Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Jina kamili: Mamelodi Sundowns Football Club Nicknames: Masandawana /The Brazilians. Nchi: Afrika Kusini. Ngazi ya ligi: Ligi kuu ya Afrika kusini (PSL/DstvPremiership) Kuanzishwa: 1970...
16 Reactions
133 Replies
7K Views
Wagumu nyumbani, sio wanyonge ugenini Mamelodi Sundowns ni miongoni mwa timu ambazo huwa sio rahisi kupoteza mechi kwenye uwanja wao wa nyumbani pindi inaposhiriki Ligi ya Mabingwa Afrika jambo...
17 Reactions
74 Replies
6K Views
Yassin Mustafa ana uwezo mkubwa kuliko Joyce Lomalisa Mutambala kwa Beki ( Mbavu ) ya Kushoto. Zawadi Mauya ana uwezo mara 100 kuliko Mchezaji wa Newcastle United ya katika Photoshop ya...
11 Reactions
62 Replies
7K Views
Lengo la timu huwa ni kushinda bila kujali nani kashinda,lakini kila mchezaji ana role yake uwanjani,timu huwa zinasajili striker namaanisha namba 9 kwa ajili ya kufunga,kwamara ya pili ligi yetu...
1 Reactions
12 Replies
538 Views
Habari wanajukwaa la sports. Nimejiuliza hapa sijataka kuumiza kichwa changu kutafta huko kwenye websites ya TFF na platforms zingine maana naweza kutana na majibu ya ajabu ajuae kua karia...
7 Reactions
48 Replies
2K Views
Simba ni Azam B. Narudia tena, Simba ni Azam B. Inasemekana, mwenye njaa hachagui chakula. Kumbe, hata timu isiyo na taji, hilazimika kujishikiza popote. Ona sasa, Simba wanavyohangaika. Mara oh...
5 Reactions
13 Replies
995 Views
Alieangalia Mpira hawez kubishana na mimi M.Mustafa alistahili kua Man of the Match. Ila nahisi mmeamu hivo coz ya Uzanzibar. Nimeelewa leo match ilikua inachezwa ila mlikua mnaangalia wachezaji...
21 Reactions
71 Replies
4K Views
Nilivyoangalia mchezo baina ya Azam na Yanga kwenye fainali za CRDB, ni wazi kuwa bila ya kuwa golikipa Mohammed Mustafa, Azam ingekuwa na wakati mgumu sana. Kwa vile Azam inaingia kwenye...
4 Reactions
7 Replies
913 Views
Kulikuwa na haja gani kwa timu ya kigeni kuingilia mijadala ya Baraza la wawakilishi na kupotezea muda Wawakilishi? Kama hilo jambo ni muhimu si waende kwao huko Dodoma, Karibu Wawakilishi wote...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Jamani moja ya kitu ambacho wazungu wametupiga K.O nacho ni hili. Wachambuzi wengi walimwingiza mkenge Fei kwa kigezo cha kusema eti Mpira ni ajira na kuna siku utafikia kikomo. Yes, tunakubali...
6 Reactions
50 Replies
2K Views
Nikiri katika màisha yangu Tangu nimeanza kushabikia soka hili ni tukio la Kwanza kwangu mchezaji kususia makusudi kuvalishwa medali bila sababu ya msingi. Huwa nawaona Wachezaji majeruhi nao...
18 Reactions
112 Replies
8K Views
Kama Yanga wanataka kubeba kombe la Club Bingwa Africa lazima wafanyie kazi udhaifu uliopo kwenye upigaji penati na mipira ya adhabu. Gamond ni bonge la kocha lakini si mzuri kwenye hizo sehemu...
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Hapa miaka ya karibuni kumeibuka upinzani mkubwa wa kisoka kati ya Azam na Yanga kiasi Kwamba derby ya watani imekuwa Haina mvuto kisa Simba kuonekana underdog but currently mzizima derby (Yanga...
4 Reactions
11 Replies
824 Views
Rasmi, Simba imeangukia Kombe la Shirikisho barani Africa ambalo wenzao Yanga walifika Fainali na kuukosa ubingwa kwa kanuni! Sasa ni kipimo kwa Simba kutuonyesha namna kombe ilo lilivyo jepesi...
25 Reactions
60 Replies
5K Views
Kipindi akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Nchi, alikuwa anamiliki timu ya Singida Utd ya pale mkoani Singida. Akajaza wachezaji wa kigeni kibao kama vile Michel Rusheshagonga, Shafik Batambuze...
29 Reactions
68 Replies
8K Views
Dakika za jioooooniiiii kwa sauti ya Pascal Kabombe, Nasreddine Nabi anakaribia kuukosa Ubingwa wa Morocco baada ya kuongoza ligi karibia msimu mzima. Baada ya matokeo haya, Raja Casablanca kwa...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Dua la kuku halimpati mwewe,ndivyo unaweza izungimzia baada ya kuangumia kwenye Kombe la shirikisho ambako nako itakutana na Vigogo walishindwa kufuzu Club Bingwa Africa. Simba iniandae na Wydad...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Beki huyo wa kushoto wa Yanga amemalizana na klabu yake hiyo baada ya kumalizika kwa msimu wa 2023\2024 Ambapo uongozi wa Yanga walitaka kumpa mkataba mpya wa mwaka mmoja lakini Lomalisa aliomba...
5 Reactions
4 Replies
773 Views
Achana na mbio za kiatu za Fei na Aziz Kila mwanasoka msimu huu ameshuhudia pazia jeusi likifunika soka la tz ambapo nyumba ya vipaji kwa soka la Tanzania ikianguka Kila mtu mtu ukimuuliza...
8 Reactions
39 Replies
2K Views
Furaha iwe na mipango. === Kaizer Chiefs are set to announce new coach and two signings on Wednesday? On Monday, a statement indicating that Kaizer Chiefs will unveil a new coach and players on...
2 Reactions
42 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…