Thabani Kamusoko (kushoto) akiwa na kocha wa Yanga, Noel Mwandila
Nahodha wa klabu ya Yanga, Thaban Kamusoko anaamini kuwa timu yao ipo tayari kwa ajili ya michuano ya SportPesa Super Cup...
Habari wanamichezo!
Tangu kujiuzulu kwa Manji kwenye timu ya Yanga, sauti ya mamlaka ya kiuongozi imepotea! Huo ndo ukweli hata ukibisha.
Tatizo la Mzee Sanga ni kupenda madaraka ambayo pia...
Leo ni fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC), inapigwa katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha ambapo Mtibwa Sugar dhidi ya Singida United.
00' Mpira umeanza kwa...
Gazeti la Cadena SER kutoka nchini Hispania, limeripoti kwamba taarifa za uhakika kutoka ndani ya Klabu ya Real Madrid ni kwamba Kocha Zinedine Zidane 'Zizzou' (45), amejiuzulu nafasi ya...
Mchezaji wa nafasi ya kiungo, ambaye pia alikuwa nahodha wa Azam FC Himid Mao Mkami (Ninja), amesaini mkataba wa miaka mitatu kuitumikia Klabu ya Petrojet inayoshiriki ligi kuu nchini Misri.
Sitaki akili yangu wala ya msomaji yeyote itilie manani juu ya uwezo wako kichwani, elimu yako, makuzi yako wala jamii yako.
Itoshe tu kusema staha ni jambo muhimu sana kwa binaadamu yeyote yule...
ARGENTINA
Boca Juniors
River Plate
Newell's Oldboys
Argentinos Juniors
Chacarita Juniors
Godoy Cruz
Rosario Central
San Lorenzo
Atletico Tucuman
Banfield
Lanus
Arsenal de sarandi.
Estudiantes...
Kwanza Na declare interest.Mimi ni Mshabiki wa Manchester United, Real Madrid kwa Spain Pa1 na huyu Mnyama Christiano Ronaldo toka enzi.
Pa1 na kua kinara wa Upachikaji magoli UEFA iliyoisha...
Naomba maoni yangu yaheshimiwe kama ambavyo nami pia nitayaheshimu yenu ambayo mtayatoa katika Kuchangia hili ambalo naenda kuligusia hapa kwani naona kuna ' Wapuuzi ' fulani ndani ya Simba SC...
Sijajua wenzangu huwa munatizama nini katika Soka, Siku Niyonzima anasaini
Msimbazi ilikuwa habari ya mjini na tena ya kuhuzunisha kwa Wanayanga. binafsi
Niyonzima alikuwa mchezaji mzuri lakini wa...
AFRICA ILIPOISHANGAZA DUNIA
Sasa ni zamu ya kushabikia teams zetu za Africa maana tulifanikiwa katika miaka kudhaa nyuma na kuishangaza dunia.
Ikumbukwe kombe la dunia la mwaka 1998 liliisha kwa...
Kikosi kamili cha Yanga Sports Club kilichoelekea nchini Kenya kwenye michuano ya SportPesa Super Cup .
Vikosi cha Yanga ,Simba, JKU cha Zanzibar vimeondoka nchini kwenda Nairobi nchini...
Wito wangu kwa uongozi wa Yanga ni mmoja tu.
wawe waadilifu na kuhakikisha Yanga inarejea kwenye hali yake ya kawaida.
Uhujumu dhidi ya timu hauwezi kubadilisha msimamo wa Serikali dhidi ya...
Klabu ya soka ya Singida United imetangaza kuwasajili wachezaji wapya watatu, akiwemo mshambuliaji kutoka Ivory Coast na mwingine kutoka Brazil
Mkurugenzi Singida United, Festo Sanga amewataja...
Kabla ya kutaka kubet, nimejaribu huu mchezo wa p12 ili nione nafasi (chances) za mimi kushinda mechi zote. ufafanuzi ni kama ifuatavyo
kila mechi ina matokeo matatu. kwahiyo uwezekano...
Leo timu ya Yanga imethibitisha kumsajili tena Mrisho Ngassa akitokea Ndanda Fc.
Yanga kwenye hili wamechemka kwani muda umeshamtupa mkono 'Anko Ngassa'
"Mtoto yatima hadeki"
UPDATES:
Uongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.