Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Sitaki kuzeeka mapema kisa timu ya mpila. Hela nitafute kwa shida pia hata timu ya mpila nayo inipe stress?? Wana Simba mtanisamehe sana, kwa Yanga hii tutasubiri sana. Kama huwezi kushindana nao...
19 Reactions
95 Replies
3K Views
Mayday ni neno la utaratibu wa dharura linalotumiwa kimataifa kama ishara ya dharura katika mawasiliano ya redio. Kwa wale wanaofahamu mambo ya jeshini nadhani watakuwa wanafahamu, hususan anga...
11 Reactions
18 Replies
1K Views
Baada ya kiwango kizuri alichoonesha siku ya leo akiisaidia timu yake kupata goli la kusawazisha akifunga yeye mwenyewe na mechi kumalizika kwa jumla ya magoli matatu kwa moja. Sasa ndio Kibu...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Mwaka 1998, Yanga ilifuzu hatua ya makundi ya Club Bingwa barani Afrika kwa kuichapa Coffee ya Ethiopia mabao 6 kwa moja katika mechi ya marudiano iliyofanyika uwanja wa Taifa tarehe 08/05/1998...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Baada ya nyuma mwiko a.k.a gongowazi,yondo sista,utopolo,nzi wa kijani,chura mjane kuwafunga kwa mbinde tugoli sita walima matikiti wa ethiopia uto wameshindwa kuivunja rekodi ya kufunga goli...
4 Reactions
16 Replies
782 Views
Leo simba wamecheza chini ya kiwango sana, mashabiki wengi wanasema sababu ni heshima ya ugenini ila sikubaliani na hilo. Hawa wajukuu wa Ghaddafi wapo vizuri sana, kwa kiwango hichi cha simba...
7 Reactions
122 Replies
5K Views
I will be short Simba fans are actually happy with the goalless draw against Al Ahly Tripoli despite the 50% - 50% chance of qualifying in the group stage here at home. Simba had a bad game...
2 Reactions
44 Replies
2K Views
Hatimaye klabu ya simba yafuzu kombe la mbumbumbu walioferi aisee kweli mwaka huu Kuna vichekesho wenzao yanga wapo klabu bingwa ya mabingwa wao wamefuzu kombe la walioferi wanashangilia kama...
4 Reactions
31 Replies
1K Views
Nimefuatilia match mbalimbali za ligi ya mabigwa ninaujasiri wa kusema kuwa kikosi hiki cha young african mwaka huu kina balaa zito.. si ajabu kabisa kikailetea tanzania na mpira wetu thamani...
13 Reactions
25 Replies
2K Views
Ewe Mwenyezi Mungu muumba ardhi na dunia, umeumba wanadamu na vitu vyote vilivyopo, tunakuomba uijalie Simba ushindi leo katika dimba la Benjamin Mkapa ili tuweze kufuzu hatua ya makundi. Ewe...
3 Reactions
8 Replies
651 Views
Huyu kochanmtuu mbad sana aisee Ameulizwa vipi kuhusu mechi anajibu m niliwambia leo nataka muondoke na mil 50 Nimehuzunishwa sana nashangaa wamechukua 30mil tu... KazinikwaYangakunakazi
1 Reactions
8 Replies
481 Views
Kuna sehemu nimekuja kupata supu ya kuondoa hangover, tangu saa nne asubuhi nipo hapa sijaona hata mtu mmoja alievaa jezi ya makolo. Naona wananchi tu wanakatiza mitaa wametupia jezi zao. Hali...
1 Reactions
11 Replies
516 Views
NItaelezea kwa ufupi sana hili suala. Kuna watu kwa sababu wametokea kupenda kudanganya mashabiki wao, wanadhani kila mtu ni wa kudanganya. Katika ranking ya miaka 5, hakuna point unazopata eti...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
Leo azam ikishinda dhidi ya coastal union,na simba ikifungwa na waarabu basi simba itakataa tamaa na kufungwa na azam
0 Reactions
0 Replies
264 Views
Kwelii kabisaaaa unaifunga timu 6-0 NOOOOO NOOOOO HATA MNGEWAACHIQ GOLI1 DIARA KAMA YUKO LIKIZO AISEE HAYABANA
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Mungu fundi kweli Wacha tuendekee kuishabikia tu Nawaza haka katimu kanavyotrsa watu hivi Laiti inggekua na dini yake nahisi wach wangepiga hela sana Wacha kabaki hivihici
0 Reactions
1 Replies
283 Views
Jana nilicheki mechi baina ya Real Mallorca vs Real Madrid, gemu iliisha kwa sare ya bao 1 -1, mpira mwingi ulipigwa na Real Mallorca jana na almanusura Madrid walie dakika za mwisho, Real Madrid...
9 Reactions
27 Replies
2K Views
Miaka nenda miaka rudi Yanga ni timu hatari imapoingia kipindi cha pili.
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Endapo Simba itashinda usiku wa leo, itajihakikishia alama 2.5, hivyo ukijumlisha na alama ilizo nazo kwa sasa, 28 + 2.5 = 30.5 hivyo itamrudisha juu ya Yanga kwa alama 1.5
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Back
Top Bottom