Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Dante kumtandika kichwa shabalala ,na kotei alipompiga ngumi ya wazi kabisa karibu na refa mchezaji wa yanga ,povu lijeeee
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Hopeless kabisa! Na bahati yenu na nina uhakika Siku ya leo hamtokuja Kuisahau kwani nilizozihesabu mmekoswakoswa za Kihalali kabisa ni Sita ( 6 ) Halafu linahojiwa badala lizungumze Kiufundi na...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Mmoja wa Mfanyakazi Mwandamizi kabisa wa Klabu ya Manchester United ametoa Siri ya kwamba kuna dalili zote na za kutosha kuwa Wiki ijaya Kocha ' Mbwatukaji ' na mwenye ' Nyodo, Ujivuni pmoja na...
7 Reactions
19 Replies
3K Views
Kumekuwa na majigambo mitaani na kwenye mitandao ya kijamii kutoka kwa wapenzi na mashabiki wa klabu tajwa hapo juu, kwamba kesho wanaua. Napenda kuwashauri, hayo matokeo waliyokuwa nayo waanze...
7 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari Wadau wa mieleka...bwana weee katika vitu napenda basi ni huu mchezo wa mieleka hususani wwe,hata kama mtananga uwe saa ngapi nitasubiri, game ya leo alfajiri wwe summer_slam kati ya lesnar...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
4-1 ni ushindi wa Chelsea walioupata Stamford Bridge dhidi ya Cardiff City katika mechi ya ligi kuu nchini England jumamosi iliyopita Septemba 15. Kante alicheza dakika zote 90 katika mechi hiyo...
9 Reactions
40 Replies
6K Views
Mtabiri huyu anakubalika sana Sumbawanga. Aliwahi kutabiri Yanga kutembeza bakuli na kweli leo hii tunashuhudia bakula kubwa tu likitembezwa tangu Magufuli aingie madarakani
3 Reactions
23 Replies
6K Views
Bondia Mtanzania Jonas Segu, maarufu 'Black Mamba' amefanikiwa kumshinda Bondia David Rajuili kutoka Afrika ya Kusini katika pambano la ubingwa wa WBF Africa Lightweight Champion lililochezwa siku...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Wana Simba SC ' Kazi Imekwisha ' na popote pale ulipo anza Kusheherekea kwani tunashinda Goli 2 kwa 0. Nitoe pia ONYO mapema kwa wana Yanga SC kama unajijua kabisa una matatizo ya Moyo / Presha na...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimeikuta hii mahala fulani, nikamkumbuka mzee mmoja kule Masasi, Mtwara. Huyo mzee Yanga ikicheza na Simba huondoka kijijini kwao na kushinda shamba mpaka usiku ndipo anarudi kijijini, na kesho...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Pamoja na usajlii wa zaidi ya billioni mbili lakini hawakufua dafu dhidi ya vijana wako. Nakuhakikishia kuwa UBINGWA wa mwaka huu ni wa Yanga.
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu taarifa zinanifikia sasa hivi kwenye simu yangu ya mkononi kuwa tokea saa 5 asubuhi ya leo afya ya mshambuliaji Medy Kagere imezol(r)ota na ni wazi kabisa mechi ya leo hata hasitokee...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa jinsi hali ilivyo ni wazi kuwa wachezaji wa man united hawamtak jose mou.mimi ngemshauri mambo mawili. 1. Akae nao chini waongee wayamalize asiwe na kiburi maana kama wameamua ku Unite against...
3 Reactions
71 Replies
6K Views
Awali ya yote nianze kwa kuwasalimu wanajamvi... Mara baada ya salamu niende moja kwa moja ktk mada lengwa.. Leo kutapigwa mechi moja ya nguvu sana kati ya watani wa jadi.. hivyo basi ninaweka...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Wadau habari za muda huu, Kama heading inavyojipambanua,leo kipindi cha kwanza na game nzima kwa ujumla itaisha kwa simanzi,majuto,fedheha,aibu,ghazabu na harubu,dhiki na mateso kwa simba jike...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ushindi daima hali ya hewa inaonyesha mnyama analala chali kesho 1. Klaus Kidoki 2. Paul Godfrey 3. Gadiel Michael 4. Vicent Andrew 'Dante' 5. Kelvin Yondani (C) 6. Feisal Salum 'Fei toto' 7...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Baada ya Wiki mbili zijazo Man Utd atakuwa nje ya top4 hili halina ubishi kwa kutizama ratiba yao tu huitaji uwe na PhD uelewe nini kitajiri. Jumamosi ijayo saa 8:30 kwa majira ya Afrika ya...
2 Reactions
38 Replies
8K Views
Wengi najua mmeona clip ya leo mazoezini kilichotokea kati ya pogba na mr Joseeee, ilionekana pogba akiwa kwenye good mood kaingia kwa mbwembweee kampa hi 5 michael carrick na staffs wengien...
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Ni FlashBackSaturday kuelekea kwa pambano la DSM Derby siku ya Jumapili, Unajua kwanini Klabu ya Yanga wanaitwa Gongowazi na Ndala? Majina haya kiasili yalianza kuvuma sana mwishoni mwa miaka ya...
6 Reactions
59 Replies
16K Views
Kuelekea mchezo wa mpira wa miguu maarufu sana Afrika Mashariki na Kati wa watani wa Jadi baina ya Simba SC na Yanga SC.. Uongozi wa Klabu ya Simba SC umeamua kuwapeleka wachezaji wake kwa Mganga...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Back
Top Bottom