Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nimekumbuka mbali sana leo My classmate Ally mayay alivyoandikwa na lile gazeti Japo ilikuwa kweli hawakumtendea haki Habari ile ilimtia simanzi,alishinda ndani analia tu,rafiki zake, John...
8 Reactions
40 Replies
2K Views
Asalaam Aleykum TUSIDANGANYANE hapa ama kuzungukazunguka, kwenye uongozi wetu wa mpira wa miguu nchini umejaaa figisu na tumeshaamza kuziona ila ukweli ni kwamba kama huna PESA huwezi kukalia...
2 Reactions
2 Replies
311 Views
Ukizitazama sifa za urais wa TFF kwa juu juu utaona mbona ni sifa nyepesi tu za kawaida.... Ni kweli, lakini sio rahisi kwa candidate mmoja ku-meet sifa zote kwa asilimia 100. Hebu zisomeni hapa...
4 Reactions
75 Replies
3K Views
Serikali ikianza kukwepa majukumu yake na kukimbilia vitu vya kisiasa visivyo na maana mtu masikini hugeuka kuwa kama mpira wa kona. Mwl Nyerere alishaonya kwenye moja ya hotuba zake za mwaka...
11 Reactions
32 Replies
2K Views
Onlyfans model fati Vasquez has threatened legal action over the threats she has received since being seen holidaying with Lamine yamal. Vasquez, who also a youtuber and fitness influencer was...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Usajili was Liverpool FC Hadi Sasa unatisha,nadhani msimu ujao tunabeba tena! Hadi Sasa , Georgio mamadashavili Toka valencia,Jeremie frinmpong Toka Leverkusen,florian wirts toka Leverkusen ,pia...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Mchezaji wa zamani wa Klabu ya Yanga, Ally Mayay, leo Juni 20, 2025 amerudisha fomu ya kugombea nafasi ya Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF). Mayay amegusia suala la baadhi ya wagombea...
0 Reactions
21 Replies
1K Views
Uchaguzi wa TFF una viashiria vya rushwa kwenye upande wa kupata endorsements kutoka kwa wajumbe. Mwenye fedha nyingi anaweza kununua endorsements zote na wengine kukosa hata moja. Uchaguzi...
4 Reactions
19 Replies
967 Views
Viwanja vitaboreshwa vitawekwa nyasi za kisasa na sio kapeti, viti vitakua na namba, vitakuwa na mapaa, vyoo vitakua visafi, kutakua na VAR, vitakuwa visafi na hakutakua na mechi ya saa nane...
3 Reactions
68 Replies
2K Views
Salaam Members! Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeutangaza uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo Dar es Salaam, Tanzania kuwa mwenyeji wa mchezo wa ufunguzi wa Fainali za Mataifa Bingwa...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
BODI ya Ligi ya Tanzania (TPLB) imemteua Mwenyekiti wa klabu ya Azam FC, Nassor Idrissa ‘Father’ kukaimu nafasi ya Mwenyekiti wa TPLB ambayo imekuwa wazi kufuatia kujiuzulu kwa aliyekuwa...
0 Reactions
7 Replies
756 Views
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Wallace Karia amesema Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) wanampenda Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassani kutokana na juhudi zake...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi amekuja mbele kuudanganya Umma kuwa tuchukue fomu wakati wanajua Endorsement zote zimeshachukuliwa, Yani tunaochukua fomu tunatoa swadaka, mimi sitakubali kutoa...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Waislamu ndiyo wenye hatimiliki wa mpira wa Tanzania? Mbona wakristo ni wachache kwenye vile vyombo vinavyoongoza mpira kwenye nchi hii kwa maana TFF aisee na hizi timu mbili za kariakoo Simba na...
6 Reactions
76 Replies
3K Views
Nyota wa zamani wa Yanga Sc na timu ya Taifa,Taifa Stars, Ally Mayay Tembele ametangaza nia ya kushiriki uchaguzi mkuu wa TFF mwaka huu kama mgombea nafasi ya Urais wa Shirikisho hilo unaotarajiwa...
8 Reactions
41 Replies
3K Views
Nadhani watu wamechoka kuona zege tu pale kwa Mkapa. Tutafute namna ya kuufanya uwanja uonekane tofauti. Wataalamu walio decorate Amahoro Stadium ya Rwanda wapo, nje inakuwa na mfumo wa kupendeza...
0 Reactions
2 Replies
341 Views
We are getting the first game 7 in the NBA finals since 2016 after the Indiana pacers beat Oklahoma city thunder 108-91 and force game 7.
1 Reactions
1 Replies
244 Views
Lionel Messi inspired inter miami to a 2-1 comeback victory over porto at the club world cup with a signature stunning free kick. Meanwhile a win for palmeiras earlier on Thursday left both sides...
1 Reactions
1 Replies
428 Views
Hii mada nilikuwa nataka niielezee kwa upana ila nadhani kwa ufupi itajitosheleza. Timu za Simba na Yanga zimebeba mioyo ya asilimia kubwa ya Watanzania. Wote tunajua inayosemekana ni historia...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Mchezo wa Dabi nchini Libya kati ya Al-Ahli Tripol dhidi ya Al-Ittihad ulisimama katika dakika ya 39 baada ya Mashabiki wa Al-Ahli kuvamia uwanja kupinga goli la kutangulia la Al Ittihad. Mwamuzi...
2 Reactions
5 Replies
594 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…