JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Yes wazawa na wakuja uzi special Mjini hapa Dar tangia ufike una Christmas ngap Binfsi jiji hili la dar nina Christmas 24 Aya wewe mwenzangu hadi sasa hii ni Christmas ya ngapi kuwepo jiji hili
1 Reactions
9 Replies
420 Views
Nimependa sana some strategies zinazotumiwa na wahuni kuishi. Asee wahuni wana balaa sana, some tips natohoa kwao ili nipate kitu perfect mwakani. Mbinu kubwa ya utajiri ni ubahili, minimize...
10 Reactions
55 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu, Naomba kujua route rahisi kutoka Kigamboni to Kunduchi
1 Reactions
3 Replies
286 Views
Hawa jamaa wanahitaji pongezi kwa namna wanaaenda kwao kurudisha kilichopatikana pamoja na kujiweka tayari kwa kuingia mwaka mwingine. Hakika kwa misafara ya magari yanayoelekea Kaskakazini...
0 Reactions
2 Replies
357 Views
Nipo Dodoma napenda kuwafahamu wanajf mliopo huu mkoa? Ikiwezekana siku tukutane
4 Reactions
43 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu wana JF, nilikua naomba msaada wa yeyote anaeweza kunisaidia kupata nakala ya kitambulisho cha taifa
2 Reactions
2 Replies
458 Views
Naombeni kunitajia hotel nzurii na mpya za hivi karibuni hapa Dar es Salaam bei iwe affordable na sehemu iwe imetulia nawakilisha.
3 Reactions
21 Replies
2K Views
NI UTANI TU 😂😂 Kama umeona umri unakutupa mkono,na unatamani kurudisha miaka nyuma, Hemu Nenda hapo Ethiopia huko saivi ni 2017 Eti kadi yako ya bank unaambiwa umeweka namba ya siri,halafu ni...
2 Reactions
1 Replies
454 Views
Hello my friend's Hivi ni WhatsApp yangu tu ambayo leo haitumi text wala kupokea ujumbe? Mwanzo ilifunguka text zikaingia shida ikawa kujibu ukijibu inapotea ewani now haifunguki shida nini...
6 Reactions
46 Replies
1K Views
Sato mkubwa mwenye kilo 3 abanikwe naviungo na chumvi ya wastani mpaka akauke vizuri, halafu atengwe kwenye meza ya Dr Janabi na kaugali kadogo kama ngumi, pilipili iwepembeni iliyotengenezwa kwa...
4 Reactions
5 Replies
586 Views
Tumekamata mwizi tukaanza kukung'unta, piga mwizi mpaka akapandisha mapepo!. tukajua anatania tukaendelea kupiga tu! wacha mapepo ya mwizi yacharuke zaidi!, yakagoma hayasikii chochote ukirusha...
19 Reactions
43 Replies
2K Views
Huu mgahawa upo japani ni special kwa wavivu tu
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Jamani mwaka jana mwez wa 5 nilifanikiwa kupata mpenzi ambaye ni mzuri sijawah ona. Alikuwa Anagombaniwa na kila mtu mtaani. Alikuwa Ananipenda sana, tulikubaliana tutaoana.Alikuwa ni mgeni mtaa...
1 Reactions
46 Replies
5K Views
Wanazuoni na walioboboa kwenye uchumi hapa naishije Kwa siku Nikiwa na buku 3 na ramani zimegoma Hapo iwepo breakfast, lunch na dinner na nitambe kwa mtaa Naomba ushauri wa kina, me ni...
7 Reactions
77 Replies
2K Views
Niende kwenye mada moja kwa moja. Kwa wiki kadhaa sasa nimekuwa nikifanya mazoezi ya kunena kwa lugha na nimeshaanza kuweka stock ya mafuta ambayo yatakuwa ya upako nitapomaliza kuyaombea. Hii...
2 Reactions
11 Replies
457 Views
Kama wewe ni mkazi wa maeneo ya Goba Njia Nne au karibu na maeneo hayo, lazima utakuwa unaijua hii night club iliyopo njia ya Madale kwenye huu mteremko mbele kidogo ya stendi ya bajaj za Madale...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Mimi Kilimanjaro miaka na miaka 😁 tililika na wewe mwanawane😉
4 Reactions
43 Replies
2K Views
Inasemekana watu wenye akili nyingi ni waaminifu. Kwaiyo ukiona una mpenz kiruka njia jua yaliyomo hayamo!
3 Reactions
10 Replies
687 Views
Butesi ni jina la kike la Kihaya. Je lina maaana gani kwa anayejua?
1 Reactions
2 Replies
253 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…