Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wala simlaumu Kipa Ali Salim kwa Kufungwa Goli zile Mbili ( hasa lile la Pili ) kama ambavyo Wengi wenu mnamlaumu ila GENTAMYCINE nalia na Beki wetu Henock Inonga ambaye zaidi ya mara Mbili hapa...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Wadau Baada ya kukesha usiku mzima nikipiga Dua Ili timu yetu ( ayubu fc) ishinde Chaajabu asubuhi hii nimejiegesha kidogo huku usingizi ukinichukua ... after while nimeota ndoto Kuna watu...
8 Reactions
49 Replies
2K Views
Mimi ni die fan wa Young African, timu yenye soka safi East Africa πŸ˜ƒ na mabingwa wa makombe Tanzania Bara kama hautaki meza godoro, lakini pia napenda sana music na nina-sikio zuri sana kwenye...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Sina mengi, lakini nimesikitishwa na kilio cha haji Manara. Huyu ni mtanzania mwenzetu, analipa Kodi na anayohaki ya kuishi kwa uhuru ikiwemo ukiendesha biashara halali. Lawama zake anazielekeza...
11 Reactions
41 Replies
4K Views
Mpira umekuwa ndio dini yetu rasmi Watanzania. Umetufanya na unazidi kutufanya kuwa wapumbavu kupindukia. Sisi ni kizazi kilichopotea kina tangatanga kama kuku aliye katwa kichwa. Uwepo wetu...
12 Reactions
44 Replies
2K Views
Rekodi za Rivers United inayoenda kucheza na Yanga Kombe la Shirikisho CAF Champions League: 2 appearances 2017 – First Round 2022 – second Round CAF Confederation Cup: 3 appearances 2017 –...
4 Reactions
19 Replies
5K Views
Muwekezaji wa Simba Mohamed Dewji ameshare picha ya pamoja katika mtandao wa twitter akiwa pamoja na raisi wa FIFA Giani Infantinno huku ikisemekana kuwa Rais huyo wa shirikisho la soka duniani...
8 Reactions
35 Replies
4K Views
Naona Kuna watu wanajizima data. Matokeo ya Simba yanawafanya Wanajisahau kwamba muda si mrefu Hawa jamaa watarudi Tena bongo. USHAURI: KUWA NA AKIBA YA MANENO NI JAMBO ZURI SANA, JITAHIDI...
9 Reactions
25 Replies
2K Views
Je, ni uchumi kukua kiasi kwamba watu wanapesa za kula na za anasa na burudani? Je, ni ugumu wa maisha watu wameamua kupoteza lengo katika burudani na michezo? Je, ni kukua kwa kiwango cha...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Mpira wa miguu una mambo yake wakati mwingine usilotegemea likatokea na unalotegemea lisitoke na ndiyo maana kwenye Betting kuna fedha nyingi sana. Timu yangu ya Young Africans inapewa nafasi...
4 Reactions
75 Replies
5K Views
Kipa aliye Fiti 99.9% kwa sasa ni Mwarabu Ayubu Lakred na kutokana na Urababu wake na ikizingatiwa leo tunacheza na Waarabu Wenzake Kiutamaduni na Kinujumu akidaka Yeye atatusaidia na Mechi kuwa...
8 Reactions
68 Replies
6K Views
Kuna za chini chini Zina vuma kuwa huu mtego wa Al ahly utamuondoa sambaroketo boy. Alitafutwa kwenye gemu ya power dynamo akawa ameutegeua huo mtego kwa kudroo ikawa pona yake Sasa viongozi wa...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Unajaua hata kama tumefungwa lakini hatua tuliyo ifikia nyie vyura amauwezi fika miaka buku. Kwa mpila wa leo karibu dunia nzima wameangalia, alafu hii ndo mechi ambaya club za Africa zimekutana...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Mnaenda kucheza na Professional players ambao they can make a difference popote na muda wowote. Mambo ya kwa mkapa hatoki mtu, sio agenda tena kama ilivyokuwa kwa RAJA de Casablanca. Nimeongea...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Baada ya Vilabu vikubwa vya Ulaya kufanya uasi juu ya UEFA na FIFA kwa kutaka kuanzisha Super League, FIFA chini ya Professor Wenger waliwaza ni vipi watapunguza kiburi cha Vilabu Ulaya? Wakaja...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Tanzania kukubali kuwa mwenyeji katika ufunguzi wa mashindano haya ya Caf ni heshima kubwa sana. Hivyo haiwezekani uongozi wa Caf ukubali Simba ifungwe game hii ya ufunguzi. Hivyo itakuwa tayari...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Leo ndio leo. Hatimae ile siku iliyo subiriwa miezi kadhaa imetimia ni masaa wachache tu tukashuhudie mnyama simba akiandika historia nyingine. Simba anakuwepo katika kundi la timu chache...
0 Reactions
4 Replies
550 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Dkt. Patrice Motsepe mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma...
1 Reactions
5 Replies
990 Views
Hivi hata message za msiba mpaka wakopi na kupaste hii ni aibu sana kwa taifa na wananchi. Hizi tim janja janja zimekua nyingi kama wanaajili watu hawajui ngeli ni aibu kwao.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Watu wa msalaba mwekundu( huduma ya kwanza) kimekua ni kichaka Cha kupotezea muda haswa pale timu inapokua inaongoza. Nijuavyo Mimi na Kama Kuna mtu anajua zaidi atanisahihisha. Huduma ya kwanza...
9 Reactions
36 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…