Huyu ni muingereza alizaliwa mwaka 1973,
Alianza kuichezea Arsenal ya vijana mwaka 1989
Alikuwepo kwenye kikosi cha Arsenal kilichochukua Taji la First division chini ya kocha Graham, pia...
Habari wanajukwaa, tunategemea kushuhudia mashindano ya kombe la dunia yatakayofanyika huko Urusi hivi karibuni. Mashindano hayo yataonyeshwa moja kwa moja na vituo vya televisheni vya TV 1 pamoja...
Watu wamemkalia kooni Jose Mourinho kiasi ambacho imebidi afanye deactivation ya akaunti yake ya Instagram! Usifanye mchezo kuvumilia mapovu ya mashabiki.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli anatarajia kuwa mgeni rasmi katika sherehe za kukabidhi kombe kwa bingwa wa ligi kuu ya Vodacom kwa msimu wa 2017/2018. Rais...
Kwangu huyu ni bonge la striker nguvu anazo mipira ya juu yupo safi sijaona kosa la kocha wa france kwa huyu jamaa hii ni faida kwa watu wafupi kama wakina greizman kufaidika na huduma yake...
Habari zenu!
Iwapo Rais Magufuli atakwenda kuwapa kombe Simba la Ubingwa 2018, tukio hili litakuwa ajabu ya dunia ama tunaweza kuita kituko cha karne katika soka.
Sisi wadau wa soka tunajua Karia...
#FA Chelsea mabingwa kombe la FA England baada ya kuifunga Man United bao 1-0 katika mchezo wa fainali uliopigwa Uwanja wa Wembley jijini London.
#FACup2018 Timu ya ChelseaFC wakabidhiwa Kombe...
ABBASI TARIMBA KURUDI KUWA MWENYEKITI WA YANGA SC
Aliyekuwa mwenyekiti wa timu ya Yanga Sc na mwanzilishi wa wazo la Yanga kampuni, ndugu abbasi tarimba anaweza akarud tena kama Mwenyekiti wa...
Kama kawaida wanaJF hakuna kinachotupita. Ligi kuu Tanzania Bara inaelekea ukingoni huku Simba ikijichukulia ubingwa kwa rekodi ya bila kufungwa.
Tukiwa tunaelekea ukingoni kabisa mwa ligi kuu...
More than 200 street-connected children from across the world have come together in Russia for their own boys and girls international football tournaments, festival of arts and Congress for their...
content
AUDIO instrumental VIDEO
search
VIDEO May 17, 2018
New VIDEO: Khaligraph Jones x Msupa S – Watajua Hawajui
New VIDEO: Khaligraph Jones ft. Msupa S – Watajua Hawajui DOWNLOAD ...
Fernando Torres apewa heshima zote Atletico ashindwa kujizuia na kulia mbele ya Umati.[emoji22]
Torres alianza mpira akiwa na miaka 11 akiichezea Atletico Madrid team ya watoto 1995-2001 na...
Kocha wa Brazil Tite ametangaza kikosi cha wachezaji 23 watakaoelekea Urusi
Brazil squad in full:
Goalkeepers: Alisson (Roma), Ederson (Manchester City), Cassio (Corinthians).
Defenders: Danilo...
KWATA UNIT katika blog yao wameandika hivi:
Kulingana na Ufatiliaji wa karibu wa Ligi Kuu soka ya Tanzania Bara VPL Kwataunit.com inakuletea Kikosi chake Bora cha Msimu kwa wachezaji wa Ndani...
Miaka 22 iliyopita profesa kutoka ufaransa aliwasisli London kuwa manager wa moja ya timu kubwa London..Ilikuwa september 1996 ambapo Arsenal ilimtangaza Wenger kuwa kocha wao na alianza kazi 1...