Fernando Torres (Elininyo)

Hazard CFC

JF-Expert Member
Apr 7, 2015
16,615
38,589
Fernando Torres apewa heshima zote Atletico ashindwa kujizuia na kulia mbele ya Umati.

Torres alianza mpira akiwa na miaka 11 akiichezea Atletico Madrid team ya watoto 1995-2001 na kujiunga name Atletico Madrid Team Kubwa 2001-2007 alipotoka hapo Akaenda England kukipiga na Liverpool,Chelsea na alipotoka England Akaenda Milan Italy na kurudi Spain ATLETICO kipaji kilipozaliwa safari yake ya mpira imekua na mafanikio makubwa ingawa misukusuko haikosekani lakini yote hayo katika wachezaji wenye Bahati huyu ana Bahati Kubwa sana ya kunyanyua vikombe popote atiapo mguu niwazi kwamba FERNANDO TORRES nimiongoni mwa majina makubwa kwenye ulimwengu wa soka na ni miongoni mwa wachezaji wenye Kupendwa sana na Mashabiki awe kwenye form asiwe kwenye form Mashabiki huwa pamoja nae.

Hakika anahaki ya kutoa Machozi wapo wakina lukaku wanatamani kupendwa ila ndio vile

FB_IMG_1526711498921.jpg
 
Bado hujaitendea haki hili bandiko juu ya huyu ‘kiumbe’. Baada kustaafu Ronaldo Nazario Luis de Lima, kwangu El-Nino ndo alikuwa mshambulizi bora kwenye nyakati zake.
 
Bado hujaitendea haki hili bandiko juu ya huyu ‘kiumbe’. Baada kustaafu Ronaldo Nazario Luis de Lima, kwangu El-Nino ndo alikuwa mshambulizi bora kwenye nyakati zake.
Alipofika Chelsea akaflop kinyama hadi akalalamika Drogba anampiga fusho na juju za kiafrika that's why hajielewi pale Chelsea.

Na kweli alipoondoka tu Chelsea akarudi kuwa fire tena..Waafrika kwa fusho hatari sana. Drogba alikuwaga na kabibi kake ako kakitua tu pale London kinawaka.
 
Msaidieni na gwaLukaku hayo mafusho na juju, sisi Piere kaja anaonyesha atavunja vunja vihistoria
 
now it's fernando toreeeeeeeeeeeezzzzzz!!!!!!!! liverpool 4 man utd 1. hapo vidic kalambishwa reli. yule ndio alikuwa elininyo sasa, baada tu ya kuondoka liver akawa ni kivuli tu cha striker.
 
Back
Top Bottom