Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Picha za Ali Kamwe, msemaji wa zamani wa klabu ya Yanga, zimeibua mjadala mkali kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuonekana amevaa Fulana ya rangi nyeupe yenye nembo ya SportPesa, ambao ni...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Timu imemaliza ya tatu ...hawakupaswa kabisa kucheza ngao ya jamii...ngapi ya jamii siku zote ni wa kwanza na WA pili... Kulazimisha derby mapema wakati Simba wamesajili wapya Wengi na wanahitaji...
13 Reactions
31 Replies
1K Views
Kama picha inavyoonyesha hapa chini,tunatambua kwasasa Timu hizi mbili Simba na Yanga zina wadhamini wao tofauti kabisa.Simba kwasasa inadhaniwa na M-bet na Yanga inadhaniwa na Sportpesa. Kitendo...
1 Reactions
1 Replies
489 Views
Tuliotazama mechi ya Azam na Coastal Union tumejiridhisha pasi na shaka kuwa chama letu halina mashabiki,uwanja mzima mashabiki tulikuwa kama 1000 tu
4 Reactions
7 Replies
485 Views
Mchezaji yeyote wa Kigeni anayesajiliwa katika Ligi Kuu atalipiwa ada maalum ya Sh. 8,000,000 (milioni nane) kwa msimu ili usajili wake uweze kuthibitishwa na kuruhusiwa kucheza. Kwa wacheaji 12...
8 Reactions
41 Replies
3K Views
  • Poll Poll
Haya Wababe wa Jangwani na Msimbazi Kariakoo leo wanazichapa nyasi za kwa Mkapa. Kila timu ina wachezaji matata, usajili mpya, jezi mpya na kila kitu ila matokeo yataamua nani anaondoka na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Tutofautishe kati ya uchawi, dawa na sumu, Uchawi unaadhili akili TU ya mtu (psychic) lakini dawa na sumu vinaathili mwili na akili (psycho-soma). Kitu chochote kama vile maneno, paka, ndege...
2 Reactions
19 Replies
889 Views
Baadhi ya kanuni mpya za ligi kuu Tanzania bara Kuelekea msimu wa 24|25. ◉ Mchezaji yoyote wa kigeni anayesajiliwa ligi kuu Tanzania bara atalipiwa ada maalumu ya Tsh 8 Million kwa msimu mmoja...
2 Reactions
7 Replies
840 Views
Hapo vip!! Ndio jamaa huyo hapo Hapo atambeba nani? --- Mwamuzi Elly Sasii amechaguliwa kuchezesha mechi ya nusu fainali ya Ngao ya Jamii kati ya Yanga sc dhidi ya Simba Sc itakayopigwa Agosti...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Leo ndo leo majira ya saa 4 usiku Yanga sc watakuwa wanacheza mechi yao ya kwanza katika ligi ya mabingwa Afrika Mungu ibariki Yanga SC. Kikosi cha Yanga YANGA YAANZA VIBAYA MAKUNDI CAF...
28 Reactions
2K Replies
92K Views
2nd Leg Match CAF CHAMPION LEAGUE QUARTER FINAL. Mamelodi Sundowns vs Yanga Sc Time: 9:00Pm Stadium: Loftus Versfeld Stadium More Updates following... Kikosi Cha Yanga Kinachoanza...
24 Reactions
2K Replies
100K Views
Kupangaia mtu wa mwana habari aandike nini wapi saa ngapi kuhusu Yanga hii sio sahihi, endesha mambo ki ethical usiweke emotional binafsi wewe unawakilisha taasisi unapovamia mtu ni sawa tuone kua...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Moja ya mambo yanayochosha soka la Bongo wakati mwingine ni utendaji wa Bodi ya Ligi, bodi ina mapungufu mengi sana lakini kwa vile tumeamua kuendesha mambo kishikaji tunakwenda tu. We hadi leo...
5 Reactions
17 Replies
960 Views
Mangungu anafaa au hafai? Na msibadili gia baada ya mechi.
9 Reactions
13 Replies
773 Views
Habari! Ukweli mwingine ni huu apa ikitokea Yanga akapoteza game ya tarehe 8 usi expect mashabiki wala vipngozi wao kutoleana maneno na kusontana huku mashabiki wakianza kuisema team vibaya. Ila...
7 Reactions
46 Replies
2K Views
Mwambieni Ongbak akipoteza derby watu watachange 😂. Tanzania itakuwa chungu hii. Derby anasema mechi ya kawaida. watu wameweka kila goli 100 million. Vijana wa Msimbazi wa mwambie Ongbak...
6 Reactions
9 Replies
884 Views
1. Hupenda Kukinga Kote Kote (Kwetu na Kwao) 2. Hupenda mno Kulazimisha 'Derby' iwe na ama Sare (ya Magoli) au Suluhu (bila ya Magoli) 3. Huwa ni Muoga na ana Maamuzi ya Kujishtukia na Kutotaka...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo ilishindwa kutoa maamuzi ya mapitio ya hukumu iliyompa ushindi Mzee Juma Ally Magoma na wenzake na kulazimika kuiahirisha hadi siku nyingine huku pia ikielezwa...
2 Reactions
8 Replies
979 Views
Gamondi mjanja Sana.. ramani ya vita imefichwa kesho tarehe 8 mtu atakuja kwa matumaini.. akutane na kitu chenye ncha Kali mpaka mapepo yamtoke Yellow national 💚💛💛💛 Cc ephen_
10 Reactions
25 Replies
1K Views
Wasanii watatu, Dj mmoja, Mc mmoja, Wageni wawili, Huna kombe la kuonesha, huna mchezaji wa kuringishia kwanini shughuli isiishe mapema Yani shughuli kama ya Ubarikio hakuna mambo mengi😂😂😂😂😂...
14 Reactions
20 Replies
1K Views
Back
Top Bottom