Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Sijui ni inferiority au ni kukosa uthubutu. Nimekuwa nikishangazwa na TFF kuendelea kung'ang'ania michezo ya kirafiki na mataifa yaleyale kama Burundi, Malawi, Kenya sijui Ethiopia kila kukicha...
7 Reactions
10 Replies
1K Views
Nakumbuka miaka ya 2000 kurudi nyuma nchi za Waarabu zilikuwa zimeuweka mpira kama haramu. Nafikiri ujinga umewaisha kichwani sasa wamevamia mpira wanamwaga pesa za mafuta. Wananunua vilabu vya...
32 Reactions
75 Replies
4K Views
Saudi Arabia imeingia kwenye ushirikiano wa kihistoria wa miaka mitano na soka la Afrika ukihusisha Shirikisho la Soka Afrika (CAF) na Shirikisho la Soka la Saudi Arabia (SAFF). Nukuu CAF |...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Mtu huyo aliyetajwa kama Gaidi, aliwapiga Risasi Raia wawili wa Uswidi na kumjeruhi mmoja kabla ya mechi ya Ubelgiji ya kufuzu #Euro2024 dhidi ya Uswidi jijini Brussels ameuawa wakati tahadhari ya...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari ndiyo hiyo upumbavu wa kufungua mageti saa nane na huku mkijua mifumo yenu ni slow na niyakizamani mtaleta maafa siku ya ijumaa ! Mtu akitoa pesa yake aheshimiwe ,utapeli wakupiga watu bila...
1 Reactions
0 Replies
402 Views
Tanzania haijacheza finali za AFCON kwa miaka mingi kutokana na sababu nyingi sana. Mojawapo ya sababu hizo ni makocha wa timu ya taifa kushinikizwa uteuzi wa wachezaji. Leo nilimsikia mchambuzi...
2 Reactions
4 Replies
973 Views
Wakuu, Haya ni makosi ya kiufundi ambayo Mimi binafsi nimeyaona toka msimu huu kuanza na huenda yakatu cost hasa kwenye mechi za kimataifa. 1. Kiungo mkabaji (DM) Umejiuliza Ni kwanini...
9 Reactions
41 Replies
3K Views
Habari wana jf,,,, natumai mko pw kwa waliobahatika kuona ule utabiri wangu wa group stage ambayo imetoka leo,, Niliitabiri wiki moja before jinsi makundi yatakavyokuwa na ndivyo hivyo yametokaeo...
9 Reactions
49 Replies
4K Views
Timu ambayo Feitoto ataichezea kwa sasa inajitafuta ili ijipate kwa Kukamilisha Shilingi Milioni Mia Sita (Tsh 600,000,000/= ) ya Kumlipa na aende Kuongeza Nguvu katika Kikosi chao. Hata hivyo...
15 Reactions
82 Replies
6K Views
Yaani Timu ina Kiongozi mwana Avic Town Kigamboni FC, ina Kaimu Afisa Habari Mnafiki mwana Avic Town Kigamboni FC na Mtaalam wa Ufundi mwana Avic Town Kigamboni FC halafu kabisa wana Simba SC...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Watanzania wameumia sana leo kwa taarifa yenu kama hamjui, hiyo timu ni ya watanzania na sio mali yenu TFF, tuna haki kabisa ya kuiangalia na kutoa maoni yetu, kitendo mlichokifanya Leo ambacho...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Salaam Wana jf Weekend hii nimekaa kama mchambuzi mbobevu wa jf nimewaza kuwa ......sisi kama Wana msimbazi tupige magoti sana Ili bongo referees wateuliwe kivyovyote vile wakachezeshe mechi zetu...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Simba na Yanga ni timu kongwe zenye mashabiki na wafuasi wengi hapa nchini na hata nje ya nchi. Kila timu hutamba kwa upande wake kuwa ni Bora kuliko timu nyingine. Unadhani kwa sasa timu gani...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Kuelekea uzinduzi wa AFL 2023 nimewaletea makala ya timu shiriki mpate kujua mafanikio yao katika mashindano ya AFRICA na DUNIA Al-Ahly Wamechukua ubingwa Caf Champions league mara 11, ubingwa...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Ujumbe wa Mwamba wa Lusaka, Clatous Chota Chama baada ya Tanzania kupangwa kundi F sambamba na timu yake ya Taifa ya Zambia, DRC na Morocco kwenye droo ya upangaji wa makundi ya fainali za kombe...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Ilikua ni ngumu sana kwa Simba sc kwenda kukaa mezani na Yanga sc hakika wasingeweza kumpata Feisal Salumu. NALIA NGWENA nimekumbuka kilichotumika kwa Saidoo Ntibazonkiza baada ya kwenda Geita...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Nimeshauandaa Uzi Maalum wa huyo mtu ila nasubiri hiyo Saa 1 Kamili Usiku nikione Kikosi cha Taifa Stars na kama hayuko na hakuitwa kabisa basi Usiku wa Leo hapa JamiiForums patawaka Moto kwani...
5 Reactions
43 Replies
4K Views
Inauma sana Kiukweli yaani Wenzako wakiwa Wanaongozwa na Ving'ora kwenda Estadio Du Lupaso Wengine wanakatiza tu Mitaani, Majarubani huku Wakikanyaga Nyanya za Watu, wakigonga Makopo ya Mkaa na...
1 Reactions
2 Replies
893 Views
Uchambuzi wangu Linapokuja suala la kucheza na waarabu ndugu zangu Wana msimbazi hata wawe vizuri vipi wakiwaona tu waarabu.....ndugu zangu ayubu fc wanapoteana uwanjani.....ukileta mechi ambayo...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Nimeshangazwa sana na huu utumbo wa Azam Media kusema wataonesha halafu wasioneshe. Haya endeleeni kufuata maelekezo na timu lenu kivyenu vyenu. Na mkumbuke kutuomba radhi kwa huu utumbo wa...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…