JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
MASIHARA! Kuna watu mwezi huu (mwezi wa mfungo) wanatumiana jumbe za simu za namna hii licha ya kwamba na wenyewe wanashiriki mfungo. Mwanaume:👁️‍🗨️ "Baby tukimaliza kufuturu, mida ya saa moja na...
8 Reactions
25 Replies
1K Views
Kwa kawaida kila mtu anakitu ambacho akinywa kinamfurahisha! Je wewe ni Kinywaji gani ukinywa unasikia koo limeshukuru!
13 Reactions
148 Replies
5K Views
Wakuu ni kitu gani ulinunua kwa pesa yako ya kwanza kulipwa au kupata iwe kwenye ajira rasmi,boom la chuo au pesa uliyoingiza kwenye biashara. Nakumbuka kipindi naanza chuo mwaka 2014 pale udsm...
5 Reactions
11 Replies
485 Views
Najua humu sio kila mtu anagombania Daladala/Mwendokasi, niambie usafiri wako wa kwanza ulinunua ukiwa na umri wa miaka mingapi..? Mimi 25 niliagiza Mkoko toka Japan. Funguka Mkuu..!
4 Reactions
165 Replies
7K Views
Shkamoo mama, najua protocol haziruhusu ila naomba unialike hata tusipo onana ni sawa, nahitaji tu kunywa chai ya ikulu na kupunga hewa kwa nusu saa kabla sijarudi mtaani kuendelea na utafutaji...
2 Reactions
10 Replies
417 Views
Muda wa kusogea sogea kwenye viwanja unakaribia; vijana wa zamani wanaita muda wa kwenda kuamsha popo. Ni muhimu kujipongeza kidogo pale panapo wezekana, na si kila siku kuwa bize kwenye...
1 Reactions
2 Replies
210 Views
Mwanamke mmoja amekutwa akiwa mtupu katika ofisi za TANESCO manispaa ya songea mkoani Ruvuma, mwanamke huyo inadaiwa alikua akisafiri kwa UNGO akitokea mkoani Mtwara na akielekea Nyasa lakin...
4 Reactions
38 Replies
1K Views
Naona kwenye movie zao wazungu unaingia ofisini kwa boss kabla hamjaanza maongezi unashangaa anafungua kabati anatoka na ka whisky au ka wine una pewa toti mbili glass nusu ili kulegeza kidogo...
1 Reactions
10 Replies
456 Views
Siku hiyo nilienda msibani ambapo nilifiwa na mjomba wangu, sasa kama unavyojua kwenye msiba ndugu mbalimbali hukutana. Na siku hiyo alikuwepo ndugu yangu ambaye alikuwa ni binti mrembo sana na...
18 Reactions
63 Replies
2K Views
Happy doctor’s day to all the doctors hapa Tanzania na duniani kote tunaheshimu mchango wenu katika huduma ya afya na maisha yetu ya kila siku. Happy doctor’s day once again.
2 Reactions
13 Replies
809 Views
Watu wanaokosa lugha za staha wananiuzi sana. Ila nyuzi zilizonifurahisha nikacheka sana in 2025 ni 👇 ...
11 Reactions
47 Replies
1K Views
Vp maeneo uliyopo au hali ni kawaida?
10 Reactions
113 Replies
3K Views
--- BTW - Mwenye kujua jina la mwimbaji / jina la wimbo sikiliza dakika ya 2:53
5 Reactions
12 Replies
676 Views
Wadau, Naamini Wikiendi ilikuwa njema. Rejeeni thread ya Preta HII-HAPA. Kikao kilifanyika Jumamosi Eneo la MERU VIEW, na Hadidu Rejea zifuatazo zilikubaliwa na kupitishwa na wana-Wing...
28 Reactions
1K Replies
54K Views
2006 ulikuwa wapi? Mimi nilikuwa ndio nazaliwa wewe je? 😂😂😂
28 Reactions
670 Replies
20K Views
Kulikuwa na asili ya Warusi waishio Mbagala na Buza ni jina walilopewa kwenye mijadara ya mitandao ya kijamii mpaka hapa JF. Hawa Warusi wa Buza na Mbagara kipindi vita inaanza tulikuwa...
1 Reactions
2 Replies
314 Views
Nimeandika andiko kwa ajili ya kutafuta hela za ujenzi wa chuo kikuu matata, ambacho kitakuwa kinafundisha mambo ya biashara kuanzia ngazi ya cheti mpaka PhD. Katika andiko hilo, nimependekeza...
1 Reactions
1 Replies
186 Views
Unapotoa lifti kwa baadhi ya watu tegemea mambo haya, - Wizi/ukwapuaji - si ajabu umempakiza mkaka mtanashati au mdada mlimbwende lakini anaposhuka akaondoka na kitu chako hasa hivi vitu vya...
8 Reactions
34 Replies
2K Views
Ukitumia somo la historia, kama somo la kukupa mbinu za kupambana kimaisha, linaweza kukusaidia. Ebu fikiria ukoloni ulivyoingia Afrika, kwa kutumwa wajumbe mbalimbali kuja kufanya utafiti na...
4 Reactions
37 Replies
1K Views
Tazama huyu mwizi wa simu alibambwa kirahisi hadi akaona aibu mwenyewe
1 Reactions
6 Replies
513 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…