Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Hbr wadau, Naomba kuuliza, decoders za bein sport kwa Dar es Salaam nani anauza? Hao jamaa naona wako vizuri sana mikoani kwa watoa huduma za cables, nilitaka kupata decoder yao hapa dsm
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Bahari ni kiboko ya usafiri wa wachawi [emoji115] [emoji115] uzi wa ndugu yetu mshana aliwahi sema bahari ni kiboko ya wachawi. Uongozi wa Yanga umesema kikosi chao kitaweka kambi Pemba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimepokea Maoni ya watu wengi sana wakiniambia kwann siongelei sana Uchaguzi wa Safari hii wa TFF wakati nlikuwa nampiga sana Malinzi na wakati ni Huu wa mabadiliko? Kwa wadau wangu Kwanza...
0 Reactions
1 Replies
956 Views
Wadau wenzangu wa JF bila shaka hamjambo. Ikiwa yamebaki masaa kwa mtanange wa ligi kuu ya mpira wa miguu uingereza yaani EPL kuanza naomba tulijadidili hili. hivi ni kxa nini wachambuzi wengi wa...
0 Reactions
7 Replies
973 Views
BINAFSI sitamsamehe Neymar. Katika umri wa miaka 25, nyakati unazotamani kuona akielekea juu kabisa ya kilele cha ubora duniani, anachagua kuondoka Barcelona na kwenda PSG. Kwa mchezaji wa aina...
15 Reactions
84 Replies
17K Views
Ilikuwa bonge moja la chenga lakini ndio hivyo tena aisee. clementsangaONLINE
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Ni online Football game kwa simu za Smartphone... Njoo tubadirishane Maujanja..
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu bara Yanga wameamua kufunga safari na kwenda Kisiwani Pemba Zanzibar kwa ajili ya maandalizi ya wiki moja kujipanga kuikabili klabu ya Simba katika mchezo wa Ngao ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mchezaji wa zamani wa yanga Simon Msuva aliyetimkia kwa watabe wa soka barani Afrika klabu ya Difaa el Jadida ya nchini Morocco Leo pamoja na wachezaji wenzake wametimkia nchi jirani ya Hispania...
3 Reactions
15 Replies
8K Views
Nipo hapa nacheki vichupi kutoka huko london kwenye mashindano ya IAAF world champions Super sport 8 Karibuni wakui waume wa wake.
0 Reactions
2 Replies
858 Views
Kesho ndo siku ambayo mourinho na vijana wake watakapo kufa mbele ya vijana wa Zidane... Sioni ni njia IPI Man U watapita kuweza twaa ubingwa wa UEFA Super Cup 2017.Balaa litawakuta kuleee ulaya...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Wakati wa fukuto la vilabu vya Simba na Yanga kugeuzwa kuwa Kampuni ama kumilikiwa na mtu mmoja, Katibu wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Mohamed Kiganja, alisema kwamba serikali haitaruhusu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Watanzania katika michezo tumekuwa wasindikizaji na wale wanaoshinda ni kwa juhudi binafsi,,,big up Simbu let us watch out for remaining Tanzania in London Marathon Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
3 Replies
793 Views
Sijui niko sawasawa lkn nijuavyo mimi mechi kama hii ya SIMBA na RAYON ni ya kimataifa sasa nisichokijua mbona hakuna bendera ya TAIFA wala ya RWANDA wala ya FIFA wala ya CAF,hii ni sahihi? Sent...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
NANUSA HARUFU YA DAMU.... MAN U vs REAL MADRID Baada ya Manchester United kupata matatizo ya "Munich Air Disaster", Real Madrid ilikua timu ya kwanza kujitoa kujaribu kuisaidia kifedha na kutaka...
12 Reactions
54 Replies
10K Views
Kikosi kikipata ''msosi wa kitaalam'' mda mchache kabla ya kuelekea Uwanja wa Taifa Wakuu kama ilivyoada leo ni siku iliyokuwa ikisubiriwa na kila mdau wa mpira bila kujali itikadi ya timu yake...
5 Reactions
46 Replies
20K Views
Wanajamvi njooni tumjadili kijana wa kifaransa mwenye asili ya Algeria.... a)Huyu jamaa ni kocha kweli au status yake kama mchezaji inambeba? b) Yale mafanikio ni ufundi wake au ni ile timu...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Maoni yangu haya By Deadbody
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Narudia tena kusema enyi Kaimu Viongozi wa Simba SC Salim Abdallah a.k.a try again na mwenzako ' Mtani ' wangu wa Kihaya Idi Kajuna a.k.a tajiri kijana nawapa muda wa Saa 24 au 48 tu zijazo...
2 Reactions
62 Replies
13K Views
Kumekua na taarifa nyingi Mitandaoni juu ya hawa miamba wa Catalan juu ya kutaka kuziba nafasi ya genius wa Mpira Neymar Jr alietimkia PSG... Hii ni ndoto ya mchana kweupe tena saa sita jua la...
7 Reactions
33 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…