Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

"Nichukue fursa hii kuwapongeza sana viongozi wa Simba, wako very very smart, wanaakili wana brain nzuri ya kujua mpira, yule kocha (Benchikha) alishafika mwisho lakini sisi kama Yanga...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Naishauri TTF wairudie mechi ya Simba na Yanga. Ichezwe next week mashabiki tutachangia gharama za mchezo.
5 Reactions
40 Replies
2K Views
Nchi ya San Marino imeshinda mechi moja tu kati ya mechi zaidi ya 200 iliyowahi kucheza. Mechi yao rasmi ya kwanza kucheza ilikuwa ni mwaka 1990. Hata hivyo mechi hiyo ilikuwa ni ya kirafiki...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Kupitia ukurasa wao wa Instagram, AzamTv imetangaza kurusha tena ligi kuu ya Hispania ( La liga) kuanzia msimu ujao 2024/2025 Awali AzamTv walikuwa wanarusha ligi hiyo kabla ya kuachana nayo na...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna ambao wanajiuliza mbona hatumuoni ndugu yetu. Kweli kuna shida sana. Sasa Yanga cha kufanya mpelekeni Ihefu akapambane akimaliza mkataba wake mpeni thank you.
1 Reactions
5 Replies
851 Views
#nguvumoja# VIKOSI VINAVYOANZA. AZAM FC SIMBA SC. Updates... Timu zote mbili zimeshaingia Benjamin Mkapa. Wanajiandaa kuanza mazoezi ya kupasha misuli. Updates.... 04' Azam wanajaribu...
14 Reactions
760 Replies
44K Views
β€œKlabu kubwa kama TP Mazembe imesafiri kutoka DR Congo kuja hapa Jangwani kujifunza kwa kichwa chetu, Rais wetu Eng. Hersi Said halafu kuna watu wako nyumba ya 16 tu jirani hapo, wanapiga kelele...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Mzuka Wanajamvi! 2019 nilitabiri humu humu jamvin Liverpool itaifunga Barcelona 4-3 nusu fainali mechi ya marudio UEFA champions league na kuchukua UEFA dhidi ya Tottenham fainali. Nilibezwa na...
5 Reactions
48 Replies
3K Views
Ukweli usemwe tu,hizi timu kubwa za Kariakoo,zina wanachama wengi wa hovyo sana. Hawa ndio wanaopiga kura kuchagua akina mangungo.Wamejaa uchawa mtupu na wanahongeka kirahisi sana,hususan matawi...
1 Reactions
1 Replies
444 Views
Nimezunguka kwenye mitandao mpaka mtaani mpaka kwa viongozi wa matawi wote wamejifichwa kwenye kivuli za Yanga sc inabebwa na ndiyo maana wamchukua kombe la Nbcpl. kwani kilichowatoa kwenye kombe...
4 Reactions
8 Replies
730 Views
Tangu kuanza kwa msimu wa soka 2023/24 moja ya timu ambayo ilitabiriwa kufanya makubwa kutokana na ubora wa wachezaji ilionao pamoja na usajili uliofanyika ukijumlisha na umahiri wa kocha pep...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Shirikisho la soka la Algeria sasa linapanga kujiondoa ndani ya Shirikisho la soka Afrika (CAF) na kujiunga na Shirikisho la soka la Asia (AFC) kwa kuwa wanaamini CAF haijawahi kuwatendea haki...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Hii tImu Nilianza Kuipenda mwaka 1998 nikiwa Shule ya vidudu,Bi mkubwa alinunua Jezi number 7 mgongoni Imeandikwa Cantona,Kaka zangu wakawa wananipa story za Cantona,Tangu hapo nikawa mpenzi wa...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Kati ya wachezaji wenye bahati ni mkude. Yaani wakati Simba wanamwona wa nini Yanga watamtaka lini Dili ikatimia kijana anabeba makombe hivi sasa. Likewise ndugu yetu kaka yetu kisinda wa Berkane...
2 Reactions
2 Replies
951 Views
... πŸ™‚ π—§π—¨π—‘π—”π—™π—¨π—žπ—¨π—” π— π—”π—žπ—”π—•π—¨π—₯π—œ "Tumemsajili Ngoma Mchezaji tuliyemuiba Airport, tuna Chama, Miquissone karejea.. Tutachukua Ubingwa wa ligi kuu mapema sana msimu huu 23/24" ©️ Ahmed Ally Meneja wa...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Licha ya ratiba ngumu, nawapa Man City nafasi ya kunyanyua ubingwa mwisho wa msimu. Arsenal kama kawaida yao kuanzia mwezi march tutaona madudu yao, Liverpool ni tishio lakini hawatobeba ndoo...
1 Reactions
5 Replies
920 Views
Hii niko serious, mwota ndoto hafi mpaka itimie. Viongozi wa simba pelekeni wachezaji wenu wakaombewe. Chukueni serious maneno ya Benchika, hawa wamechukuliwa ufahamu wagumu kuelewa. Ukiona mtu...
4 Reactions
15 Replies
968 Views
Tuzo ya Kocha bora wa msimu kwa EPL kuna majina matano, ambayo ni; 1. Mikel Arteta - Arsenal 2. Unai Emery - Aston Villa 3. Pep Guardiola - Man City 4. Andoni Iraola - Bournemouth 5. Jurgen Klopp...
4 Reactions
42 Replies
3K Views
Wana Simba SC Wenzangu vipi tena mbona baada ya 'Droo' ya Kagera jana ule Wimbo wa Kumsifia Kocha Mgunda siusikii tena? Tafadhali tendelee Kuuimba Ok? Yaani Viongozi wa Simba SC nawakubali kwani...
11 Reactions
27 Replies
4K Views
Baada ya yanga kuchjkua ubingwa. Wa nbc Nashauri hii bodi ichukue mda kujitafakari ijiuzulu tu Wasione aibu kwa yale yalioendelea kwenye hii ligi huu mwaka n kichefuchefu Pia mabosi wa waamuzi...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…