Shirikisho la soka la Algeria linapanga kujiondoa ndani ya Shirikisho la soka Afrika (CAF) na kujiunga na Shirikisho la soka la Asia (AFC)

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,565
13,372
Shirikisho la soka la Algeria sasa linapanga kujiondoa ndani ya Shirikisho la soka Afrika (CAF) na kujiunga na Shirikisho la soka la Asia (AFC) kwa kuwa wanaamini CAF haijawahi kuwatendea haki katika maamuzi muhimu katika soka la Afrika.

Pia walitaja kilichotokea hivi juzi kati ya RS Berkane na USM Alger kama moja ya sababu zinatakazosababisha wao kujiondoa.

AFC ilianzishwa mwaka wa 1954 na ina wanachama 47 na ikiwa Algeria itakubaliwa, itakuwa wanachama 48
 
TFF wafikirie hili pia

sasa na huko Asia wakipata changamoto wanakinukisha
 
Waarabu wana heka heka

Lile goli la azizi kii vs mamelodi ndio wangekuwa wamekataliwa waarabu mechi ingeishia pale pale na zingepigwa ngumiii

Eperence vs mamelodi marefa wa motsepe walikuwa waogaaa kuminya haki sababu wanajua kwamba esperence sio wanyonge kama yanga
 
Shirikisho la soka la Algeria sasa linapanga kujiondoa ndani ya Shirikisho la soka Afrika (CAF) na kujiunga na Shirikisho la soka la Asia (AFC) kwa kuwa wanaamini CAF haijawahi kuwatendea haki katika maamuzi muhimu katika soka la Afrika.

Pia walitaja kilichotokea hivi juzi kati ya RS Berkane na USM Alger kama moja ya sababu zinatakazosababisha wao kujiondoa.

AFC ilianzishwa mwaka wa 1954 na ina wanachama 47 na ikiwa Algeria itakubaliwa, itakuwa wanachama 48
Naamini sasa simba tutafika nusu fainali.
 
Back
Top Bottom