Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Habari zenu Wana Jamvi, hope ni wazima. Ebana, hatimaye katika harakati za hapa na pale, baada ya kuona washkaji stori zinazoongelewa ni za masuala ya kubeti, ikabidi na mimi niwaombe wanielekeze...
11 Reactions
75 Replies
4K Views
Wawakilishi wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho barani Africa, Simba SC leo wataingia uwanjani kupambana na CS Constantine kutokea Algeria kwenye mechi ya mwisho ya makundi Mechi hiyo ni...
22 Reactions
525 Replies
26K Views
Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford anatarajiwa kufanya vipimo vya Afya, leo Jumapili Februari 2, 2025 kuelekea kukamilisha mchakato wa kusajiliwa na Aston Villa kwa mkopo...
2 Reactions
5 Replies
867 Views
Mwamuzi wa kati Mechi Kati ya Yanga na Kagera sugar Wana supa nkulukumbi anaonyesha waziwazi Kuwa yeye anachezesha Sio Kwa kufuata Sheria 17 za soka Bali mahaba binafsi dhidi ya Yanga na Sitaki...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
MICHEZO: Wakati Ligi kuu Soka Tanzania bara ikisubiriwa kurejea mwanzoni mwa mwezi Februari baada ya michuano ya CHAN2024 kushindwa kufanyika mwezi Februari Mpaka Machi, Klabu ya Simba ndio kinara...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Mechi za playoff kupata timu 8 zitakazoungana na top 8
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Full name: AFC Bournemouth Nickname(s) The Cherries Boscombe Founded: 1899; 126 years ago (1899) (as Boscombe) Ground: Dean Court Owner: Black Knight Football Club UK Limited Chairman: Bill...
2 Reactions
17 Replies
828 Views
BONDIA wa Ngumi za Kulipwa Tanzania, Mohamedi Mnemwa, amepewa rufaa ya kupelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwenye kitengo cha Mifupa Moi kufuatia kipimo cha CT Scan kuonyesha damu...
7 Reactions
54 Replies
2K Views
Kwa hio eti Yanga ina mashabiki milioni 25 kuzidi Simba? Sijui wakuu ila sidhani aisee
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Kuna tumu nane mpaka kumi kwenye ligi kuu,haziwezi kyifunga yanga. Hizo mechi ukizidisha mara mbili yaani home and away ni mechi 20 Ukiweka milioni kila mechi kwa msimu mmoja una sh ngapi?? Sio...
2 Reactions
11 Replies
828 Views
TAARIFA KWA UMMA Idara ya Uhamiaji inapenda kutoa ufafanuzi wa taarifa zilizochapishwa na kujadiliwa kwenye mitandao ya kijamii na Vyombo vya Habari kuhusu kupatiwa uraia wa Tanzania wachezaji...
4 Reactions
103 Replies
8K Views
Nakupa pongezi kwa sababu huwezi kufikia kumi bila kuanza na moja mwendo wako uko kwenye njia sahihi, na mwelekeo wako ni mzuri! Kuchaguliwa kuwa mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya CAF si jambo...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Klabu ya Yanga imewapa taarifa Kwa barua rasmi wachezaji wake wawili Clement Mzize pamoja Aziz ki kuwa watakuwa sokoni mwishoni mwa msimu huu Mzize mwenye miaka 21 ametakiwa na club ya Wydad...
7 Reactions
45 Replies
4K Views
Zamalek amekula chuma tatu kama amesimama na bao la kwanza ameweka Mayele mtu mbadi. Pyramids wanaendelea kuongoza Ligi Kuu Misri mbele ya Al Ahly. Kama nilivyosema mkisikia Pyramids wamechukua...
1 Reactions
6 Replies
914 Views
Huwa tunajiuliza kwanini Tatu Malogo, Amina Kyando hawa mabinti Huwa wanapewa mechi za Simba? Licha ya kufanya makosa ya kujirudia lakini Huwa bodi ya ligi haikomi kuwapa michezo ya Simba Hawa...
3 Reactions
55 Replies
3K Views
Kampuni ya StarTimes Tanzania inayouza King’amuzi cha StraTimes, imetangaza kuwa, imepata haki ya kuonyesha michuano ya Kombe la Dunia ambayo itafanyika mwakani nchini Urusi. Hayo yamesemwa na...
1 Reactions
18 Replies
6K Views
Wakati kukiwa na mijadala kuhusu wachezaji wa ligi mbalimbali za soka nchini kuhusika katika michezo ya kubashiri (betting) na kupanga matokeo, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amefichua kuwa...
0 Reactions
1 Replies
588 Views
Amejiona kama amekuwa wa kawaida sana na umri unamtupa mkono. Kwa sasa anatafuta mlango wa kutokea. Tulimchukua atusaidie kimataifa kama ambavyo alishawahi kuisaidia Simba mara mbili kuwavusha...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Karibuni katika Matchday 5 Kati ya Al Hilal Omdurman' na Yanga katika dimba la Stade de la Capitale lililoko mjini Nouakchott, Mauritania, mechi hii itachezwa saa 4 usiku kwa saa za Africa...
24 Reactions
777 Replies
40K Views
Back
Top Bottom