Ni kweli, njia ambayo Simba imetumia kufuzu ni ngumu sana. Baada ya kuona goli la ugenini halipatikani, badala ya kuendelea kulilazimisha ilitakiwa kujihami zaidi ili walau irudi ikiwa na deni la...
RS Berkane wamepata penati ya kijinga, Asec wamegoma katakata hadi refa akacheki kwenye VAR, hili ni fundisho kubwa kwetu kuelekea mechi na waafrika kusini
NUSU FAINALI CAF CC π
.
πΉπΏ SIMBA SC π STELLENBOSCH πΏπ¦
YANGA VS STAND UNITED CRDB CONFEDERATION ROBO FAINALI
KUPANGA NI KUCHAGUA ππππ
mm yanga damu ila nahamia simba
Nyota wa mchezo wa leo Ellie Mpanu alizungumza baada ya dakika 90' kumalizika.
Mpanzu " Namshukuru Mungu kwa hatua kubwa tuliyopiga kwa kufika hatua ya nusu fainali na ukiangalia Misimu 5 ni...
Kengold haina mjadala atashuka tu, Je atashuka na nani moja kwa moja bila playoffs
Mtibwa kakiwasha sana championship ana uhakika wa kurudi ligi kuu, je atarudi na nani
Ukiangalia uwanja wa Taifa ulivyo sasa utagundua watu wanapiga hela a.k.a kutafuna nchi bila huruma viongozi muwe na hata chambe ya huruma hata kidogo
Inaumiza sana billion 30 ndo zimeenda hivyo...
Nimesikitika mno kuona Ligi yangu inayosifika Kuwa iinashika nafasi ya tano kwa ubora Africa timu zake kubwa Yanga SC na Simba SC likija suala la kimataifa wanacheza kwenye Jaruba lililojaa maji...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Makolo eeeeeeeee amang'ana abharisya!
Amueni wenyewe Leo,nipate amasenti au mnipe Furaha π
Reo ndiyo siku ambayo mutake musitake razima murime Rami!π
JUMAPILI TUNAENDA KUMSHUKURU MUNGU KWA MWAMPOSA!"
Mashabiki wote wa Simba Sports Club, ushindi wetu si wa kawaida β ni wa kiroho! Ni lazima tumrudishie Mungu utukufu kwa neema, nguvu na ushindi...
Usiku kucha wa kuamkia leo kimepigwa kisomo kikali hapa kwamsisi na wazee washatoa go ahead tuwahi Dar es salaam tukashuhudie goli zetu 4 kuoanda juu.
Kama una roho mbaya kama hao utopolo baki...
Umofia Wana Jukwaa !
Kama Mada ilivyo, nawaza hivi huu uwanja huyo Mkandarasi anayejenga hakujua kuwa ball linatembea kwenye pitch sio vyoo?
Naibu Waziri wa Michezo nimekuona unachukuwa Video ni...