Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Timu hii ilidharaulika sana hasa msimu huu.Ajabu,pamoja na ubovu wao na kudharauliwa kote huko,KILA MECHI WANASHINDA! Ni nini SIRI ya MAFANIKIO YA TIMU HIYO ILIYOCHUKULIWA POA HAPO KABLA?!
7 Reactions
44 Replies
4K Views
Nashangaa Mourinho anavyohangaika kumsajili Nemanja Matic au Eric Dier kama viungo wa ulinzi yaani namba 6. Kwanini asimsajili Sergio Busqet, kiungo matata katika nafasi ya Defensive Midfielder...
32 Reactions
276 Replies
33K Views
Wakazi wa Dar kupitia vhama cha mashabiki wa soka wamemuomba Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Paul Makonda pamoja na mfanyabiashara maarufu mzee Mengi wawskodie basi litakalowasafirisha hadi Lesotho...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imepanda katika list ya viwango vya soka vya dunia FIFA iliyotolewa hii leo Alhamisi Oktoba 25, 2018 Katika viwango hivyo vilivyotolewa na FIFA, Taifa Stars...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Ni Europa league, Genk vs Bestikas ambapo Samatta atacheza dhidi ya mlinda mlango mbovu Karius aliyekuwa Liverpool. Lne up ishatoka Samatta kaanza kama kawa
4 Reactions
40 Replies
6K Views
An elderly Brighton fan has died after being taken ill before their Premier League game against Wolves. The club said the fan attended the home game at the Amex Stadium with his son and was...
2 Reactions
2 Replies
782 Views
Mo Salah wa msimu uliopita sio huyu wa msimu huu. Kasi ya kufunga imepungua sana,umakini ndani ya box la adui umepungua pia, amekuwa ni mchezaji mwenye papara na kupoteza mipira kirahisi sana. Je...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanatafuta kocha wa makipa ..
0 Reactions
1 Replies
467 Views
-Bodi ha Ligi ya Tanzania Bara imeahirisha mechi tatu zinazohusu vilabu vya Simba, Yanga na Azam ili kupisha maandalizi ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ambayo inatarajia kuingia kambini...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ligi Kuu Tanzania bara TPL, kuendelea kutimua vumbi kwa wakati huu wa saa 19.00 usiku, ambapo KMC kutoka wilaya ya Kinondoni, Dar kuwakaribisha Yanga SC katika uwanja wa Taifa jijini Dar es...
3 Reactions
206 Replies
19K Views
Ushindi wa jana wa simba wa magoli 5 dhidi ya Alliance umegubikwa na utata..Alliance waliingia uwanjani bila ya kocha wao mbwana makata ambaye alijiondoa kwenye benchi la ufundi mara baada ya...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
MCHEZAJI ROBIN VAN PERSIE ATANGAZA KUSTAAFU KUCHEZA SOKA MWISHO WA MSIMU 2018/19 Mshambuliaji huyo wenye miaka 35 kwa sasa anaichezea klabu ya Feyenoord ya Uholanzi alipoanzia kucheza soka la...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Bondia Hassan Mwakinyo amesaini mkataba wa miaka mitatu na kampuni kubwa zaidi ya kubashiri nchini ya SportPesa.SportPesa imesaini mkataba huo na kuutangaza leo ingawa ni kiasi gani imefanywa kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mara ya mwisho simba kuchukua ubingwa ilikuwa mwaka 2012,baada ya miaka minne kupita simba imefanikiwa kutwaa tena ubingwa au kombe ambalo dar-es-salaam young afrika walilichukua mpaka Tff...
8 Reactions
24 Replies
7K Views
Kama wewe n mfatiliaji mzuri wa mpira wa miguu utakubaliana na mimi kwamba timu tajwa hapo juu ndio znaongoza kwa mashabik hapa tanzania....tupeane mawazo ilikuaje wao tu na hakuna upinzan...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Petr Kellner Taarifa mbalimbali kwenye duru za michezo zinaeleza kwamba mabilionea wawil Roman Abramovich na blionea wa kutoka jamhuri ya Czech aitwae Petr Kellner wanataka uuziana timu ya...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa vile hakuna sababu yoyote ya kitaalam wala ya kisoka itayomridhisha Mtanzania yeyote mpenda soka hata kama ni kipofu au kiziwi , basi bila shaka zipo sababu zingine zilizosababisha Kamati ya...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Baada ya mapumziko ya siku 2, hatimae TPL inaendelea leo (24/10/2018) tena. Bingwa Mtetezi, Simba SC anawakaribisha 'Watoto wa Sekondari' Alliance FC katika dimba la Taifa Stadium. Mechi hii...
13 Reactions
162 Replies
19K Views
Orodha ya timu bora za soka kwa wanaume iliyotolewa na FIFA leo oktoba 25, Taifa Stars imeshika nafasi ya 136 ikiwa imepanda kutoka nafasi ya 140 kwa mwezi uliopita Uganda iliyo nafasi ya 79...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Miaka ya nyuma ilikuwa ni nadra sana au ilikuwa hamna kabisa mchezaji ligi kuu Uingereza aliokuwa na uwezo wa kuwasiliana kwa lugha adhimu ya kiswahili, miaka imeenda na mambo yamebadilika...
6 Reactions
31 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…