Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mimi sio mchambuzi wa soka,sio mtabiri wala sio mganga,Bali ni mtu ninaependa kuangalia mambo kwa kina. Sababu zinazonifanya nione kabisa kua, safari hii na mwaka huu wa 2025,ni mwaka wa Simba...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanasimba wenzangu popote mlipo hapa nchini na kwinginepo kuweni macho,adui yetu namba moja "Nyuma mwiko" ameshaingia kazini kushirikiana na RS Berkane. Sio tu naandika,Bali Nina ushahidi wa huku...
10 Reactions
70 Replies
3K Views
Kwakweli wachukue tu Simba Ili jitihada zilizoonyeshwa kwenye michezo na mafanikio mengi yaliyowekwa yaendelee kupata maana. Aisee kwenye michezo umepigwa mwingi mpaka unapwakuka. Hata haters wa...
0 Reactions
14 Replies
580 Views
Kutoka Nchini Cameroon πŸ‡¨πŸ‡², Mchezaji wa klabu ya Victoria United, Wilfried Nathan Douala ambaye ni Kiungo mwenye umri wa miaka 19, ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora Chipukizi wa msimu huu Nchini...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Habarini Za MDA huu ,kutokana na taarifa kwamba mechi ya makolo imehamishwa kwenda Uwanja WA New Amaan Complex,hivo kupelekea baadhi ya mipango Yao kufeli ... Wameamua kuja na mpango Mbadala...
3 Reactions
11 Replies
845 Views
Hii ni kutokana na matengenezo makubwa ya uwanja wa Mkapa na ule wa amaan Kila baada ya mechi wanaufunga kwa matengenezo (wanatunza kama wazee wa kichaga na pick up ya Datsun) So final ni Tanga
0 Reactions
16 Replies
895 Views
Wakuu, Kitendo Cha Simba kumaliza dk 90 bila shuti lililolenga lango [emoji32][emoji23]kimetushtua sana wanasoka .....hata namungo alivyocheza na waarabu haikuwa hivi Nipo naandaa research report...
0 Reactions
26 Replies
1K Views
Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la soka nchi TFF, imemfungia wakili Damas Ndumbaro kujihusisha na mambo ya soka kwa muda wa miaka saba na faini ya kiasi cha pesa. Ndumbaro ambaye aliingia katika...
6 Reactions
136 Replies
18K Views
Leo nimemkumbuka aliyekua Rais wa JMT hayati John Pombe Magufuli, sehemu ya maneno alisema "naiomba Simba ilete kombe la Afrika hapa". Baada ya JPM kufariki, mwili wake ukaaagwa Dar, ukapelekwa...
5 Reactions
8 Replies
645 Views
Walichofanya viongozi wa Simba ni utapeli wa maksudi πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Uwanja umefungiwa hakuna taarifa ya kufunguliwa umeanza kuuza tiketi bila go ahead, umepewa taarifa rasmi ukajitoa ufahamu ukaendelea...
17 Reactions
60 Replies
2K Views
Naibu waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma amesema kuwa, Mfumo wa Artist Information Management System (AMIS) ambao umeunganishwa na TAUSI kutoka TAMISEMI umerahisisha...
0 Reactions
2 Replies
391 Views
Record ya goli 2 ndani ya dk chache dk 6' Katika kupitia makala zangu za kiuchambuzi club ya Simba imefanikiwa kuandika record ya kuwa timu ya kwanza kufungwa goli nyingi (2) kwenye final ndani...
2 Reactions
19 Replies
882 Views
Kama unakili Timamu tu utanielewa huyu Mzee akili sijui hua anazitumia wapi? Nina matukio ma 4 saiv ya kudhihirisha ujinga wake. 1.Nani anakumbuka swala la Derby ile ya Chuma 5? Mzeee alisema...
11 Reactions
61 Replies
3K Views
TAMKO RASMI LA MASHABIKI NA WADAU WA MPIRA WA MIGUU TANZANIA Kuhusu Msimu wa 2024/2025 na Wito wa Mabadiliko ya Haraka TPLB Sisi kama mashabiki wa mpira wa miguu Tanzania, tunatoa tamko hili...
1 Reactions
6 Replies
951 Views
Tujuzane wachezaji watatu bora kuwahi kuvaa jezi za Njano na Kijani yaani Yanga Sc. Mimi naanza na hawa. Edibily Jonas Lunyamila Nadir Haroub Ally Kanavaro Nonda Shaban Papii Tupe list yako...
14 Reactions
190 Replies
32K Views
Kikosi cha wekundu wa Msimbazi Simba tayari kimeanza Safari ya kuelekea kisiwani Zanzibar kwenye mchezo wa Fainali ya kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya RS Barkane, Mchezo huo utapigwa...
0 Reactions
3 Replies
730 Views
Timu ni za wazaramo na zilianzishwa na wazaramo wa Dar es salaam kwa malengo yao binafsi.Wewe wa kutoka madongo kuinama yanakuhusu nini kwani huko kwenu mikoani hakuna timu au mchezo wa mpira...
2 Reactions
6 Replies
507 Views
CAF kuupeleka Zanzibar mchezo wa Simba na Berkane ni sawa kabisa maana hata waziri wa michezo aliutangazia umma kuwa ukarabati unaofanywa hauhusishi pitch, hivyo ni kweli haufai kuchezea wakati wa...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Simba wamenyooka sana kwenye haya mambo ya sheria na kanuni,hadi wafanye jambo ujue wameshajihakikishia kwamba wako sahihi. Yanga walipanga hujuma kuwafunga Simba kwa uonevu wakawanyima uwanja wa...
14 Reactions
41 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…