Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Biashara ya mpira wa miguu inalipa sana. Unajazwa upepo na wewe mjinga unafula na kusema tumeujaza uwanja. Wewe hujaujaza uwanja bali wenye akili wamekujaza uwanjani kisha wanaondoka na...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Tshirt hii alivaa GSM siku ya mwananchi. Ikawa gumzo, mtaani wakasema ni bei. Jamaa yangu kaenda kuinunua kauziwa 85,000 na risiti halali ya EFD kapewa. Mambo mazuri yanahitaji pesa!
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Shikamooo engn hersi poppte uliipoo
1 Reactions
3 Replies
469 Views
WACHEZAJI WASAIDIWE KUCHEZA TIMU ZA NDOTO ZAO Dube kacheza Azam misimu 4 bila kombe kacheza Yanga mechi 5 tu makombe mawili, medali mbili.. KAFUNGA magoli 3
3 Reactions
4 Replies
476 Views
Here are the predictions for the Ligi Kuu Bara matches: Pamba Jiji FC 2 - 1 Tanzania Prisons FC (Friday, 15.08.2024) Mashujaa FC 1-2 Dodoma Jiji FC (Saturday, 16.08.2024) Namungo FC 2-0...
0 Reactions
5 Replies
931 Views
Wachezaji wa Nje Waliojihakikishia Namba CHADRACK BOKA AZIZ KI CHAMA PACOME ZOUZOUA DUKE ABUYA YAO KOUASSI PRINCE DUBE BALEKE DIARRA AUCHO MAX Wachezaji wa Tanzania Waliojihakikishia Namba...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Hofu yangu bado ipo mpaka nikoona saa sita imefika Suala la Feisal kwenda Simba limentesa sanaa ngoja tuone Soma Pia: Simba yamtaka Fei Toto. wamepeleka ombi la mazungumzo Azam FC.
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Badop najiuliza sana holiswali wapendwa. Yule kipa aliekuwa akidaka mishale ya yanga Zanzibar ndio huyuhuyu kapigwa nne. Ama walimchezesha mdogo wake.
1 Reactions
3 Replies
399 Views
Hii ni kutokana na kutoelewana na Meneja wa Chama Mkataba unamtaka aanze kila mechi kama atakuwa fit .
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Naomba niwaambie mapema kabla ya mashindano na ligi kuanza ili msije kusema sikusema. Ile simba ya Robertinho ilikuwa ngumu sana sema wana simba wengi huwa hamridhiki na juhudi za makocha wenye...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Viongozi simba sports club VUNJA mkataba wa KAPOMBE na FREDY Michael, VIWANGO gyao ni vidogo kwa Sasa. KAPOMBE ameichezea Simba kwa muda mrefu Sasa, kinachotakiwa ni kumpa mkono wa kwaheri Ili...
1 Reactions
7 Replies
683 Views
Na kwa taarifa yenu kuna ya Wachezaji wengine akina Kagoma na Mashaka nao huko walikotoka Vilabu vyao Vimelalamika TFF na Wao watashinda Kesi kama ilivyoshinda KMC. Najua mtamalizana nao hawa Leo...
10 Reactions
29 Replies
2K Views
Kuna sehemu Simba haipo sawa tena kwenye uongozi wa juu,wale wawili hawaelewani Mangungu na Mo Dewji haziivi kabisa,hata ukiangalia kwenye Simba day hawakuongea kabisa,viongozi hawaelewani hata...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Mounir Nasraoui anaripotiwa kuwa katika hali mbaya baada ya kushambuliwa katika mji ulioko kaskazini mwa Barcelona. Mounir Nasraoui, baba wa nyota kijana wa timu ya taifa...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
𝗥𝗘𝗖𝗢𝗥𝗗: Real Madrid inaandika historia ya kuwa klabu ya kwanza kutwaa mataji mengi ya UEFA Super Cup (mara 6) Real Madrid imetwaa kombe la UEFA Super Cup kwa mara ya sita kufuatia ushindi wa 2-0...
0 Reactions
1 Replies
480 Views
Leo saa 4:00 Usiku kwa masaa ya Afrika ya Mashariki, kutakuwa na pambano la Uefa Super Cup katika dimba la taifa la Poland. Bingwa wa Uefa Champions League atamenyana na bingwa wa Uefa Europa...
9 Reactions
92 Replies
4K Views
Klabu ya Simba Sc imethibitisha kuridhia ombi la mchezaji Israel Mwenda kuondoka klabuni hapo baada ya nyota huyo kudai kuwa amepata timu nyingine Taarifa ya Wekundu hao wa Msimbazi imebainisha...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Nikiambiwa kwa sasa nitoe Alama za Kikosi cha Simba SC cha sasa baada ya Kukiona natoa ni 10% tu, ila 90% Kibovu. Soma Pia: Mashabiki wa Simba tukatae kukosa weledi kwa viongozi wa timu Mangungu...
8 Reactions
36 Replies
2K Views
Mpira ni taasisi yenye lugha yake, taratibu zake na sheria zake. Mpira ndio taasisi inayoruhusu mtu kuuzwa kwa mkataba fulani wa muda fulani kwa kiasi fulani. Hii inafanyika kwakuwa: 1. kila...
8 Reactions
119 Replies
8K Views
Back
Top Bottom