Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Ni kwamba Masela ( Wahuni ) wote wa Ubungo ( hasa pale UFI ) pale Manzese na Magomeni ( Migomigo ) tunakujua fika kuwa Wewe ni Yanga SC 'lia lia' na wengine ni 'Mashemeji' zako vile vile kwa Dada...
11 Reactions
32 Replies
4K Views
Nashawishika kuuliza hivyo kwakuwa naona Priva ni kama rasmi sasa ameshika mikoba ya usemaji wa Club. Je amefungiwa? Kama amefungiwa taarifa itatolewa lini? Au wanasubiri taarifa ya bodi ya ligi...
0 Reactions
3 Replies
383 Views
"Singida Black Stars sio mali ya Mwigulu Nchemba, Singida ni mali ya kampuni ya Highland Estate (Mbalali) ambayo ilikuwa ikimiliki Ihefu Sports Club". ©️ Peter Andrew. Afisa habari wa Singida...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Kila mwenye akili timamu lazima ajiulize chanzo cha ukwasi wa timu ya Singida Black Star 1. Hii timu inamilikiwa na nani? Mbona boss yupo kwenye mabano, ingekuwa kama Azam ya tajiri Bakhresa, Ken...
14 Reactions
57 Replies
4K Views
Uwanja wa Singida Black Stars ambao unazinduliwa leo na mechi ya kirafiki kati ya Singida BS dhidi ya Yanga SC Leo, Machi 24, 2025, Singida Black Stars inazindua rasmi uwanja wao mpya uliopo...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwa Tanzania kila Halmashauri ikiamua inaweza jenga kiwanja mfano wa kmc au singida Black stars kama wakiamua mfano Halmashauri ya ubungo, temeke, na kigamboni wanaweza kuwa na kiwanja kama kile...
0 Reactions
0 Replies
230 Views
Hapa binafsi nilijua ni Azizi Ki akimpa mkono Che Malone. Lakini kumbe siyo. Hapa nilijua ni Drogber Lakini hapa ndio alinichanganya zaidi
12 Reactions
105 Replies
5K Views
Bila kupoteza muda asalaam alaykum Bwana asifiwe. Msiokua na mungu habari zenu. Azam tv mmekua na tabia ya kukata matangazo ya mpira yakiwa mubashara. Jambo hili linakera na kuzua sinto...
4 Reactions
15 Replies
909 Views
1. Hivi Yanga SC ingekuwa inaongoza Alama kati ya Sita (6) au Saba (7) hizi Kelele zao za Bodi ya Ligi tungezisikia leo? 2. Bodi ya Ligi ambayo Yanga SC ilikuwa Bingwa kwa Misimu Mitatu mfululizo...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Simba SC, wameweka rekodi kwa kuwa klabu pekee kutoka Afrika Mashariki kuwemo kwenye orodha ya vilabu vya kihistoria ya Global Database Club (GDC). Simba SC sasa inajiunga na vigogo wa soka...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Salaam wakuu....maafande wi Nimeona watu mitandaoni wakizungumzia kuwa Yanga Kila siku wanatoa matamko ...ila Simba wapo kimya hii ni Kwa sababu zifuatazo 1) Fear of unknown ( Kwa mliokimbia...
8 Reactions
84 Replies
4K Views
Kwa aina hii ya udhaifu wa uongozi wa TFF/TPBL, sitashagaa mechi ya Simba na Yanga ikaendelea kupigwa kalenda. Najaribu kuwaza, kwa kuwa Yanga wamedhamiria kutocheza, siku ikipangwa tarehe ya...
0 Reactions
2 Replies
434 Views
Hakuna tushio la usalama kubwa kama pale watu wanaona kuna kikundi cha kihuni ambacho hata polisi wanashindwa kukidhibiti na kinafanya kinavyotaka. Maana yake,ni ishara tosha ya kusema mmeshindwa...
1 Reactions
5 Replies
372 Views
Ni  mechoshwa na mijadala isiyoisha ya kariakoo Derby...kuendeleza mijadala ya aina hii inayotawaliwa na hisia na ubishi ni kupoteza muda. Tanzania is unlucky for being grouped with african...
13 Reactions
52 Replies
2K Views
UCHAGUZI MREFA (MBEYA) Habari ndugu zangu Wanamichezo. Leo ni siku ya usaili kwa wagombea wa nafasi mbalimbali kwenye Chama cha Mpira Mkoa wa Mbeya (MREFA). Taarifa zilizipo ni kwamba Kamati ya...
1 Reactions
12 Replies
653 Views
Kipindi mnafurahia pesa za goli la mama basi mfurahie pia mkiombwa kuingia uwanjani, Mtatumia busara na kuziacha kanuni kama TPLB, Bodi ya wakurugenzi na wadhamini Yanga na Simba si...
1 Reactions
6 Replies
521 Views
Ramirez amezua balaa huko Stanford bridge Nusura walinzi wamzuie uwanja wa mazoezi wakidai soo yeye Kumbuka chelses na liverpool zimewakusanya malegend wao kukipiga mechi ya kirafiki Chelsea...
11 Reactions
33 Replies
2K Views
Is this True maana imeniwia vigumu kuamini kwa ukubwa wa Simba
2 Reactions
11 Replies
635 Views
Hii si kawaida huyu dogo atakuwa ametumwa na Mikia. Yanga huwa hatuna mambo kama haya. Tunasubiria kusikia Hersi atasemaje juu ya jambo hili. Atupe maelekezo au kama si yeye basi manara.
7 Reactions
13 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…