Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nimeshangazwa na hii habari iliyoandikwa na ukurasa wa mtandao wa mwananchi kuona Ally kamwe kupigwa faini. "Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ali Kamwe ametozwa faini ya Sh1 milioni kwa...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Ndiyoo!! Nilishangazwa na timu ya Simba sc kuomba mchezo wao dhidi ya Singida fountain Gate Fc kupelekwa mbele ili wafanye maandalizi ya kukutana na Al ahly ya Cairo misri. Ni Bora Simba sc...
3 Reactions
47 Replies
3K Views
Wamezoea kupenyeza ushirikina katikakati ya uwanja na kufukia uchawi lakini safari hii wale wanaowatumiaga wanajiita "makomandoo" uchwara wamepigwa marufuku kuingia ndani ya uwanja wakijifanya...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Al ahly hawawezi kuruhusu kupigwa na kikosi kibovu chenye wachezaji wazee Kama Saidoo ntibazonkiza, John Rafael Bocco na Yule mchezaji mwenye speed ya Konokono. Hawa wazee watambe wanapo tamba...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Huyu Robatinyo sio kocha hata kama tumefungwa lakini hela tumepata. Makolo today 🤣🤣
1 Reactions
20 Replies
883 Views
Yanga wanajinadi ni Mabingwa wa Kihistoria mara 28, naomba wapige picha au video fupi ya hayo Makombe 28 ya Ligi Kuu yaliyoko kabatini. Bila shaka Makombe hayo yote wanayo basi watuonyeshe.
2 Reactions
5 Replies
460 Views
Hi michuano inapeleka upendeleo kwa baadhi ya vilabu hususan hivi vikongwe Kama Raja Casablanca, AS Vita, Yanga Africa, kaizer chief na club afrcane ya nchini Tunisia Nimeona baadhi ya video...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Kama ilivyo kawaida kwa mechi kubwa inavyokuja mimi kama Mchambuzi Bora hapa JF lazima nilete analysis ya mechi before Ili kumsaidia kocha kufanya right decision at right time. Japo nimemsikiliza...
9 Reactions
76 Replies
4K Views
Kama ni mfuatiliaji wa kabumbu la Afrika lazima utakubaliana na Mimi. Kuna nguvu kubwa ya kuendelea kuibeba Al Ahly iwe timu kubwa Duniani. Kilichofanyika ni kuiteua simba kucheza super league...
15 Reactions
56 Replies
4K Views
Kama ulifuatilia mahojiano ya Leo ambao ni utaratibu wa kawaida Kwa makocha na ma captain wa mechi Kilichonishangaza ni kuwa kocha wa Al ahly the giant [emoji208] alikuwa ana jiamini sana lakini...
0 Reactions
4 Replies
919 Views
Ukiliangalia kwa umakini utagundua kubwa simba ina timu isiyoweza kufurukuta kwenye mashindano makubwa ya kimataifa. Kikosi chake ni dhaifu sana hasa katikati na nyuma. Hawana mlinda mlango wa...
0 Reactions
4 Replies
420 Views
Mpira ni mchezo wa wazi usiokuwa na kificho na wala hauchezwi chumbani hapana Bali ni hadharani kila mtu atashudia. NALIA NGWENA naweka pembeni ushabiki na ninataandika hapa bila ya kupepesa...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameshuhudia mchezo wa Ligi ya Kikapu kwa vilabu vya Afrika Kundi C, ambapo Timu ya Pazi kutoka Tanzania imeibuka na ushindi wa Vikapu...
1 Reactions
5 Replies
450 Views
Naam mfalme wa muziki Alikiba atakuwepo kama mtoa burudani siku ya ijumaa kwenye Afl super league hii ni habari mbaya kwa sadala na wenzie hii itamfanya alikiba kuangaliwa na mashabiki bilioni 5...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Fundi maestro kutoka Croatia, Luka Modric (Mtakatifu Luka) ni miongoni mwa viungo washambuliaji kwa miaka 10 iliyopita. Hakuna asiyejua Modric alikuwa ni moja ya injini ya mafanikio huko...
1 Reactions
9 Replies
927 Views
Baada ya Al Ahly kutua airport huku wakionekana wamebeba mapipa makubwa kuelekea mchezo wa dhidi ya Simba, mwandishi mkongwe wa michezo kutoka Clouds Fm, Alex Luambano apigwa na butwaa. Sijawahi...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
"Yaani Watu wenyewe ndiyo Kwanza bado tu wanademadema huko CAFCC na kuwa washamba kufurahishwa kumaliza kundi halafu wanataka mwaka huu huu nao wawemo katika CAF Super Cup ya Mwezi November 2023...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Ni mashindano ambayo yameibuka tu from nowhere. Hakuna vigezo rasmi kujua washiriki wanapatikanaje, bingwa ataenda kwenye hatua gani inayofuata?, atakaebeba kombe atapewa honorable title gani...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
"Yanga atampiga Al Ahly na atachukua alama sita kwa Medeama."- Japo mechi itakuwa ngumu... lakini itakuwa ni ya kisasi Mechi walizocheza Hawa miamba wamekutana mara 4 Al ahly kashinda mechi...
10 Reactions
95 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…