Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Paris Saint-Germain Full name -Paris Saint-Germain Nickname(s) -Les Parisiens (The Parisians) Les Rouge et Bleu(The Red and Blues)Short ParisFounded. -12 August 1970; 50 years ago Ground. Parc...
3 Reactions
53 Replies
4K Views
1.mwaka wa 3 wa uongozi mabadiliko ya katiba hayajakamilika mpaka sasa wawekezaji kwa hisa hawajawekeza 2. Hali na morali ya wachezaji ipo chini 3. Mauzo ya jezi yameporomoka 4.wachezaji wengi...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Wazee Ubaya Ubwela jiandaeni Kisaikolojia AS FAR ya Morocco, inamtaka kocha wenu kipenzi baada ya kumfukuza Hubert Velud leo, tarehe 5 Februari 2025, kufuatia matokeo ya hivi karibuni. Katika...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Klabu ya soka ya MC Alger ya Algeria, imetuma ofa ya $350,000 sawa na TSh. 890,322,650 ili kumnasa Kibu Denis. MC Wwako serious na Kibu wanamuhitaji haraka sana ndani ya dirisha hili dogo. Pia...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Huwa najiuliza hii timu na hili shirika la ndege ndio wamejiunga mkataba wa milele au maana wanamiaka mingi wakuu anaejua anifahamishe Ili nipate kujua maana tangia wajengewe uwanja mpaka Leo...
0 Reactions
8 Replies
834 Views
Wanamichezo naomba tujadili Kwa kina Matatizo ya Makocha wetu WA mpira miguu hapa nchini. Kwanini Makocha wetu hawaendi kufundisha nje ya Tanzania. Wana udhaifu gani na ni changamoto zipi...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Serikali imesema bado ina dhamira ya kuhakikisha inatekeleza mpango wa kuwapa mafunzo (kozi) wachambuzi wa michezo kabla ya kwenda kufanya kazi ya uchambuzi kwenye vyombo vya habari kwa mujibu wa...
1 Reactions
7 Replies
631 Views
Nimejitahidi Kuwasililiza hawa utopolo lakini nimeshindwa... Hebu wasikilize kama utawaelewa. Hawaeleweki kabisa!!
4 Reactions
13 Replies
670 Views
Nilitazama mchezo wa Yanga vs Mtibwa Fc niliona kabisa alipaswa kuondoka na Clean sheet bila wasi wasi lakini kilichotokea alifungwa goli la kizembe/la kujitakia. Mashabiki /wadau wa mpira...
7 Reactions
55 Replies
3K Views
Wadau, nilisikia miaka ya nyuma kulikuwa na mipango ya kujenga uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu hapa Dodoma, lakini hadi sasa sijasikia maendeleo yoyote makubwa. Swali langu ni, huu uwanja...
6 Reactions
87 Replies
4K Views
Unamuona huyu mdada pichani? Hana furaha. Uwanja mzima unashangilia goal matata la Ronaldo ila yeye hana amani. Mwaka 1998, Timu ya taifa ya Brazil ilielekea Ufaransa kucheza michuano ya kombe la...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
1. GOAL LA TSHABALALA Goli la ufunguzi la Siphiwe Tshabalala alilolifunga dhidi ya Mexico kwa shuti kali la mguu wa kushoto lililomshinda mlinda mlango Oscar Perez. "Goal for Bafana Bafana, goal...
7 Reactions
49 Replies
3K Views
Droo ya robofainali ya #TotalEnergiesCAFCL & #TotalEnergiesCAFCC itafanyika katika mji mkuu wa Qatar, Doha, kwa ushirikiano na mshirika wa haki za vyombo vya habari wa CAF, @beINSPORTS_EN siku...
0 Reactions
5 Replies
811 Views
I salute you kinsmen Sajili tofauti tofauti tumeziona wakiwemo Ken gold walioleta macro wengi tu Ila kuna maharaja yameletwa ligi kuu yanatia mashaka sana uwezo wao na ubaya ni kuwa team zao...
3 Reactions
41 Replies
2K Views
Nauliza tu wandugu maana hali huko sio poa Side kaumaliza mwendo ngara23 OKW BOBAN SUNZU Kalpana Labani og Minjingu Jingu ephen_
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Hii habari ni kama watu wanatafuta engagement tu kwenye social medias mbalimbali ila ukweli siyo huo wanaoandika huko na hapa JF. Yule kocha Romavic kuna timu imefika dau hivyo imemtongoza...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Wapotoshaji uwa wanawai sana kupost habari zao walizonazo mfukoni kwa maslai yao lakini kwa hili naipongeza idara ya habari ya yanga kulitolea ufafanuzi haraka sana baada ya kuanza kusambaa kwa...
7 Reactions
37 Replies
2K Views
Hii timu tangia ijengewe uwanja wa Emirates imekua kama koloni la hii kampuni ningependa kujua wadau huu ni mkataba wa maisha kutokana na kuwajengea uwanja wenye kujua wanijulishe wakuu
3 Reactions
10 Replies
866 Views
Hawa ndio wenye kufifisha maendeleo ya soka Tanzania kakosekana GSM,hao sio watu wa mpira......kabisa hapa wanasaidiana kununua mechi na timu kama Ihefu sasa wana mradi wa kununuliana wachezaji na...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Katika hali ya kushangaza coach Saed Ramovic ameaga rasmi na kuwa mechi ya kesho vs ya Ken Gold ndo mechi ya mwisho kuwa Yanga Club ya CR Beilouzdad imempa offer ya mshahara wa dollar 40,000 na...
15 Reactions
136 Replies
7K Views
Back
Top Bottom