JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ulishawahi tuma message ndefu yenye maumivu makali ukajibiwa " SAWA ". Ulichukuwa uamuzi gani?
2 Reactions
5 Replies
414 Views
Usiku wa leo ukipigiwa simu na mpenzi wako, Kata simu mtumie message "AMELALA" alafu zima simu lala. Utakuja kunishukuru kesho asubuhi 😁.
4 Reactions
8 Replies
507 Views
Mfano umetuma kimakosa shilingi 500,000 kwenye akaunti isiyo sahihi, ukampigia simu uliyemtumia Ili akurejeshee mpokeaji simu akasema atakata 100,000 na akurudishie 400,000 Kwa huzuni kubwa...
3 Reactions
7 Replies
463 Views
Nimekutana na hili swali sehemu "Ni kitu gani ambacho hauna lakini Watu wanadhani unacho?" Mimi nimejibu "Watu wanajua nina hela kumbe kapuku tu ninayejua kujitunza na kuwa na muonekano wa...
14 Reactions
108 Replies
5K Views
Picha hii ilipigwa mwaka 1959 na rubani wa helikopta kutoka Ubelgiji, Kanali Remy Van Lierde, wakati akiwa doria juu ya eneo la Congo. Nyoka aliyemuona alikuwa na urefu wa takriban futi 50 (sawa...
0 Reactions
6 Replies
443 Views
Habari Wakati umelala kitandani hua unakumbatia nini? 1.pillow/mto 2.mwenzi wako 3.doll 4.kitabu cha imani 5.unajikumbatia mwenyewe...
4 Reactions
69 Replies
5K Views
Inasemwa kuwa “wewe ni kile unachokula” kwa kumaanisha kuwa mwonekano wetu na afya ya mwili na akili unajengwa na chakula tunachokula. Madhara ya chakula chetu tunachotumia yako pia katika ngozi...
1 Reactions
5 Replies
7K Views
Habari za majukumu, Pamoja na mada nzuri na taarifa mbalimbali zinazotolewa hapa JF, wakati mwingine najikuta nacheka mwenyewe kwa baadhi ya ID/Username zanazotumiwa na baadhi ya members. Japo...
10 Reactions
26 Replies
2K Views
Hili ni baada ya kuwafahamu kina amosi wengi sana nilio kutana nao katika maisha yangu ya kawaida , nadhan ndugu msomaji hebu na wewe wakumbuke kina amosi ulio kutana nao kwenye maisha yako kisha...
2 Reactions
7 Replies
341 Views
Mshahara bado haujaingia, akaunti hazisomi ila ni uhakika kuwa Yesu anafufuka keshokutwa na tutasherehekea. Unamjibu vipi boyfriend au girlfriend wako akikuomba hela weekend hii?
7 Reactions
112 Replies
3K Views
Hodi hodi JF Wakongwe tumeamua kurudi JF, vitoto vya 2000's mtupishe. Ngoja niifufue na ID yangu ya wakati JF inaitwa Jambo forum. Uzi tayari toka kwa wazee wenu wa JF. 😀😀😀😀
4 Reactions
10 Replies
704 Views
Kwa mchango wa Wasanii wetu katika ushindi wa Chama. Jux alistahili Boeing 787 impeleke pamoja na Wasanii wote Lagos achukue jiko na kumrudisha nchini. Pia ubalozi wetu Abuja ilipaswa kushiriki...
4 Reactions
14 Replies
763 Views
Hii huwa inajirudia rudia sana kichwani kwanini mzee yule aliwakataza vijana wake wasinipige na akateua wawili wale wakubwa wanipeleke na wa hakikishe nimefika salama salimini bila kupigwa...
9 Reactions
13 Replies
888 Views
Nipo Bunda kupumzika kwa wiki nzima.Pia nitakuwa nawatembelea baadhi ya rafiki zangu ambao wamestaafu kama mimi na wanaishi mbali kidogo na mji huu.
3 Reactions
31 Replies
1K Views
Bandugu bado nauguza maumivu, njooni tujiburudishe na kazoezi haka nilikokawaza asubuhi hii. Niambie mambo matatu - mawili ya ukweli na moja la uongo yaliyotokea kwako kwa mwaka 2025 na mimi...
5 Reactions
102 Replies
2K Views
1. Kula ugali kwenye sufuria. Badala ya kuweka kwenye sahani usipakue kula palepale dona lako likiwa la moto. 2. Kunywa maji kwenye glass. Unaposikia kiu ukanunua maji yako ebu usinywe kwenye...
4 Reactions
20 Replies
725 Views
Some timez ilimradi haiumizi hesabu, afya au status yako ... Fanya maamuzi ya kuushtua moyo wako kwa furaha ... utakuja kujishukuru siku unakufa ..... Sababu Kama mwanadamu unahitaji pia Mambo...
9 Reactions
92 Replies
2K Views
Wakuu hivi ni kweli hayo yanayosemwa mbona mimi nakunywa najionaga kawaida tu 🤔
5 Reactions
60 Replies
2K Views
Muwe mna vi prone basi...visichachamae sana vinatutisha mnakuwa kama Alshabaab au Boko Haram.. Hongera zenu mnaojua kuvisawazisha vizuri halafu vinywele viwe na texture ngumu hakika mnaupiga...
29 Reactions
361 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…