuuliza ulilala wapi. Mke akasema...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Ukiangalia social media nyingine kama twitter, facebook na linkedin unatumia jina halisi pengine umeweka picha kabisa. Huko taarifa zako nyingi ziko wazi. Kwa nini hapa JF isiwe hivyo. Hata wale...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
"Baba paroko" Imeimbwa kwa lugha ya kiswahili ikichanganywa na kihaya Kwa anyejua mwimbaji wa hii nyimbo aniambie Asante ya utangulizi
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Back
Top Bottom