Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nimeshangazwa na moja ya interview yakeanayosema "hamjui Mayele kabisa" Hapo hapo anajichanganya nakusahau kuwa alisema "simba inapofungwa huwa analia sana. Sasa swali fikirishi mayele kaifunga...
12 Reactions
72 Replies
3K Views
Karibuni wadau wa mpira huu, siyo muda wakulaumu wachezezaji au makocha na benchi la ufundi, ni muda wetu sisi wadau, mashabiki wa mpira wetu wa miguu tujadili mbinu namna gani tunaweza kuipa uhai...
4 Reactions
58 Replies
3K Views
"Vipigo vikali ambavyo Simba Sc wameshavitoa wakiutumia uwanja WA taifa Benjamin Mkapa Stadium Dar Ea Salaam Tanzania [emoji1241] Kuanzia Mwaka 2019 Mashindano mbali mbali Al ahly [emoji736] 1-0...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Yaani jitu linafunga tuu, huyu jamaa angebaki tuu huko kwao, mabeki wa epl wamemshindwa, basi angalau timu nyingne zingekua na wachezaji level yake kama Mbappe, Messi, Neymar, n.k. Mpka unatamani...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma (Mb), ameshiriki zoezi la ugawaji wa medali kwa timu zilizofanya vizuri kwenye finali za mashindano ya Kimataifa ya shule za...
0 Reactions
0 Replies
453 Views
Wakati timu zitakazoshiriki duru la kwanza la mashindano mapya ya CAF linajulikana, na zimechaguliwa kutokana na ubora wake wa miaka ya hivi karibuni, katika hali ya kushangaza, timu ya Yanga...
5 Reactions
12 Replies
3K Views
Yanga hazungumzwi sana kwa kuwa timu aliyopanga nayo ni dhaifu ukilinganisha na ubora wa yanga walionao kwa sasa hivyo wanauhakika wa kutoboa" lakini Simba anazungumzwa sana kwa kuwa ana kikosi...
10 Reactions
98 Replies
4K Views
Hakika alichozungumza huyu mtu alikuwa yupo sahihi kabisa hata Mimi naunga mkono hoja kwa ushahidi wangu niliouona kwa mashabiki wa simba. Ndiyo, siwezi kutengua kauli yangu yakuunga mkono hoja...
8 Reactions
67 Replies
5K Views
Hivi jambo hili lina ukweli wowote? Binafsi nimeangalia katika maeneo ninayoishi ninaona kama vile kuna ukweli fulani. Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
15 Replies
669 Views
Mimi natabiri hakuna kutingisha kifua siku hiyo, ila kuna jini linaitwa Jean Baleke Othos litaongeza hat trick katika bank yake. Matokeo ya jumla; Simba sc 6 vs Yanga sc 1 Wafungaji kwa upande...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwema wadau? Leo kwenye pitapita zangu mtandaoni nilikutana na picha hii chini ya huyo mwamba aliyeshinda Milioni 10 kwenye kampuni moja ya kubetti mtandaoni, Sokabet. Nilibaki najiuliza tu huyo...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba msaada wa kujua nawezaje kuipata app ya kuwa na angalia mpira ya Ulaya kwenye simu yangu.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ihefu maarufu kama Mbogo Maji wamekula za uso 5 kwa 1 jana usiku ktk mchezo wa robo fainal ya kombe la azam, hata hivyo Mbogo Maji imetamba kulipiza kisasi katk mchezo wa marudiano wa ligi ya NBC...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Just thinking from unbeaten utopolo mindset ninaona kabisa iwapo Yanga tukimchukua Sopu acheze nyuma ya Mayele pembeni yao Musonda hata Barcelona wanakaa! Huu utakuwa utatu kama MSN wa Barca au...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa yeyote anayehusika na uhamasishaji, ufuatiliaji , utaratibu na uratibu wa kusimamisha, upatikanaji wa uwanja, uboreshaji wa uwanja huo na upatikanaji wa timu. Mafunzo ya timu hizo, mpaka...
0 Reactions
0 Replies
567 Views
Manara katika mengine sikubaliani nae ila hili la kusema kuwa huko aliko sasa wenye Akili timamu ni Wawili tu Babaake na Mstaafu wa Msoga na waliobakia Wote ni Majuha ( Fools ) nakubaliana nae...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwahii taarifa inayotrend ya viongozi wa Simba eti kutaka game dhidi ya Yanga isogezwe mbele kisa tu kuwepo kwa mechi ngumu wiki moja, yaani siku 7 mbele dhidi ya Bingwa Mtetezi wa Champions...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Kumbe majamaa hayajawahi kugusa robo fainali toka dunia iumbwe ndio mara yao ya kwanza,ndio maana yanavua mpaka nguo kwa kushangilia robo ya luzaz[emoji23][emoji23][emoji23] UTOPOLO Performance...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Simba SC ina Kikosi kipana, hii mechi ya tarehe 16 hakuna kuairishwa kwa kisingizio cha Waydad! Kuna watu kuanzia tarehe 16 watakuwa na wiki ngumu sana, huku Yanga, siku nne mbele Waarabu...
2 Reactions
7 Replies
774 Views
ukipata pesa atahitaji kujua kuwa umezitoa wapi, ukijaribu kumweleza wapi umezitoa atauliza ilikuwaje... ukijieleza sana atahitaji kujua mbona hukupata nyingi zaidi ya hizi 😂 Haya upande wa pili...
1 Reactions
1 Replies
579 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…