Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Endeleeni kufurahi kwa kujipongeza wakati kabatini kila kukicha mnafuta Vumbi na kushangilia kombe alilo wapa mangungu la kumfunga mtani. Hii ni aibu kubwa sana na haina tofauti na masikini...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
BAADA YA KUDHIHAKIWA NA ALIKAMWE, JUMA MGUNDA AMPA JIBU 🗣️"Yanga ni Club yetu pekee Tanzania inayotuwakilisha kwenye fainaly hii ya CAF na kwa bahati iliyonjema inacheza na Club Inayotoka nje ya...
52 Reactions
213 Replies
12K Views
Shabiki ni mchezaji wa kumi na mbili (12) Kama kanuni za mpira zinavyosema, kwa hiyo basi ni matumaini yangu wachambuzi mliozoea kumuimba mayele na baleke itakua vyema sana Kama wachambuzi mtapaza...
0 Reactions
24 Replies
1K Views
Nitangulie kutoa pole kwa wafiwa wote na walioguswa na msiba uliotokea jana wa shabiki wa Yanga mwenye mapenzi ya dhati na timu yake. Natumia jukwaa hili pendwa la michezo NALIA NGWENA kutuma...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Pambano limeanza Pambano hili la Ibrahim Class ‘Mawe’ dhidi ya Said Chino linaongozwa na Mwamuzi mkongwe, Emmanuel Mlundwa kwenye Ukumbi wa The Warehouse, Masaki, Dar es Salaam. Wanawania Mkanda...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
USM Alger, watakuja na mbinu ya kulinda/ kujilinda na kukaa nyuma ya mpira ikiwapo na zoezi la kupoteza muda ili mradi wasiruhusu goli nyingi/wapate sale ili wakienda kwao waisurubu Yanga. Hii...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
TFF na Bodi ya ligi msifurahie kuhesabu kibunda (fedha za mapato ya uwanja) huku mashabiki/wateja zenu wakipata karaha kwa sababu ya miundo mbinu mibovu. Nimesikitishwa sana kusikia mtu kafariki...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Kwa kile kilichotokea pale uwanja wa Benjamini Mkapa hakika wengi wametoka vichwa chini pasi na kuamini kilichotea hasa kutokana na imani waliyokuwa nayo kwa timu ya Yanga Ni kutokana na imani...
0 Reactions
12 Replies
464 Views
“Maandalizi yetu ni magumu hatujapata muda wa kutosha tumetumia muda mwingi kwenye recovery. Tunataka tutoe wito kwa wanaopanga ratiba, tunaliwakilisha Taifa tunaombea siku zijazo lisitokee tena”
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Ni ajabu na kweli ya kwamba kuna mashabiki, viongozi na wanachama wa klabu moja hapa nchini wamefanya sherehe ya kufurahia baada ya Yanga kupoteza mchezo wa mkondo wa kwanza wa fainali ya kombe la...
0 Reactions
0 Replies
576 Views
Kongolee kwa wanayanga kwa matokeo haya tuliyoyapata dhidi mwarabu (USM ALGER). Nilishawahi kuleta Uzi humu wakumwaga maua kwa Khalid Aucho na kusema ndiyo namba nane Bora katika kikosi Cha Yanga...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Sergio Rico ambaye ni kipa namba 2 wa Paris St-Germain amepata majeraha makubwa katika ajali wakati akiendesha farasi Nchini Hispania alipoenda kwa ajili ya mapumziko. Rico (29) alikuwa katika...
0 Reactions
2 Replies
895 Views
Hii kauli inachochewa. Na Mafanikio ambayo Yanga Imeyapata. Hiki ni kikosi bora kuliko kikosi chochote katika historia ya mpira wa muguu Tanzaia. Haijawahi kutokea katika ardhii hii ya Tanzania...
9 Reactions
23 Replies
1K Views
Habarini wanajukwaa hili! Naomba nitoe mawazo yangu kuelekea Fainali ya Jumapili ambayo Yanga anacheza na USM Alger watu wengi ambao hawajui mi nawaita hawajui Mpira hadi wachambuzi wa soka hapa...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Akhsanteni sana
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Najua wapo watu watanitukana kama walivyo nitukana miezi kadhaa nyuma nilivyo sema yanga watafika final CAF federation. Unajua kwanini nasema hivi nimeangalia mechi nyingi za CAF champions...
12 Reactions
31 Replies
3K Views
Haijawahi kutokea hapa Tanzania kukawa na timu ya mpira wa miguu iliyo bora kama au kuliko Young Africans, Yanga pia ndiyo timu pekee kutoka Tanzania kushinda mechi nyingi za nje za kimataifa kwa...
15 Reactions
14 Replies
3K Views
Mlikuwa mnacheza na wachovu sana, wale USM ni vile mmeliwa 2-1. Mngekuwa huku kwenye championship mkapangiwa na Wydad ingekuwaje maana nimeziona goli 4 za wazi mwarabu kakukosa leo. Tengeneza...
1 Reactions
7 Replies
662 Views
Baada ya mechi 10 za kombe la Shirikisho Afrika kwa kila timu, Yanga SC wamewazidi USM Alger kwa takwimu karibu zote miongoni mwa timu hizo: Eneo pekee ambalo Yanga wamezidiwa ni mabao ya kufunga...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Unaambiwa hili kombe[emoji471] limetengenezwa Kwa madini ya Gold tupu[emoji966][emoji966] Yaani sio kama Yale makombe yaliyotengenezwa kwa Alluminium au mabati Hongera sana mabingwa watarajiwa wa...
15 Reactions
70 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…