Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mzuka wanajamvi! Shirikisho la mpira duniani tarehe 2 December 2010 kupitia rais wake wakati huo Sepp Blatter walitangaza taifa dogo tajiri la uarabuni kuwa mwenyeji wa kombe la dunia 2022. Yani...
5 Reactions
4 Replies
635 Views
Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) limeeleza kusikitishwa na hatua ya kumuengua mwanariadha Alphonce Simbu katika uchaguzi wa Kamisheni ya Wachezaji ya Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), kwa madai...
0 Reactions
3 Replies
620 Views
Hivi kweli kuwa kenya wamenyang'anywa nafasi ya kuandaa hayo mashindano?
0 Reactions
8 Replies
801 Views
Kama messi alivyoshinda tuzo kimagumashi vile vile nao hawa Saudi Arabia wamefanya Magumashi. Fifa ni biashara, mpira ni biashara. Yani hapo ni mazingira yametengenezwa na pesa za mafuta kumagwa...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu Ndio kusema maji yamezidi Unga ama! == Shabiki wa Yanga maarufu kama Dosa ametoa malalamiko yake baada kuona anapoish mechi za Yanga kuoneshwa kwa bei rahisi.
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limethibitisha rasmi kuwa Kombe la Dunia la 2034 litaandaliwa na Saudi Arabia. Uamuzi huu ulitangazwa katika mkutano wa mtandaoni uliofanyika Zurich, Uswisi...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Mi sasa nshachanganyikiwa. Yaani si hatukona mchezaji mwingine mpaka enda chukua hii mibaki ya Simba? Aaah huyu alikuwa akikaa bench pale Singida. Kweli viongozi wangu mwatuletea mtu mwenye jina...
4 Reactions
69 Replies
4K Views
Kylian Mbappé, mmoja wa wachezaji bora zaidi wa soka duniani, amekuwa katika hali ngumu tangu kujiunga na Real Madrid akitokea PSG. Licha ya uzoefu wake mkubwa na uwezo wake wa kuamua mechi...
6 Reactions
64 Replies
4K Views
Yaaan shida ni maadili YAAN KUNA video zilisambaa kibaoo za Azizi pakome na baadhi ya wachezaji wakiwa bat siku tatu kabala ya mechi Aikutosha ilikuwa mechi nyingine wakaonekana wako bar Moja...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Maestro Rally Bwalya (Left footer magician), anayejulikana kwa uwezo wake wa mguu wa kushoto, yupo katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wake na klabu ya Pamba Jiji ya Mwanza. Bwalya...
1 Reactions
2 Replies
727 Views
Mchezaji wa zamani wa Simba SC, Israel Patrick Mwenda, amekamilisha uhamisho wake wa mkopo wa miezi sita kutoka Singida Big Stars kwenda Young Africans (Yanga). Pia, Soma: Singida Black Stars...
5 Reactions
44 Replies
4K Views
MANULA hawezi kupata namba pale Yanga,utamsajili utampeleka wapi.Kaisha!
2 Reactions
2 Replies
502 Views
Mtani amepata pigo lingine, baada ya kichaka alichokuwa anajificha la kuchukua kombe la mapinduzi kucheza na timu za taifa Tujikumbushe mafanikio ya mtani aliyosomewa kwenye mkutano mkuu ni kama...
0 Reactions
12 Replies
860 Views
Nakumbuka mwanzoni mwa msimu huu nilipongeza usajili mzuri waliofanya Simba ila nikatoa angalizo moja kuwa wachezaji wa Simba wapigwe marufuku kuzoeana na wachezaji wa Yanga nje ya uwanja...
15 Reactions
79 Replies
4K Views
Tukiwa usajili wa dirisha dogo tuna idadi imetosha ya wachezaji wa kigeni la sivyo tuvunje mikataba. Tunahitaji kuimarisha kikosi kwa kutumia wachezaji wazawa kama kuna umuhimu waekuingia gharama...
0 Reactions
3 Replies
600 Views
Timu ya Coastal Union imepokea barua rasmi ya Klabu ya Yanga kumuhitaji beki wa kati Lameck Lawi, Coastal Union inataka millioni 250 kama ada ya usajili wa Lameck Lawi kutoka Yanga. Soma, Pia...
0 Reactions
3 Replies
777 Views
Uyu winger wa Orlando Pirates amejitengenezea Dunia yake kutokana na uchezaji wake huchoki kumtazama kwakweli.
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu Inaelezwa kuwa Wajumbe wa bodi ya Al Ahly wamependekeza kwa Rais wa klabu hiyo, Mahmoud El Khatib, kujaribu kumsajili Cristiano Ronaldo kwa mkataba wa mkopo wa miezi sita kwa ajili ya...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Sababu 1.mechi mnayoanza away dhidi ya MC Alger lazima ugongwe 2.Ibenge ni kiboko yenu Toka enzi za nabi, lazima awagonge (mnamkumbuka mwamba Mohamed Abdelrahman ) 3..MC Alger Sina haja ya...
15 Reactions
98 Replies
6K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hekima na unyenyekevu mkubwa sana,kwa upendo na heshima kubwa sana na uzalendo wa hali ya juu sana ningependa kutoa rai na ushauri wangu kwa viongozi wangu hasa...
8 Reactions
41 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…