Mimi kama shabiki kindaki ndaki wa Simba Baada ya kushtushwa na sakata la kolo management yetu.....Kwa akili timamu nimeamua sitanunua ticket zingine .... ticket za awali zitumike
Viongozi wa...
Hata aje engineer wa kutoka mars, hata itumike Trillion moja as long ile pitch itaendelea kuchimbwa chimbwa kabla ya mechi fulani fulani na timu fulani fulani yale madimbwi hayataisha kamwe
Mimi sio mchambuzi wa soka,sio mtabiri wala sio mganga,Bali ni mtu ninaependa kuangalia mambo kwa kina.
Sababu zinazonifanya nione kabisa kua, safari hii na mwaka huu wa 2025,ni mwaka wa Simba...
Wanasimba wenzangu popote mlipo hapa nchini na kwinginepo kuweni macho,adui yetu namba moja "Nyuma mwiko" ameshaingia kazini kushirikiana na RS Berkane.
Sio tu naandika,Bali Nina ushahidi wa huku...
Kwakweli wachukue tu Simba Ili jitihada zilizoonyeshwa kwenye michezo na mafanikio mengi yaliyowekwa yaendelee kupata maana. Aisee kwenye michezo umepigwa mwingi mpaka unapwakuka. Hata haters wa...
Kutoka Nchini Cameroon π¨π², Mchezaji wa klabu ya Victoria United, Wilfried Nathan Douala ambaye ni Kiungo mwenye umri wa miaka 19, ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora Chipukizi wa msimu huu Nchini...
Habarini Za MDA huu ,kutokana na taarifa kwamba mechi ya makolo imehamishwa kwenda Uwanja WA New Amaan Complex,hivo kupelekea baadhi ya mipango Yao kufeli ... Wameamua kuja na mpango Mbadala...
Hii ni kutokana na matengenezo makubwa ya uwanja wa Mkapa na ule wa amaan Kila baada ya mechi wanaufunga kwa matengenezo (wanatunza kama wazee wa kichaga na pick up ya Datsun)
So final ni Tanga
Wakuu,
Kitendo Cha Simba kumaliza dk 90 bila shuti lililolenga lango [emoji32][emoji23]kimetushtua sana wanasoka .....hata namungo alivyocheza na waarabu haikuwa hivi
Nipo naandaa research report...
Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la soka nchi TFF, imemfungia wakili Damas Ndumbaro kujihusisha na mambo ya soka kwa muda wa miaka saba na faini ya kiasi cha pesa. Ndumbaro ambaye aliingia katika...
Leo nimemkumbuka aliyekua Rais wa JMT hayati John Pombe Magufuli, sehemu ya maneno alisema "naiomba Simba ilete kombe la Afrika hapa".
Baada ya JPM kufariki, mwili wake ukaaagwa Dar, ukapelekwa...
Walichofanya viongozi wa Simba ni utapeli wa maksudi
ππππππππ
Uwanja umefungiwa hakuna taarifa ya kufunguliwa umeanza kuuza tiketi bila go ahead, umepewa taarifa rasmi ukajitoa ufahamu ukaendelea...
Naibu waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma amesema kuwa, Mfumo wa Artist Information Management System (AMIS) ambao umeunganishwa na TAUSI kutoka TAMISEMI umerahisisha...
Record ya goli 2 ndani ya dk chache dk 6'
Katika kupitia makala zangu za kiuchambuzi club ya Simba imefanikiwa kuandika record ya kuwa timu ya kwanza kufungwa goli nyingi (2) kwenye final ndani...
Kama unakili Timamu tu utanielewa huyu Mzee akili sijui hua anazitumia wapi?
Nina matukio ma 4 saiv ya kudhihirisha ujinga wake.
1.Nani anakumbuka swala la Derby ile ya Chuma 5? Mzeee alisema...
TAMKO RASMI LA MASHABIKI NA WADAU WA MPIRA WA MIGUU TANZANIA
Kuhusu Msimu wa 2024/2025 na Wito wa Mabadiliko ya Haraka TPLB
Sisi kama mashabiki wa mpira wa miguu Tanzania, tunatoa tamko hili...
Tujuzane wachezaji watatu bora kuwahi kuvaa jezi za Njano na Kijani yaani Yanga Sc. Mimi naanza na hawa.
Edibily Jonas Lunyamila
Nadir Haroub Ally Kanavaro
Nonda Shaban Papii
Tupe list yako...
Kikosi cha wekundu wa Msimbazi Simba tayari kimeanza Safari ya kuelekea kisiwani Zanzibar kwenye mchezo wa Fainali ya kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya RS Barkane, Mchezo huo utapigwa...