Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Hali inazidi kuwa mbaya kwa Man U Kila Leo. Hata mechi inayo fuata na Everton Man u wanaweza kufungwa pia. Mpaka najiuliza hivi Ferguson alikuwaga anawapa nini marefa?
4 Reactions
45 Replies
2K Views
When Allyson Felix became pregnant, Nike was prepared to cut the terms of Felix''s endorsement by as much as 70% due to the pregnancy, and told her to “know your place and just run.” Amid all of...
1 Reactions
0 Replies
533 Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane TAHADHARI Kama unaelewa kabisa una presha,au unahanguka na kuzimia kama OKW BOBAN SUNZU ,Tafadhali sana nakusihi tarehe 8.3.2025 usiende uwanjani au...
10 Reactions
27 Replies
1K Views
Huwa sijui klabu zetu huwa zinatumia vigezo gani kuwapata wasemaji wao wa klabu, nafikiri hizi klabu huwa zinajiokotea tu wahuni bar au vijiwe vya kahawa wale wenye kusema sana kwa mihemko ndio...
9 Reactions
52 Replies
2K Views
Mbunge wa Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, ameonyesha ukarimu kwa kuwalipia mashabiki wa Klabu ya Mbeya City tiketi 1000, ili kuipa nguvu katika mechi dhidi ya African Sports. Mchezo huo wa Ligi ya...
1 Reactions
11 Replies
755 Views
Salaam wakuu Baada ya kukosa kuangalia mechi ya Jana sababu Nilikuwa kwenye ndege kutoka Pretoria kuja bongo Leo nimeangalia marudio na kuona yafuatayo Kuhusu kuwapa nafasi wazawa ni jambo la...
1 Reactions
10 Replies
653 Views
Katibu Mtendaji Baraza la Michezo Tanzani (BMT) Neema Msitha ameyazungumza hayo leo jijini Dodoma katika mkutano wa waandishi wa habari akieleza mafanikio na muelekeo kuelekea maadhimisho ya miaka...
0 Reactions
3 Replies
393 Views
Ukweli lazima usemwe mechi ya leo imetia aibu sana mpira wetu, wachezaji wa maana kabisa waliosajiliwa kwa mamilioni ya shilingi kwa ajili ya kucheza mechi kubwa wamewekwa benchi halafu wanakuja...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
Kuna watu wanatafuta negatives TU kwenye maisha ya wengine. Aziz Ki ni mtu mzima, anahitaji kibali cha nani kumuoa mke yupi?. Ni mtanzania yupi anajua taratibu za kabila la Aziz Ki kwenye kuoa...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Yanga waliangalia ratiba ya ligi wakaona muda sahihi wa harusi ya Aziz Ki na Hamisa Mobetto ni huu ndiyo wakabariki hili zoezi zima linaloendelea. Wachezaji wa Yanga wamekuwa kwenye pilikapilika...
16 Reactions
77 Replies
3K Views
Ni kati ya mechi za hovyo sana kuwahi kushuhudia kwenye ligi yetu. Timu inaongozwa 2:1, dakika zimeisha, mnapata faulo mnapoteza muda nyie wenyewe? Pale wangekuwa wanacheza na Simba Singida wote...
12 Reactions
71 Replies
3K Views
Ligi yetu inapoelekea ni kubaya sana, ili kukomesha huu upangaji wa matokeo kwa timu ya Yanga kujichukulia point kwa baadhi ya timu zinazodhaminiwa na mfadhili wao mkuu GSM ni Mo kui giangia Mzigo...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Wadau wa soka wanaona jinsi soka linavyonajisiwa na hawa wapenda sifa. Hata hivyo kipimo kizuri ni mechi za kimataifa.Wana historia ya kuwa bingwa mara nyingi lakini historia yao kimataifa ni...
1 Reactions
7 Replies
514 Views
Uchawi wenu huwa mnafanya huku mafia kisiwa cha juani na gem ya mwisho aliwasaidia mganga toka msumbiji huku mafia na kuanzia jana mmeanza tena kuja mimi ikiwa mzaliwa wa mafia naapa kwamba...
9 Reactions
68 Replies
3K Views
Kila la Kheri wale ambao Jumatano hii wana Jukumu la Kitaifa na kuanzia Wiki mbili zijazo watakuwa na Jukumu la Nje.
2 Reactions
5 Replies
492 Views
Hiyo ndio mechi ya ndugu wawili mechi mbovu kuwahi kushuhudiwa mechi ya mipango mpira unapigwa wanaurudisha kwa mfungaji kipa anajirusha ushahidi bila...krosi inapigwa mabeki wanajitenga mfungaji...
13 Reactions
96 Replies
3K Views
Timu ya Singida Black Stars imetangaza kwamba mechi ya leo dhidi ya Yanga watapunzisha mastaa wao wa kigeni na kuchezesha wazawa ,wamedai wanapunzisha wachezaji mastaa kwa ajili ya game zinazokuja...
5 Reactions
44 Replies
2K Views
Nyota wa Tanzania Clara Luvanga anayecheza Saudi Arabia amejiunga na kambi ya timu ya Taifa ya Wanawake “Twiga Stars” inayojiandaa na mchezo wa kufuzu WAFCON 2026 dhidi ya Equtorial Guinea...
1 Reactions
1 Replies
438 Views
Huyu Hapa Ndio Mwamba Aliyeharibu Dili la Mabilioni la Mzize Huko Libya LILE dili la bilioni 3 limeota mbawa. Ndicho unachoweza kusema baada ya miamba ya soka ya Libya Al Ettihad kuachana na...
5 Reactions
55 Replies
3K Views
Mwamuzi Said Mkonde apigana na bondia Said Likaule baada ya kutokea mtafaruku baina ya wawili hao ulingoni. Mkonde alimaliza pambano kutokana na kile kilichotokea ulingoni kitendo ambacho...
9 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom