Mbio za kuendelea kuifukuzia Yanga katika nafasi ya kwanza ya Ligi Kuu Bara zimeendelea kuwa ngumu kwa Azam FC na Simba baada ya timu hizo kugawana pointi moja kila upande kutokana na matokeo ya...
Kwa mtazamo wangu huu uwanja hauwezi kukamilika sababu ni hizi
1)Kiwanja kipo maporini sana italazimika waanze kujenga miundombinu kama mabarabara , hospital , maduka n.k
2)Bajeti kubwa ya...
Timu ilianza kwa kas ikishinda mechi mbili mfululizo kwa kuwabonda wakenya na wasouth afrika
Baada ya kuona hvyo wanasiasa wakaanza kujitokeza ili kutafuta umaarufu wa kisiasa wenyewe sijui...
Nahodha wa zamani wa Timu ya Taifa ya Kenya (Harambee Stars), Victor Wanyama, ametangaza kustaafu soka la ushindani, baada ya kucheza vilabu sita vya kimataifa, ikiwemo Southampton, Tottenham...
Yanga imefanikiwa kuichakaza Tanzania Prisons Magoli 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa KMC, Dar es Salaam, hivyo Yanga imeendelea kuongoza kwa kuwa na alama 41 katika...
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) linaripotiwa kufikiria kuahirisha michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 hadi 2028 kutokana na wasiwasi wa utayari wa miundombinu na marekebisho...
Waziri wa michezo bwana Paul Makonda amesema kuwa kuanzia mwakani ataanzisha ligi ya wachezaji wa ndani tu kama ilivyokuwa michuano ya Afrika (CHAN) iliyohusisha wachezaji wanaocheza ndani ya...
Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imetangaza kuwa itatoa uamuzi wa rufaa ya Senegal "haraka iwezekanavyo" kufuatia hatua ya nchi hiyo kupinga kuvuliwa taji la Mataifa ya Afrika (AFCON)...
Timu ya kikapu ya Dar City inaendelea kufanya vyema huko Pretoria Afrika kusini katika mashindano ya kikapu Afrika Ukanda wa Kalahari.
Timu hiyo imeshinda mchezo wake wa pili mfululizo kwa...
Baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere kusema alibaini upungufu katika mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Arusha, ambapo ulikadiriwa kugharimu Tsh...
Betting Codes
Mkamaria anasuka mkeka wake kisha anashare betting codes za mkeka huo, mfano 72HD82. Wateja wengine hawahitaji kusuka mkeka kutoka mwanzo; wanachagua tu code, na mkeka unajisuka...
Binafsi naipenda Simba na naipenda Yanga.
Mimi naona Yanga sio opposite ya Simba kwamba ukipenda moja unaichukia nyingine, bali Simba na Yanga zote ni timu za soka ambazo zinafanana uwezo kwa...
Mnaojua kiswahili mtasahihisha kichwa cha habari. Mwaka 2020 katika mashindano ya shirikisho Simba iliyokuwa ya moto ikitembeza pira biriani iliwapa vipigo Azam Fc 4-0 na Yanga 4-1.
Cha ajabu...
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetupilia mbali shauri la klabu ya Simba lililokuwa likipinga uhalali wa usajili wa mchezaji Mohamed Damaro...
Zimekuwepo tabia za wazungu kuwabagaza wachezaji wenye asili ya Africa kutokana na wivu walionao tu na ubaguzi wa rangi
Nakubali Lamine Yamal ni kijana mdogo japo ni star, Kwa umri wake laZima...
FCB , Bayern Munich , or FC Bayern , is a German professional sports club based in Munich , Bavaria. It is best known for its professional football team, which plays in the Bundesliga, the top...
Bila shaka Wanalunyasi mtakuwa mnatamani kupata kiongozi kijana ambaye ana maoni makubwa juu ya klabu yenu kama ambavyo Yanga wamewatesa misimu hii minne mfululizo baada ya Engineer Hersi Said...
Kero yangu ni Kiwanja cha mpira kinachojengwa Kisiwani Pemba, Mkoa wa Kaskazini, Wilaya ya wete, Shehia ya Pandani. Yaani Kiwanja kipya lakini kinawekwa Nyasi kongwe (zimetolewa kiwanja...
Timu vigogo barani Ulaya Arsenal, Real Madrid na Liverpool ni miongoni mwa klabu zilizojua hatima yao baada ya droo ya hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kupangwa Ijumaa.
Real Madrid...