Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wakati Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa mstari wa mbele kuhamasisha na kukuza Michezo Tanzania ukiwemo wa riadha , ila kuna Vizee vilivyopo kwenye Kamati ya Olimpiki Tanzania (Tanzania...
8 Reactions
17 Replies
1K Views
Baadhi ya wanariadha wakubwa wa Tanzania wasusia mashindano ya karatu festivals yanayoandaliwa na kamati ya olimipiki Tanzania (TOC) ikiwa ni baada ya makamu wa rais wa TOC Henry Tandau kumkata...
0 Reactions
1 Replies
460 Views
Kutoka kushoto ni Suleiman Nyambui, Luis Posso(Posso International Promotions) , Mao Hando , Zakarie Barie , Yuich Isaka (Asics) na Mwanariadha Gabriel Gerald Geay. Kampuni ya Posso...
0 Reactions
1 Replies
317 Views
Morocco imethibitisha kuwa iko tayari kikamilifu kuandaa Kombe lijalo la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON 2026). Baada ya kutokuwa na uhakika wa awali na mabadiliko ya ratiba hadi Julai...
0 Reactions
1 Replies
139 Views
KUMEANZA KUCHANGAMKA HUKO Achraf Hakimi baada ya CAF kutoa uamuzi wa kuwapa Morocco ubingwa wa AFCON 2025 baada ya kuwanyima Senegal taji kwa sababu ya Sababu za Kugomea Mchezo. 🗣Kwa kweli...
7 Reactions
21 Replies
468 Views
Hivi ni kwamba Polisi wanataka kuhalalisha matumizi ya mabomu ya mchozi viwanjani? kwamba kulikuwa na tukio hatari la kushindwa kuwadhibiti mashabiki mpaka mtumie nguvu kiasi hicho hadi kupiga...
3 Reactions
8 Replies
198 Views
Hatua ya robo fainali ya Uefa Champions League kuanza kuchezwa tarehe 7 na 8 mwezi wa 4 kwa hatua ya kwanza na mechi za marudiano zitachezwa tarehe 14 na 15 mwezi wa 4. Hivi ndivyo mechi...
2 Reactions
15 Replies
456 Views
Kuhusu ubingwa wa Senegal AFCON, Raymond Hack alieleza msimamo wake kwa mtazamo wa kikanuni na haki ya matokeo ya uwanjani: Alisisitiza kuwa matokeo ya uwanjani yanapaswa kuheshimiwa, hivyo kama...
2 Reactions
9 Replies
259 Views
Unguja. Timu ya Kwahani FC imetwaa ubingwa wa Masauni Cup baada ya kuichapa Mwembeladu FC kwa changamoto ya mikwaju ya penati 1-0 baada ya sare ya bao 1-1 katika muda wa kawaida na kujinyakulia...
1 Reactions
1 Replies
138 Views
Mashabiki wote wa Cristiano Ronaldo tukutane hapa kupiga stori mbili tatu kuhusu maisha, na role model wetu ni mnyamaaaaa
1 Reactions
28 Replies
366 Views
Soka la Afrika bado linakumbwa na changamoto za ukosefu wa imani na maswali kuhusu uadilifu wake, amesema rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe, Jumatano, baada ya Senegal...
0 Reactions
2 Replies
204 Views
Patrice Motsepe, President of the Confederation of African Football, has defended the decision to strip Senegal of the AFCON title following their walkout during the final. The incident has...
0 Reactions
0 Replies
196 Views
Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), Patrice Motsepe, ametetea uadilifu na Uhuru wa Taasisi hiyo kufuatia wito wa Serikali ya Senegal kutaka uchunguzi wa kimataifa juu ya tuhuma za...
1 Reactions
1 Replies
228 Views
  • Poll Poll
Kwa Mara Ya Kwanza Yaandikwa Rekodi Kwa Nchi Moja Kuingiza Timu 5 hatua Ya 16 bora Katika UEFA Champion League... Ligi Kuu Ya EPL nchini Uengereza imefanikiwa Kuingiza Timu 5 kati ya 16...
16 Reactions
282 Replies
22K Views
Hakika ndio mana Legend wa timu ya taifa ya England Jamie Caragher aliwahi kusema japo alitukanwa matusi yote Duniani kua mashindano ya CAF ni mashindano madogo. Hilo limedhihirika siku ya leo...
9 Reactions
23 Replies
639 Views
PRINCE DUBE ametoka ameshindwa kumaliza mechi dhidi ya TRA inaonekana amepata majeraha, inasubiriwa ripoti ya Madaktari kuona ukubwa wa majeraha yake na kwa hoja hiyo Emmanuel Mwanengo ndie...
2 Reactions
14 Replies
321 Views
Barua hii nimeiandika kuiomba serikali yetu ibadilishe matumizi ya fedha AFCON Ili mafundi tupate pesa za kutalii kiufundi ulaya. FUNDI SAMICO, P.O.BOX. SAMICO TANZANIA, KWENDA: Wizara ya...
1 Reactions
0 Replies
124 Views
Mchezo unaendelea kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha, upinzani ukiwa ni mkali, wenyeji TRA wanacheza pungufu baada ya mwenzao mmoja kucheza kadi ya pili ya njano. Hadi Kipindi cha...
1 Reactions
17 Replies
601 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…