Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Siongezi neno,!picha zimemaliza kila kitu!!!
0 Reactions
34 Replies
5K Views
kama contino hamutaki mumrusu aondoke mbrazili kapona nyinyi hamtaki kumpa mechi watanzani mnamatatizo au mnataka rushwa kwa mchezaji huyo
0 Reactions
3 Replies
800 Views
The TPM had nothing to fear from Shark FC XI. However, the Ravens have progressed this Saturday, 11/04/2015 Tata Raphael will leave a very bad memory. Not really because of the opposite team, but...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Leo ni leo. Wale jamaa wataalamu wa kupiga mtu kwa kufata tar huku wafungaji wao wakitupia kwa kufuata mwezi watakua taifa jioni ya leo kupambana na wagonga nyundo wa nyanda za juu kudini(MCC)...
3 Reactions
262 Replies
31K Views
wadau wa mchezo huu wa kubashiri, kwa anaejua process za upatikanaji wa hizi machine za kubett, tusaidiane ili tu enjoy na kumpuna muhindi.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
MWAMBUSI: Nategemea kutumia mfumo wa kujilinda zaidi na kushambulia kwa kushitukiza(4-5-1)au(4-3-2-1) Ndugu yangu kwa speed ya mawinga wa Yanga huwezi ukashambulia bila hesabu,vinginevyo unaweza...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Aliyekuwa mshabiki maarufu wa Team ya Yanga Steve Amefunguka na kusema kitendo chake cha kuhamia kuwa mshabiki wa Azam kutoka Yanga kimefanya maisha yake yawe Mabovu kimaslahi na umaarufu...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Straika wa Yanga, raia wa Burundi, Amissi Tambwe, ameweka bonge la rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kupiga hat-trick (mabao matatu mechi moja) tatu kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Natamani kuelekea Uchaguzi Wabunge Wa Ukawa Vijana Kwa kushirikiana na Wabunge Vijana Wa CCM Vijana kucheza Mechi Mpira wa Miguu. Mechi hii ni ya kutuandaa Vijana Wa Tanzania Kisaikolojia kuelekea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Check out the new dancehall video ''RUMBLE'' made by the kenyan/drc, swedish based duo VIBETRIXX! Watch & Share!:mod: Click on the below to watch https://youtu.be/zMMKBgoqbmw...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Picha zinaongea. Mpaka hapa unaona aliye serious na anayesindikiza!!!
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Hii nikwawale wenyemapenzi me ma Wapenzi wasimba jiandaeni nakichapo kwamechi 3mfululizo.src.nipm
0 Reactions
2 Replies
1K Views
1.Ngassa-Mchezaji bora. 2.Msuva-Mfungaji bora wa klabu. 3.Niyonzima-Mchezaji bora wa kigeni. Wenye wivu wajinyonge.
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Naona jamaa wabarca wako ikulu yetu wanakunywa chaîne na raisi mh unajua kunamadadawa taifa nao wameingia all africa game vipi ukawapongeze kwakuwaita ikulu hawa hata kashata tu pu wtashukurumkuu...
0 Reactions
2 Replies
934 Views
UPDATES: FT : Ndanda FC 0 - 0 Tanzania Prisons FT : Mtibwa Sugar FC 1 - 1 Azam FC ( Mussa Mgosi for Mtibwa | Himid Mao for Azam) FT : JKT Ruvu FC 0 - 2 Coastal Union ( Ike Obbina, Rama Salim)...
1 Reactions
68 Replies
7K Views
Miaka yote kombe lenu ni Top4! Safari hii kulikoni mbona hatuwaeleni? Kuweni wastaarabu basi kwenye mechi zilizosalia muonyeshe uprofeshenolizm! Yaan mtuovertek kwel mwishon kabisa wakat msimu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ivi wakuu hii mechi leo ipo kweli maana sisikii shamra shamra zozote kama ilivyokuwa kwa R. Madrid legends. Na kama ipo ni saa ngapi.
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Kama kawaida msimu wa ligi unapoelekea kwisha Simba inapokutana na Azam ,inakuwa imepoteza dira, na mbio za ubingwa zinabakia kwa timu kubwa TZ, Yanga na Azam. Msimu huu tena tutaishangilia...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Nilikua niki tegemea tbc wataonyesha mchezo wa twiga stars na zambia lakini awakuonyesha wala kutangaza kwenye radio. Kumbukeni kua twiga stars inakua ikifanya vizuli kuliko timu yetu ya wanaume...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…