Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kombe la Dunia la FIFA 2026, mashindano makubwa ya kimataifa ya soka, yanaanza rasmi Juni 11, 2026 na kuleta pamoja timu bora za Taifa kutoka duniani kote. Kwa mara ya kwanza katika historia...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
  • Redirect
Upinzni uende hata kwenye soka sio kwenye mapigano pekee
2 Reactions
– Replies
– Views
Straight to ostracize poor approach & strategies Plugged in the Team by this Rude boy, Arteta. Game ya Jana anaanza na Forward wawili lakini primary approach ni kujilinda so Forward walikuwa wa...
4 Reactions
43 Replies
828 Views
  • Featured
Morocco imetawazwa kuwa mabingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika la 2025 baada ya uamuzi mzito siku ya Jumanne kueleza kuwa ushindi wa bao 1-0 wa Senegal kwenye fainali umebatilishwa. Senegal...
14 Reactions
154 Replies
5K Views
  • Redirect
Yani mkeka hutachanika. Mechi inaendelea ya kirafiki 1-0 dhidi ya timu ya taifa mbovu dhaifu ya Lietchtestain. Bure kabisa. adriz de mbusii
3 Reactions
– Replies
– Views
Soka ni mchezo unaopendwa zaidi ulimwenguni, lakini je, kweli Afrika ina nafasi sawa katika uwanja huu wa kimataifa? Ukweli mchungu ni kwamba mpira wa miguu umetumiwa kama silaha ya kudhibiti bara...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kimpira ni jambo la manufaa sana. Itapendeza siku moja uwanja wa Jamhuri uwe na hadhi ya CAF. Ila kitechnical ni sahihi viti vya uwanja wa umma kupelekwa uwanja binafsi? ==== Meneja wa Uwanja wa...
5 Reactions
15 Replies
419 Views
Klabu ya Simba imemuongezea mkataba wa miaka miwili mshambuliaji wake Elie Mpanzu ambao utafikia tamati msimu wa 2026/2027. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Simba leo, Jumatatu Machi 23, 2026...
2 Reactions
14 Replies
766 Views
Soka la bongo bana,Yanga imetangaza kumsajili Kelvin Patrick Yondani ,wakati Simba wakitangaza kumwongezea mkataba Kelvin Patrick Yondani toka mwaka jana 2011.Utata,kuna Kelvin Patrick Yondani...
0 Reactions
16 Replies
18K Views
Huwezi kutoka kwenu Mali kuja hapa kutukana watu na kukoromea marefa. Afungiwe haraka sana kuanzia mechi tano. Mnasuburi nini mpaka muda huu? Kama hamna posho za kikao, semeni mimi nitawalipa
3 Reactions
8 Replies
321 Views
Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania( TFF) Wallance Karia ametoa mtazamo wake kuhusu kilichotokea kweny taarifa ya bodi ya ligii kuu kupitia kamati ya masaa 72 ya kusema goli lililofungwa...
0 Reactions
2 Replies
300 Views
  • Featured
Kenya ipo katika hatari kubwa ya kupoteza haki yake ya kuwa mwenyeji wa pamoja wa Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka 2027. Hali hii inatokana na ucheleweshaji wa malipo ya...
8 Reactions
36 Replies
2K Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, ameagiza Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF) kuhakikisha ofisi ya Rais wa shirikisho hilo inakabidhiwa kwa Hasheem Thabeet...
2 Reactions
10 Replies
682 Views
Kodi lazima ilipwe na watu wote wa dini zote, makabila yote na hata mashabiki wa timu zote. Inafahamika kuwa taifa la Tanzania limegawanyika kati ya wanaume na wanawake, wakristo na waislam na...
4 Reactions
21 Replies
495 Views
  • Poll Poll
Who do you think won AFCON 2025?
0 Reactions
1 Replies
116 Views
Mechi ya Simba dhidi ya Tabora United inachezwa uwanja wa General Isamuhyo ===== Timu ya Simba imeichapa TRAUnited magoli 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Meja Jenerali...
2 Reactions
6 Replies
437 Views
Nimeona clip ya Kipa wa Yanga, Djigui Diarra akioneshea kidole cha kati cha mkono wake wa kushoto kuelekea kwa Waandishi wa Habari waliokuwa wakiwarekodi Wachezaji wa timu hiyo wakati wakielekea...
3 Reactions
11 Replies
823 Views
Klabu ya soka ya Pharco FC ya nchini Misri imetangaza kususia mashindano yote yanayoandaliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF). Uamuzi huo unakuja kufuatia malalamiko kuhusu uamuzi tata...
11 Reactions
16 Replies
762 Views
Mchezo wa Ligi Kuu wa NBC wenyeji Mtibwa Sugar wanacheza na Yanga SC uwanja wa Jamuhuri Dodoma DAkika 51, Yanga anaogoza goli moja, goli lilofungwa na Pacome Mechi imemalizika
5 Reactions
37 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…