Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Imekua kawaida kila mechi unapoibuka mjadala wa Feisal Yanga imekua ikipata ushindi wa kishindo Mechi ya Azam na mechi za CAFCC zote zilizotanguliwa na mijadala hii zimekua za neema nyingi...
5 Reactions
7 Replies
930 Views
Mnaiona kama vile Simba haina fowadi wa kueleweka, lakini ndiyo inayoongoza kwa kufunga magoli mengi kwenye Ligi kuu Tanzania. Mnaiona simba kama vile ni timu dhaifu lakini Simba na Yanga zote...
10 Reactions
31 Replies
2K Views
Habari kuhusu mshambuliaji Jean Baleke wa Simba imewaacha mashabiki wa Yanga wakishangaa kutokana na ubora wa mchezaji huyo katika kupiga mabao. Baleke amekuwa akifunga mabao kwa wingi na kwa sasa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Yanga Ligi kuu --28 Muungano--6 Kagame(cecafa)-5 Fa--6 Nyerere cup--3 Mapinduzi--2 Mtaani jembe--0 Tusker---2 Hadex--1 Cafcc---0 Cafcl--0 Ngao ya jamii--7 Banc ABE super8-0 Jumla--61 Simba...
3 Reactions
23 Replies
18K Views
Klabu ya Simba SC Kutoka Tanzania Inatinga Hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Dunia kwenye Mtandao wa Twitter Klabu ya Simba SC kutoka Tanzania imeweka historia ya kuwa timu ya kwanza kutoka...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Uongozi wa Timu ya KMC umefika makubaliano ya kuvunja benchi la ufundi lililokuwa chini ya Kocha Mkuu, Thiery Hitimana kutokana na muenendo usioridhisha wa timu hiyo kwenye NBC Premier League...
0 Reactions
3 Replies
766 Views
FUJO NA VITISHO NI NINI? Ni mara atoke Mayele aingie Starboy Mzize, mara atoke Farid aingie Morrison, mara atoke Nondo aingie Doumbia, mara atoke Mauya aingie Mudathir, mara atoke Kisinda aingie...
16 Reactions
42 Replies
3K Views
Najua jukwaa lenu lina mashabiki kindaki ndaki wa either simba au yanga. Yaani yeye na simba au yeye na Yanga. Haya hebu tutajane hapa ili tujuane. kuna watu wanaojulikana kabisa na wengine...
12 Reactions
252 Replies
15K Views
Si mbaya mkapitia hii record angalau mjue kinachoenda kutokea Jumapili, kujiandaa ni bora zaid kuliko kushtukizwa.
2 Reactions
12 Replies
1K Views
1. Baleke goal la 2 Vs Ihefu.. 2. Aziz Ki Goal la 2 Vs Kagera 3. Elias Maguli Vs KMC Mimi: Elias Maguli
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Naona Fei kila ikikaribia game ngumu anaibuka kutoka mafichoni na kuwahadaa Yanga kwa kesi isiyo na mashiko wala haimpi faida yeye zaidi ya anguko lake kimpira. Na sisi wana lunyasi ikitokea Fei...
2 Reactions
3 Replies
752 Views
NALIA NGWENA the informer nipo hapa katika tawi moja wapo la Simba maarufu na pendwa sana haswa viongozi wakubwa wa Simba sc, Nimevalia msuli wangu mzigo upunge upepo, shati kubwa kubwa na...
1 Reactions
2 Replies
741 Views
Hivi ikitokea Yanga kuchukuwa kombe la shirikisho na huku Simba wameanguka kwenye robo final ya club bingwa,bado CAF watawaita simba giant wa Tanzania? Ni suala la muda tu admin wa CAF...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Haya leo tuangazie namna gani marefarii katika ligibza wenzetu wanavyolipwa. Sijajua kwa huku kwetu wanalipwaje lakini kwa wenzetu malipo yao ni kila mechi. Katika ligi kuu ya Uingereza, mwamuzi...
10 Reactions
30 Replies
3K Views
" Sisi Simba tunaamini mara zote ambazo Yanga ameshinda dhidi yetu huwa wanabahatisha bahatisha tu. Hii ni kwasababu Yanga hajawahi kuwa na ubora kama wa Simba, Yanga hawajawahi kufika Level na...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Tunataka tutoe Salamu kwa Wydad Casablanca FC na Mitambo yetu yote na Mbinu zetu zote za Kimafia na Kiuchawi tutazijaribia Kwenu Jumapili tarehe 16 April, 2023 kwa Mkapa. Tukiwakosa GENTAMYCINE...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Joseph Mbilinyi aka Sugu amesema atanunua kila goli la Mbeya City watakalofunga kwenye Michezo 4 ya Ligi Kuu iliyobaki kwa Tsh. Milioni 1. Sugu amesema fedha...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Kuna nyuzi nyingi sana zimeandikwa kumuhusu Jean Baleke, kiufupi zimeandikwa kiudaku pasipo kuwa na evidence yakupush agenda Kama baleke alishawahi kuwa mfungaji Bora pale kongo. Nakataa, nakataa...
2 Reactions
92 Replies
8K Views
Ameandika tom cruz Nimefanya utafiti mdogo kwa baadhi ya wachambuzi ambao wanalaumiwa na baadhi ya viongozi na mashabiki wa Yanga kuwa wanatumika kuichafua klabu hiyo na kuibua migogoro mara kwa...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Naam, ile siku pendwa/siku madhubuti siku ya watani wa jadi/maacha wa kariakoo/sunche na kapeto au pingu na denso watakichafua, kambumbu itapigwa haswa maana timu zote mbili zinahitahi heshima na...
3 Reactions
8 Replies
721 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…