Uchambuzi
Ni mjinga tu ataamini kuwa kikosi tia maji tia maji cha Simba [emoji240] [emoji240] kinaweza kumtoa giant Al Ahly.
Ili kumtoa yule jamaa unahitaji watu wenye spidi kwenye kukaba. +...
"Siwezi Kupanda Ulingoni kupigana na Mabondia wa Tanzania Kwa Sababu nimegundua wote wanaonitaka ni Wanawake, Kama Wanaona Kupanda Ulingoni na Mimi ni Kupata Hela Basi Mimi nipo Tayari kuwalipa"...
Wadau na wapenzi wote wa soka Tanzania
Nawataarifu Jumamosi Oktoba 21,2023 saa 2 asubuhi kutakuwa na shughuli maalumu kuwafariji Wana Simba kwa kipigo watakachopata kutoka Mabigwa wa Africa Al...
Kwa mujibu wa mtandao wa hispania wa SPORT mwanasoka wa Argentina Lionel Messi atashinda tuzo yake ya 8 ya Ballon d'or akimshinda mpinzani wake Erling Haaland.
Aidha kwa upande wa wanawake tuzo...
Uwezo wako tunaujua ni mkubwa mno na sababu kuwa Umeondoshwa Ihefu FC kama Kocha Mkuu na Kurithiwa na Mganda Kocha Moses Basena leo kutokana na Poor Performance ya Timu ya Ihefu FC ni Uwongo na...
1. Kuongeza Ujuzi wa Kisaikolojia: Michezo vya kielektroniki, mfano Spin&Win huchangia kuimarisha ujuzi wa kisaikolojia kama vile kutatua matatizo, kufikiri kwa uangalifu, na kufanya maamuzi...
Sio kwa ubaya ila i had to send it, haya mambo tukiacha yatatucost sana na evidence nitawambia zipo Azam TV Tanzania. Sio hater ila things like these shouldn't happen in our football league...
"Nimeamua kuwapumzisha Wachezaji wangu mahiri wa Kikosi cha Kwanza wasicheze Mechi hii na Yanga SC ili wasubirie Mchezo wetu muhimu wa Ligi Daraja la Kwanza ili tujiweke katika nafasi nzuri ya...
"Walioliibua hili ( GENTAMYCINE nawataja kuwa ni wana Yanga SC ) wana Uelewa mdogo mno wa Mambo. Rangi zote zilizopo zinawakilisha Uafrika Wetu pamoja na Rasilimali zinazopatikana na ukiangalia...
Wakuu,
Ufunguzi wa michuano mikubwa zaidi barani Afrika inafanyika ijumaa hapa kwenye ardhi yetu. Kama kawaida yetu tunaweza kuchukulia rahisi sana fursa hii na tusijiandae kwenye mambo ya msingi...
Huku chama langu pendwa @SIMBASPORTSCLUBTZ Likiwa ndo timu ya kwanza duniani kote kuandaa na kufungua pazia la michuano hii maarufu ambayo miaka miwili nyuma ilizua taharuki huko ulaya kwa madai...
Makamu wa Rais Yanga, Arafat Haji ametamba wana kikosi kizuri ambacho kinaweza kushindana na timu kubwa katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwamba katika mchezo dhidi ya Al Ahly wapo...
1. Njiwa Weusi tu wanaotamia
2. Kucha za Fisi Jike
3. Mkojo wa Mamba
4. Jasho la Chatu
5. Bendera ya Taifa lolote la nchi za Kiarabu ila ikipatikana hasa ya Egypt ( Misri ) Itapendeza zaidi...
Jamaa zetu roho zinawauma sana, wanakaa vikao vya kila aina ili kutia mchanga pilau, wameumia sana kusikia Rais wa FIFA, CAF na Arsene Wenger watakuwepo siku hiyo wakimshuhudia Kibu Dennis...
"Watanzania hata kama wanakosoa au wanapongeza Kikosi cha Taifa Stars bado wana Haki ya Kutajiwa Kikosi cha Wachezaji kila Kocha Mkuu akikiteua"
"Kama Serikali inayoigharamia Taifa Stars haifichi...
Mtu huna adabu hata kidogo, unasema wewe sio Mtanzania, eti kwa sababu tu umefungiwa kujihusisha na soka, unasema hauko tayari kuishabikia Stars kwa sababu hutakiwi nchini.
Watu kama hawa ni...
Nawasalimu..
Jamaa wapo tayari Bongo, wamekuja mapema sana, huwa hawanaga mbambamba kwenye suala la mtoano.
Winga zao viberenge wenye kasi ya farasi wapo, najiuliza hivi wale wazee wa kushoto...
"Hakuna mchezaji wa klabu ya Simba anayeweza kupata nafasi kwenye kikosi cha klabu ya Al Ahly (ya Misri) hakuna hata mmoja" Abdulghafal Ally,
Mchambuzi wa soka TBC FM
NB: Kwa pale uananchini...