Ligi yetu ya NBC sasa inaonesha kuwa na ushindani mkubwa na malengo ya kufika mbali. Hii inachagizwa sana na jeuri na nguvu ya pesa kutoka kwa matajiri wetu wa Bongo.
Battle ya fedha sasa...
SIMBA NA YANGA, WATAPELEKA ZAWADI YA UBINGWA AFRIKA IKULU YA SAMIA.
NA MWALIMU TUMAINI MASHINGO.
Jioni moja ya 2023 wakati kimvua kikipiga na kibaridi cha mbali, upepo murua pembezoni mwa...
Jina kamili: Newcastle united
Jina la utani: The Magpies
Kuanzishwa: 1892
Uwanja wa nyumbani: St. James Park (uwezo mashabiki 52,000)
Wamiliki: Public investment fund 80% , RB Sports & Media 10%...
NBC Premier League leo Ijumaa
Saa 10:00 jioni, Simba SC watakuwa dimba la KMC Complex wakiwakaribisha Dodoma Jiji.
Hii ni mechi ya kiporo je ni Mnyama Simba ama Walima Zabibu nani kukitafuna...
Baada MR MVP Jean Charles Ahoua kufunga magoli 2 katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Dodoma Jiji anakuwa amefikisha jumla ya magoli 12 katika Ligi na kuwa kinara wa ufungaji.
Wanaomfuatia Jean...
Sio kwa Ubaya.
Braza ameondoka Mercedes kaenda Ferrari, mikwara mingi sana ila sijui hajaizoea F1-75.
Yote 9, msimu wa 2025/26 ndio tumeuanza hivyo Australia leo na matokeo ndio kama haya...
Ninaishauri Klabu ya Yanga impe mkono wa kwaheri kipa Mshery. Kwenye mechi ya jana kipa huyu alifanya mambo ya hovyo kweli kweli. Mpira wa mbali unamponyoka kama vile siyo kipa wa kiwango...
Erling Haaland ni Mchezaji wa kwanza wa Premier League kuhusika katika Magoli 100 akiwa na chini ya Michezo 100 zaidi. Amefunga Magoli 84 na kutoa Asisti 16 katika Michezo 94
Manchester City...
Wakuu,
Jamaa kauona mwezi, Kibu Denis mchezaji machachari wa klabu ya Simba sc amefanikiwa kupata goli lake la kwanza tokea afunge kwa mara ya mwisho kwenye ligi ya NBC dhidi ya Yanga SC December...
Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limemteua mwamuzi wa Tanzania, Ahmed Arajiga, kuwa miongoni mwa waamuzi watakaosimamia mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kati ya...
Ni vile hajitambui tu ila ni mchezaji pekeake kwa kizazi cha sasa mwenye kipaji cha kutumia miguu yote miwili kwa usawa katika kila kitu
Shida kichwani ni nyeto tu anawaza
Kwa club kubwa kama Simba Sports Club sikutegemea wao kufanya hiki walichofanya, wamechukulia ajali ya dodoma jiji kama Advantage ya kufunga goli nyingi, shida walizopata Dodoma jiji wameona ni...
Simba wanapaswa kukubali kuwa wao ni timu ya pili baada ya yanga na kwa jinsi tunavyoenda huenda ikawa ya tatu.
Naona yanga wana mikakati mikali kama shetani.
Shetani anaweka...
Mchambuzi mahiri Hans Rafael ameomba kuvunja mkataba wake na Crown FM 👑, hatua inayozua maswali kwa mashabiki wa uchambuzi wa michezo.
Taarifa nilizozipata kutoka kwa chanzo changu cha uhakika...
Baada ya maombi mazito hatimaye mtoto wa mfalume aweka rekodi yake msimu huu
Hat-trick' ya kwanza kwenye ligi kuu ya NBC msimu wa 2024/2025 imefungwa na Prince Dube
Tangu ligi ianze Dube amekuwa...
Hi nchi Ina vituko sana
Uwanja ni mali ya serikali alafu maamuzi ya ulinzi yanayohusu uwanja yanatolewa na makomandoo wa Yanga
Ilitakiwa Simba walipofika uwanjani wakutane na walinzi wa uwanja...
Jamani ivi kweli BWENZI & CHIKOLA ni wakuachwa national team Aya na YONA AMOS JE?
KIBU DENIS NA IDDY NADO wameitwa kwa vigezo vipi wakuu?
Hapo kocha wangu umepuyanga kwakweli