Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Sibo ni shabiki wa mamelod aliamua kujitolea na kuweka ubinadamu mbele na kumuokoa shabiki wa timu ya Esperance aliyekwama jukwaani na alikuwa kwenye hatari ya kuanguka na kufa..nina hakika...
3 Reactions
14 Replies
938 Views
Wazee hivi inakuwaje mwenyeji wako anafanya Sub Sita kubadili mabeki, viungo na washambuliaji wake halafu kocha wetu fadlu anang'ang'ania wachezaji wale wale waliochoka? kulikuwa na ulazima gani...
21 Reactions
84 Replies
5K Views
Hapa ni Peru, yasemekana kwenye Peru Cup refaree usipojilinda hatima yako ni hospitali ama kufa kabisa Hapo refa alikuwa ametoa red kwa mchezaji, mbeba vifaa wa timu akaona usitutanie kaokota...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Matokeo ya Simba kushinda mpaka kuwe na penalty ndicho kimewaponza Jana ..... Tumeshuhudia mechi 22 walizocheza Simba kwenye michezo 15 wamepata penalty Hii inamaanisha kwenye Kila michezo 3...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Mnakumbuka alikuwa mdhamini wa timu zote mwaka juzi, Yanga ikafika fainali kwa kubebwa na ma arajiga wa CAF. Mwaka huu kaidhamini Al Masry ili itukwamishe. Kamara kapewa hela pia. Mimi ni mzee...
4 Reactions
7 Replies
722 Views
Najalibu kujiuliza nguvu ipi wanaipata mashabiki ambao timu yao imefungwa mala nne mfululizo na mechi ya tano wameingia mitini kwa kuogopa kipigo lakini bado wanajipa moyo kujifanya wanatamba...
1 Reactions
19 Replies
952 Views
Pesa sasa hivi ni ngumu. Pia, mimi si mpenzi sana wa soka, lakini nimesoma vyombo kaadhaa vya habari kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha , katoa ahadi ya milioni 60 kwa timu yake...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Winga wa Manchester United, Alejandro Garnacho yupo kwenye mpango wa kuiuza nyumba yake iliyopo Jijini Manchester uamuzi ambao umeanza kutafsiriwa na mashabiki wa timu yake kuwa inawezekana ni...
0 Reactions
3 Replies
706 Views
Klabu ya Simba SC imemtangaza Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, kuwa mgeni maalum katika mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC)...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
sijaua kama ni fitness ndio inakosekana kwa wachezaji yaani ule uchapu nani kafungua,imekaaje kaaje nipige au niendelee kusukuma kwenda mbele na sio umeona tu lango na kupiga...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Nimewahi kusema mechi za nyuma , SIMBA wanacheza vizuri sana kuanzia nyuma hadi katikati.... Inachokosekana uwezo wao wa kuvuruga defence pinzani. Magoli mengi yanatokana na krosi za full back...
1 Reactions
5 Replies
454 Views
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Richard Abwao amesema Jeshi la Polisi Mkoani humo limemuachia Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe kwa dhamana huku taratibu nyingine za kiuchunguzi kuhusu tuhuma...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa ni kiongozi wa watu wote, taasisi zote na vikundi vyote. Anapokuwa anatumia pesa ya watu wote kuwapa Tabora United inayoshiriki ligi kuu sawa na timu nyingine sio sawa. Hii ni tofauti...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Narudia tena ni shughuli ngumu mno kufungua code za timu iliyoamua kupaki. Ni timu chache sana duniani zinazoweza shughuli hii. Na hata ukiweza kushinda basi ni kwa margin ya goli moja unless...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Tanzania tumeshazoea mipira yetu inayochezwa na waamuzi wakina Tatu Malongo, wao ukianguka tu penati hawaangalii tukio kwa umakini. Naona kuna wengine wanalalamika kwanini Kepteni hakuongea na...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Kuna hawa strikers wa Simba , Simba Ina mastriker watatu ambao kwenye pecking order ateba ni namba moja , mukwala Namba mbili na mashaka namba tatu, kwa upande wangu sijawahi muelewa kabisa ateba...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Mwenendo wa timu ya Astonvilla kupata alamu tatu kwa michezo sita mfululizo umenishitua sana na kuvutiwa na mipango mipya ya klabu hiyo toka dirisha dogo. Je ni homa au mikakati thabiti
2 Reactions
11 Replies
709 Views
Nilishawaambia kocha wa simba Hanaga plan B ( rejea post zangu za nyuma. Yeye alipopata matokeo kipindi cha kwanza cha pili ni ngumu, hata sub zake huwa za mashaka sana akiwa hana matokeo. Mara...
1 Reactions
9 Replies
655 Views
Kuna muda huwa nahisi kuwa Kocha wa Simba SC Fadlu Davis anapangiwa Kikosi au nae huwa Anabeti kwani simwelewi.
4 Reactions
7 Replies
702 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…