Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 15,783
- 24,215
Salaam Wana jf
Weekend hii nimekaa kama mchambuzi mbobevu wa jf nimewaza kuwa ......sisi kama Wana msimbazi tupige magoti sana Ili bongo referees wateuliwe kivyovyote vile wakachezeshe mechi zetu kule mjini CAF
Sababu
Bongo referees wakichezesha mechi zetu ...tutakuwa na full confidence coz opponent wetu ataukuwa kashakula Red card
Pia tutakuwa Free from off-side goals
NB: bila hivyo .....hatutoboi tutaishia kukandwa 5__0 na Al ahly as u know team yetu haijawahi fua dafu Kwa waarabu