Jamaa ana gundu,alienda Berkane hakupata medali,akaenda Yanga timu yake ikaishia makundi ,soon Simba watavaa medali.
Akihojiwa alisema ndoto yake ni kuvaa medali au kombe.
Hana bahati ila ni...
Kupitia alichokifanya Yanga kwenye michuano hii ya CAF ni wazi wamebadilisha mindset za klabu zetu hapa Bongo kwamba Mafanikio sio Robo Fainali wala kufa kiume. Simba alitolewa Robo fainali...
Ndiyo natembea bila nguo kifuani....watu waone manywele yote kifuani. Na kwa kitendo hicho nipigwe ban ya mwezi mzima kavu. Bila mbambamba.
Sioni Simba ya kushinda match ya leo na washambuliaji...
Kwa heshima na taadhima, tunapenda kuwapongeza Yanga kwa kuweka historia ya kuwa watalii rasmi wa fainali za CAF Confederation Cup! ποΈπ
Kwa muda mrefu mmekuwa mkihubiri injili ya "medali...
Klabu ya Wydad Casablanca ya Morocco imeachana na Kocha Mkuu wa Afrika Kusini Rulani Mokwena, wiki chache kabla ya Kombe la Dunia la FIFA la vilabu nchini Marekani.
Uamuzi huo ulifanywa...
Habari wadau poleni na kazi. Wanasimba wenzangu niwape hongera .
Moja kwa moja kwenye mada .Baada ya Simba kufuzu kwenda hatua ya fainali sasa tutaanza kuona nyuzi za watopolo wakimtisha simba...
Mwamnyeto
huyu uwezo wake umeshuka sana, limekuwa beki la hovyo mnoo..hili pazia likicheza watu wanafinya mbupu mwanzo mwisho..Lifukuzwe
Ikangalombo
Wakati mwingine sio lazima timu iwe...
Kwenye ligi Arsenal kashaachwa alama 15 na vinara Liverpool.
Kwenye Uefa wapo hatua ya 16 bora huku wakiwa na uongozi wa magoli 7 katika mchezo wa kwanza.
Naambiwa akivuka hapo atakutana na...
Tuacheni MZAHA SSC leo imejimaliza.
Bado kikosi cha SSC ni dhaifu, halafu ni kama wachezaji hawana hari. Last game pale Misri SSC ilikuwa na shot on Target 10 , sadly hawakupata goli, Al masiri...
HAKUNA POINTI YA KUSHINDANA KATIKA SHINDANO AMBALO UNAJUA HUTASHINDA
Yaani unakuwa tu kama msindikizaji, Simba ni timu kubwa sana, yenye pride kubwa, so haiwezi kuendelea kuwa mdindikizaji kila...
Leo Club ya Simba SC. Wanalunyasi kama wenyewe wanavyopendakutambulishwa,itakapofika saa 1600hrs alasiri huko kwa Mzee Madiba, watakuwa na kazi moja tu, na muhimu ya kuidhihirishia Africa kuwa...
Hongera sana kwa Yanga kwa kazi ya kishujaa ya kuwatoa mabingwa wa Zanzibar, timu ngumu kabisa ya KVZ! π
Kwa kweli mmeonesha kiwango cha juu mno, mpaka tukabaki kushangaa.
Sasa safari yenu ya...
Leo ndio leo hatimaye imefika siku muhimu kwa wapenda soka barani Africa.
Ni fainali ya mkondo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Africa kwa msimu wa 2022/2023 kati ya Yanga na USM Algerz Mechi hii...
Wewe ni nguli wa kufatilia soka, twende kazi.
Ni mchezaji gani amecheza na wachezaji hawa kwa nyakati tofauti, iwe kwenye vilabu au timu ya taifa.
Mchezaji gani huyo kacheza na Messi, Cristiano...
Pamoja na mambo mengine kinachoikwamisha Azam ni kukosa mashabiki.
Stella wakiwa ugenini ni wakali kuliko kwao
Kule kwao hawana mashabiki kabisa kama Azam
Simba itakuwa kama iko kwa Mkapa tu...
Na Hana furaha kabisa. Katupia magoli mawili..kawapeleka final Kwa mara ya kwanza yet sijaona akiwa na furaha hata kuwa spotlighted.
Hivyo hatadumu hapo. Hopefully huu ndio msimu wake wa mwisho.