Wanadai eti 'Uzalendo Kwanza'!!
Kwa soka lile, mipango ile, matokeo yale, kujituma kule kwa 'mapro' wetu n.k kuna Uzalendo kweli pale??
Kwangu mimi 'Simba SC Kwanza.. Mengine Baadae'. Kwanini...
7-year-old American Football Prodigy
7-year-old American football prodigy has the attention of pro football players, LeBron James, and More! He's a Superstar in the making
Nashangaa sana tuna tumia pesa nyingi sana kuisafirisha hii timu kwenda kucheza huko nje ya nchi miaka yote hii wanafungwa tu ni kama vile gemu kwao ni tabu sana. kwanini serikali isiamue timu ya...
Klabu za ligi kuu ya England Everton, West Ham,Burnley na brighton zinamtaka staika wa Genk. Magazeti ya England standard London na mirror wameripoti habari hizo.
Samatta amekuwa kwenye kiwango...
Mara nyingi mwanadamu anaishi mara moja tuu.. ndiyo! ni moja tuu...
alizaliwa pale Argentina.. akatua nchini hispania akiwa na miaka kumi!...na tena akiwa na matatizo changu nzima.. lakini...
Zimebaki story Tu . hapo zamàni ilikuwa ikawa mpaka sasa hakuna jipya kinachofanyika ni uzuzu tu . kama tukiendelea kutegemea mafanikio ya mpira kuptia hawa kina kichuya , yondani , Ulimwengu na...
Wana jamvi, habarini na poleni kwa majukumu ya kila siku, poleni kwa msongo wa mawazo kutokana na sintofahamu iliyotanda ya kutekwa kwa mkurugenzi wa Melt group mdau mkubwa wa timu ya Simba bwana...
Nauliza tu ,Taifa Stars wanaoenda Cape Verde au waliocheza na Uganda imejumuisha wachezaji wa Zanzibar ili ule uwakilishi wa Kitanzania uonekane
Wakati Taifa Stars wakiwa uwanjani vibao vya...
Wamiliki wa klabu ya Manchester United wameweka wazi msimamo wao kuhusu mchezaji Paul Pogba .
Familia hiyo inasema Pogba Ni Messi wa Manchester United Ni mchezaji muhumu zaidi kwenye mipango ya...
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Harmonize, ambaye pia mshabiki mkubwa wa Ndanda SC, ametoa shilingi milioni 3.5 kwa ajili ya kuisaidia timu hiyo ambayo imekwama mkoani Singida...
"Haina Kufeli"...msemo ambao Mchezaji anayekipiga katika ligi kuu ya Ubelgiji anautumia mara nyingi akimanisha katika maisha usikate tamaa.. kile kipawa ulichopewa na mwenyezi Mungu basi Kwanza...
Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF) Wakili Revocatus Kuuli amejiuzulu wadhifa huo
Kuuli amefikia hatua hiyo kwa kumuandikia barua Rais wa TFF, Walace...
Lengo liwe kuwajulisha wanachama kilichotokea na kuwaomba walisaidie jeshi la polisi kupatikana kwa MO akiwa salama u salimini , ikumbukwe kwamba wanachama na wapenzi wa Simba ni wengi na...
Ukiangalia kipaji alichonacho mchezaji huyu naona kabisa anachelewa. Au hana malengo ya kucheza Ulaya? Maana muda haumsubiri atakuwa kama Ngassa.
Mlio karibu naye mwamsheni.
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kikiwa ndani ya ndege maalumu ya kukodi kuelekea nchi ya Cape Verde kusaka tiketi ya kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika AFCON 2019.
Awali...
Katika Ligi Kuu Tanzania Bara VPL, leo Yanga SC, kukipiga na Mbao FC katika dimba la Taifa jijini Dar es salaam.
Mchezo wa leo unatabiriwa kuwa wa ushindani kufualitia kumbukumbu ya mchezo wa...
Mkenya aliyefanikiwa kubashiri kwa ufasaha matokeo ya mechi 17 mwishoni mwa wiki amejishindia jumla ya Sh221m za Kenya, ambazo ni sawa na dola 2.2m za Marekani.
Kijana huyo wa umri wa miaka 28...