JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari wadau mko njema kabisa Natumaini wazima kabisa, Basi Sasa kama kichwa cha Uzi kinavyosema naomba kujua utaratibu upoje wa kupata kisimbusi kipya yani kinga'muzi cha Startimes upoje, maana...
0 Reactions
0 Replies
253 Views
Habari wanaJF Bila kupoteza muda hizi ndyo kazi ambazo sitamani kabisa mwanangu aje kuzifanya hata kama zina pesa nyingi. 1.Polisi 2.Barmaid 3.Muigizaji(Kwa mtoto wa Kike) 4.Secretary wa MaBoss...
13 Reactions
74 Replies
2K Views
Haya majina ni majina ya kiasili ya mikoa ya Nyanda za juu kusini. 1. Ang’ombwize 2. Alatuhiga 3. Atupele 4. Tulalumba 5. Mwadalihe 6. Ambwene 7. Anzawe 8. Chengula 9. Mgaya 10. Mbilinyi 11...
3 Reactions
118 Replies
3K Views
Naenda kushangaa mema ya nchi. Nimetoka Mtwara ( Tandhahimba) kwenye mnada wa korosho. Huko wadangaji sio hata watoto wa Mtwara. Ni mademu kutoka Dar halafu wengi wao hawataki hela. Wanataka...
6 Reactions
63 Replies
4K Views
Tupo katika kipindi ambacho wahitimu wa kidato cha sita wanatarajia kujiunga na vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini. Swali ni kwamba wanachuo watarajiwa wameandaliwa mazingira mazuri ya malazi...
9 Reactions
27 Replies
2K Views
Yaani wote ninaowafahamu wako hivyo. Sasa nawachunguza nisiowajua ili nigundue kitu
2 Reactions
29 Replies
861 Views
Habari wa JF. Kama title inavyojieleza hapo juu nahitaji chimbo ya jeans kkoo kwa bei ya jumla, kuna jamaa niliongea nae leo tuonane kkoo anipeleke matokeo yake hapokei simu ko nimeenda nimerudi...
0 Reactions
7 Replies
898 Views
Inasikitisha mwanamke wa sasaivi ana lalia shuka two weeks na haoni shida kabisa wakati kwa kawaida shuka linatakiwa libadirishwe ndani ya siku tatu kama hakujatokea maangamizi ya kitandani lakini...
9 Reactions
98 Replies
3K Views
Tujuzane mapema una hisia na mimi za kunyanduana au umetamani tu wallet yangu sema mapema.. nijue. Unakuja na Shobo nyingii unaonesha unanitaka alafu kwenye mizagamuo unasema tufanye kidogo 😥
10 Reactions
42 Replies
1K Views
Wakuu, Ni kitambo kidogo sijaona akichangia au akianza mada hapa JF member mwenzetu FaizaFoxy Au pengine yuko jimboni anaomba ridhaa ya wananchi wake?
1 Reactions
55 Replies
6K Views
https://www.facebook.com/reel/2040320036421591
2 Reactions
3 Replies
426 Views
Kwa Sasa hivi mimi ni Principal Bachelor
3 Reactions
13 Replies
554 Views
Ikiwa na nyuma na mbele ni sahihi kabisa! Lakini sio ndani na nje Atakayeona ni nani Kama umegeuza? Kama ni mchumba wala Hana huo muda maana wakati huo wala akili yake haiwazi hayo.. ndio maana...
9 Reactions
57 Replies
1K Views
Am addicted to this superstitional entity called JamiiForums. I cant even rest for merely five minutes without my brain craving to it. Even my other hobbies like dooking and hooking are melting...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Wakuu kwema?. Naomba kuuliza mazee. Nimecheki Facebook nimeona VYUMBA vya kupanga maeneo ya KIMARA SUKA vinapositiwa bei rahisi alaf vizuri kinoma Kuna Nini huko. Mimi sijawahi kufika huko
1 Reactions
6 Replies
648 Views
Kati ya majina marefu ya kiasili niyajuayo ni haya: Uvuvwevwevwe Onyetenyevwe Ugwemubwem Ossas toka Nigeria. na Andriantsimitoviaminandriandehibe, Andriantsimitoviaminandriandrazaka, na...
1 Reactions
9 Replies
578 Views
Jamani hili toto,mrembo wa JF,nimemmiss sana,hata awe na watoto 17 ila kama hana mtu nipo tayari kumvalisha pete la ndoa. Akitoa chozi nimfute,nimkiss halafu nimtakie (nakupenda wewe peke yako).
3 Reactions
80 Replies
6K Views
Jamani nataka kuyaweka maisha yangu kizungu hasa kwenye upande wa chakula aya naombeni menu ya siku nzima. Menu ya kizungu.mfano chips,mayai pembeni na waini ,aya menu nyingine ya kizungu jamani...
9 Reactions
17 Replies
899 Views
Habari wana JF Natumaini tuna vipato tofauti tofauti humu ndani embu leo tupeane utaalamu kidogo wewe unaweza kusave kiasi gani kwa mwezi na ni asilimia ngapi ya kipato chako kwa mwezi hiyo ela...
5 Reactions
32 Replies
1K Views
Maana Kuna wengine muda huu saa 6 usiku ndo muda wao wa mapambano..kunakucha yaan👊 Tunaolala,basi na tulale salama. Kazi njema wana JF Usiku mwema wanaJF!🙏
13 Reactions
86 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…