Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Bodi ya Ligi (TPLB) ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limefanya mabadiliko kidogo katika michezo ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kama ifuatavyo. Michezo ambayo imefanyiwa...
1 Reactions
40 Replies
7K Views
Ni nani kati ya MESSI na CR7 atakua wa kwanza kufikisha magoli 100 UEFA Champion league? je kwa mwinendo huu atakua Messi au CR7? Je wewe unaonaje? Karibuni sana. IDADI YA MAGOLI ADI LEO...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Mpira Wa Bongo ni 'matukio'. Wakati Klabu ya Yanga SC inamsajili Ajibu ilionekana kama vile imemsajili Neymar Wa PSG makelele sifa za kila aina.Baada ya kumsajili Tshishimbi kelele zote za Ajibu...
3 Reactions
35 Replies
5K Views
Kwa nini michezo ya Simba SC vs Azam FC na Yanga SC vs Njombe Mji isichezeshwe siku moja? Wakati kila timu zinacheza mkoa tofauti na viwanja tofauti? TFF wanapanga matokeo mapema, hata raundi ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mshambuliaji hatari kwa ukanda huu wa Afrika ya Mashariki na Kati, Emmanuel Okwi ameipa ushindi timu yake ya Taifa ya Uganda dhidi ya Misri katika pambano la Kufuzu Kombe la Dunia lililopigwa...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Leo wana Simba tunayo furaha isiyo kifani kumpokea mshambuliaji wetu Nicholas Gyan akitokea Ghana Mchezaji huyu alikuja Simba Day na kurejea Ghana kumalizia maandalizi. Ikumbukwe kuwa Gyan ni...
7 Reactions
17 Replies
3K Views
Pale shamba la bibi inapigwa game ya kirafiki kati ya Mnyama Nguvu Moja na timu ya ligi kuu ya Zanzibar Hard Rock Game imeanza Gooooooo Mo Ibrahim ametupia Updates Goooooooo Mo Ibrahim ametupia...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Leo mishale ya saa sita mchana, Klabu ya Simba Sports Club, itatangaza jambo kubwa kupitia waandishi wa habari. Shughuli mzima na mkutano huo utafanyika Klabuni Makao Makuu Mtaa wa Msimbazi...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Kijana mpenda michezo ndani ya mji wa Mbeya na muandaaji wa mashindano maarufu kama Mastala Cup acha uhuni na utapeli kijana. Umeandaa mashindano yako yamefanyika hadi kumalizika na Itezi United...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa miaka miki nasikia huu wadhifa wa Mkurugenzi wa Ufundi wa Shirikisho la soka Tanzania (TFF) . Aliwahi kushika wadhifa huo Sunday Kayuni na sasa ni Salum Madadi. Je ni nini majukumu ya msingi...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Niende moja moja kwenye mada, awali tuliambiwa ana mkataba huko kwenye timu yake ya zamani ambao tuliambiwa ungeisha tatehe 20/08/2017 lakini mpaka Leo hakuna taarifa za uhakika wa taarifa zaidi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Simba yaifunga Yanga 2 - 1 huko Marekani. Mabingwa wa Tanzania North America Simba Sports Club ya Ughaibuni, leo walitetea taji lao baada ya kuifunga Yanga Sports Club ya Ughaibuni bao 2-1 katika...
5 Reactions
24 Replies
4K Views
The Investigatory Chamber of the UEFA Club Financial Control Body has opened a formal investigation into Paris Saint-Germain as part of its ongoing monitoring of clubs under Financial Fair Play...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwaka wa jana bodi ya ligi iliwatia kitanzini Kaseke na Chirwa kwa lengo la kusaidia klabu mojawapo lalamishi kutwaa ubingwa. Jaribio hill lilifeli. Msimu huu kijana machachari awapo uwanjani...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Huwa sifichi mahaba yangu kwa mchezaji anayenivutia uwanjani hata kama anachezea klabu nisiyoishabikia Scara kamusoko hapewi heshima anayostahili nchi hii,ni level ya kucheza Europe. -Manara...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Chama cha mpira wa miguu Tanzania TFF kimemfungia Mchezaji Pius Buswita kwa kosa la kusajili timu mbili za Yanga na Simba. Ambako kwa sheria za TFF mchezaji atakayekutwa na kosa hilo atafungiwa...
2 Reactions
19 Replies
5K Views
KIKOSI CHA KWANZA CHA TANZANIA DHIDI YA BOTSWANA 1:Aishi Manula 2: Erasto Nyoni 3:Gadiel Michael 4:Abdi Banda 5:Kelvin Yondani 6:Himid Mao 7:Simon Msuva 8:Mzamiru Yassin 9:Shiza Kichuya 10:Khamis...
0 Reactions
62 Replies
9K Views
Ikiwa ni hivi karibuni uwanja wa taifa al maarufu Benjamin William mkapa stadium kuanza kufanyiwa ukarabati wa pitch kwa kupandikiza nyasi kwa hali isiyotarajiwa mengi yameibuliwa Mara baada ya...
5 Reactions
54 Replies
11K Views
Sky Sports Statto ✔@SkySportsStatto Cristiano Ronaldo has scored the 48th hat-trick of his senior career: 42 - Real Madrid 5 - Portugal 1 - Man Utd 11:21 PM - Aug 31, 2017 1313 Replies...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Hii ni kwa wale mashabiki wa football tieni nmba yenu apa nikuadd kwenye group Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…