Haji Manara anakwenda kufaidika na msimamo wa yanga katika kila matokeo ya uamuzi wa kugomea mechi
Yanga kama hawatapeleka timu, kanuni zitafuatwa, Simba atafaidika na maamuzi. Hili likifanyika...
Majibu ya kitoto kabisa kwa Hersi, Edo amekuuliza kuhusu udhamini wa GSM kwa vilabu vinavyoshiriki LIgi yetu kuwa vinaashiria ya kuibeba Yanga wewe unasema unataka maswali Critical kama ya Oscar...
Nimeshangaa sana kuona Mamlaka zinazosimamia viwanja kuruhusu uwanja huu kutumika kwa michezo ya Ligi namba 6 kwa ubora barani Afrika. Baada ya kutazama mchezo wa Tabora utd inashangaza kuona...
kakangu
Mjomba wangu
Haya mambo lazima na n lazima utayameze
Nilikujulishe tu kama mjommbaa ile asali uliyotema lwenye conference lazima uimeze tenaaa
nakujuza tu uliidharau yanga ipo siku...
Leo kulikuwa na kikao pale Benjamin Mkapa, walianza kuitwa viongozi wa Yanga wakaongea yao na baadae wakaitwa Simba wakaongea yao, wote waliitwa kwa nyakati tofauti.
Naipongeza sana serikali kwa...
Rais wa Shirikisho la soka Tanzania TFF Wallace Karia baada ya kumaliza kikao na Waziri wa Michezo Prof Paramagamba Kabudi kuhusiana na sakata la derby ya Kariakoo hakuongea na waandishi zaidi ya...
Najua bado mnaumia kwa wale wachezaji wenu kushirikiana nasi. Manula ni binadamu msimpe adhabu kubwa hivi.
Ni tamaa tu ambazo binadamu wanakuwa nazo lakini msiue kipaji chake cha mpira please.
Wa TZ pamoja na vyombo vyao vya habari wametumia sasa wiki zaidi ya tatu kujadili na kuchambua issue za derby. Hao Hao wa TZ Hawajui nini kinaendelea kwenye uchumi wa Taifa lao. Kwa jinsi wa TZ...
Nimesikitishwa sana na matokeo Mimi kama mzalendo wa michezo nchini
Haya ndio mambo niliyoyaona Kwa viwango vya wachezaji wa Simba ....hawastahili kuitwa Tena
Kibu denisi
Mwamba Jana alikuwa...
Viongozi wa Klabu ya Yanga SC wamehitimisha kikao chao na serikali kilichofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, ambapo walijadili masuala muhimu kuhusu hatma ya dabi ya Kariakoo...
Huyu dogo alikuwa na kipaji sana. Sana walimwita Messi. Ramadhani Singano. Alipotelea wapi? Anafanya nini kwa sasa?
Kizazi chake katika soka ni akina Mohammed Hussen kama sijakosea. Hawa...
Hakuna unachoweza kusema isipokuwa kuwapongeza Simba pamoja na figisu,uchawi na roho mbaya za nyuma mwiko bado ndio wawakilishi pekee kimataifa hadi sasa.
Huu ni ushahidi tosha kuwa timu hii ipo...
Mpira ni kama dini.Kuna mashabiki wana imani kali na timu zao.Wengine wamekufa kwa sababu za kufungwa timu zao.
Mashabiki wanatawaliwa na hisia sana.
Kuna kiongozi wa club moja anajaribu kuitumia...
Hakuna kuendelea kudanganyana any more. Match itarudiwa na tutaenda uwanjani. Hii wala haihitaji elimu ya sekondary
Mikia.wamenyamaza sababu wanajua mambo yanavyoenda wapo very calculated. Hata...
Wadau nmeikuta tena hii sehemu. Ina maana Hersi anashindwa kupenetrate kule ndani kuipandisha Yanga? Yaani Simba wapo Shirikisho. Bado wanapigiwa promo na kukuzwa kila sehemu? Why? Kwa nini?