Yanga,Simba na JKU watinga Kenya sport pesa super cup, Singida kuwafuata

RAHA KAMILI

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
203
83


Kikosi kamili cha Yanga Sports Club kilichoelekea nchini Kenya kwenye michuano ya SportPesa Super Cup .

Vikosi cha Yanga ,Simba, JKU cha Zanzibar vimeondoka nchini kwenda Nairobi nchini Kenya.Yanga ,Simba ,Singida united na JKU wanakwenda kushiriki michuano ya SportPesa Super Cup itakayofanyika Nakuru nchini Kenya.Michuano hiyo itaanza Jumapili ikishirikisha timu nane, nne kutoka Tanzania na nne kutoka Kenya.



Kikosi kamili cha Simba SC kilichoelekea nchini Kenya kwenye michuano ya SportPesa Super Cup. Simba wanatarajiwa kufungua dimba na Kariobangi Sharks Jumapili kabla ya mahasimu wao wa jadi, Yanga kuvaana na Kakamega Homeboys Jumatatu 4, mechi zote zikichezwa Uwanja wa Afraha, Nakuru, Gor Mahia itaanza na JKU Juni 3, wakati Singida United itaanza na AFC Leopards Juni 5. Kikosi kamili cha timu ya Jeshi la Kujenga Uchumi(JKU)
 
Back
Top Bottom