WWE SUMMER_SLAM 20/8/2018

Iceberg9

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
24,565
47,012
Habari Wadau wa mieleka...bwana weee katika vitu napenda basi ni huu mchezo wa mieleka hususani wwe,hata kama mtananga uwe saa ngapi nitasubiri, game ya leo alfajiri wwe summer_slam kati ya lesnar the beast himself VS Romain Reign kwa mara nyingine tena wakikutana summer slam wakishindania universal championship belt mtananga ulikua ni moto nilichofurahi ni the big Dog romain reigns kumpa kichapo the beast nakuchukua mkanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema kijana wangu roman reign ni mbishi sijapata ona,hakubali kushindwa kirahisi
IMG_20180820_095148_445.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuwe wakweli, hii kitu ilipangwa sababu lesnar anataka kuachana na wwe aemde ufc.
One on one Roman has no chance of defeating the beast.
 
Tuwe wakweli, hii kitu ilipangwa sababu lesnar anataka kuachana na wwe aemde ufc.
One on one Roman has no chance of defeating the beast.
The beast is coward.... Last week kesnar kafanya mambo ya kiouuzi sana yule kamtuma paul akampulizie spray machoni roman resign halafu akatokea kamu attack roman resign huku akiwa haoni huoni ni kama amezidiwa.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuwe wakweli, hii kitu ilipangwa sababu lesnar anataka kuachana na wwe aemde ufc.
One on one Roman has no chance of defeating the beast.
Kwa siku za karibu Roman Reign amemmudu sana Brock Lesner .
Saudi Arabia ni kama alimshinda , sema maamuzi ya official's yalichanganya. Mwaka juzi bila Seth kuingilia pia alikuwa ameelekea kumshinda Lesner .

Kingine Brock amekuwa hawapi wapinzani wake nafasi, kwa kubaki na mkanda nje bila kutetewa angeshapigwa siku nyingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The beast is coward.... Last week kesnar kafanya mambo ya kiouuzi sana yule kamtuma paul akampulizie spray machoni roman resign halafu akatokea kamu attack roman resign huku akiwa haoni huoni ni kama amezidiwa.......

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mwaka jana alitumia police fake wakampiga pingu kwanza ndio akamshugulikia .
Kwa kweli Brock ana nguvu lakini mbinu zake dhidi wapinzani si za kishujaa ni za uoga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ila mwana dada Ronda Rousey ni wa sayari nyingine kabisa, kwa namna alivyo mshugulikia Alexa mwanzo mwisho sijapata kuona!
 
Mechi niliyoipenda ni mechi Kati seth na zigger pale huwezi kusema matokeo yalipangwa
 
Habari Wadau wa mieleka...bwana weee katika vitu napenda basi ni huu mchezo wa mieleka hususani wwe,hata kama mtananga uwe saa ngapi nitasubiri, game ya leo alfajiri wwe summer_slam kati ya lesnar the beast himself VS Romain Reign kwa mara nyingine tena wakikutana summer slam wakishindania universal championship belt mtananga ulikua ni moto nilichofurahi ni the big Dog romain reigns kumpa kichapo the beast nakuchukua mkanda

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo mchezo mm anataka na show ya kuduu bas ntaacha ili niangalie 2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The shield is back on track wanapiga hao hakuna atakae baki salama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom