Kocha wa Timu ya taifa ya Libya ambaye amewahi kuzifundisha kwa nyakati tofauti timu ya taifa ya Kenya na vilabu vya Usm Alger na Es Setif bwana Adel Amrouchi amekunwa na kiwango cha kiungo Fei...
Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania amepewa heshima ya kuvaa jezi maalum kwenye mchezo wa leo wa ligi kuu ya Ubelgiji kati ya timu yake ya KRC Genk dhidi ya Club Brugge kutokana na kuwa kinawa wa...
Nipo hapa kwenye kibanda umiza na jamaa wawili watatu tunatazama mpira wa Yanga na Lipuli. Kwa kweli Yanga ni tia maji tia maji. Mpaka sasa dakika ya 65 wana goli 1 tu.
Mpira umepoa...
Waungwana Kristu/Asalyaleykum....
Waungwana mi ni mgeni kiasi katika biashara hii ya kubeti.
Naombeni mnijuze kampuni gani zuri kwa ajili ya kubet ni lini? Kati ya MBET, SPORTPESA, MERIDIAN na...
Kwa mujibu TFF inayoongozwa na ma-nazi wa simba, kupitia afisa habari wake Clifford Ndimbo imeeleza kuwa Mohamed Isa Banka ni mchezaji halali kabisa wa Mtibwa Sugar, kwani Yanga walishindwa...
Fainali ya kwanza ya michuano ya Caf kati ya Al Ahly na Esperance.Saizi ni Half time Al ahly wanaongoza bao 1-0
Dakika ya 58 Al Ahly wanapata bao la pili
Mechi inaonyeshwa live zbc 2
Watanzania akili zetu zimelala sana wanao taka Manji aendelee kuwa mwenyekiti sio kama ni Kiongozi mzuri ila eti ni kwa sababu ana pesa
Hayo mambo yamepitwa na wakati kilabu kubwa kama Yanga kuka...
Mshambuliaji huyo wa Kimataifa wa Denmark mwenye miaka 30 amehukumiwa kifungo cha siku 50 baada ya kupatikana na hatia ya kumdhalilisha mwendesha 'taxi' katika Mahakama ya mji wa Copenhagen
Hata...
Shirikisho la soka duniani(FIFA) limempa kifungo hicho Makamu wa Rais wa Kwanza wa CAF, Kwesi Nyantakyi ambaye pia ni Rais wa zamani wa Shirikisho la Soka nchini Ghana
Ni baada ya kubainika...
Baraza la Michezo nchini(BMT) limeitaka Yanga kufanya uchaguzi na usimamiwe na TFF kwani Kamati ya Uchaguzi ya Yanga haijitoshelezi
Aidha, limeamuru Wanachama wote wasio na kadi kwenda kwenye...
Kuanzia kesho tarehe 24, Oktoba 2018, Chaneli ya Super Sport 7 (SS7) namba 207 itaanza kupatikana ndani ya kifurushi cha Compact ambacho bei yake ni Tshs. 69,000/= kwa mwezi.
Chaneli hiyo...
Huyu mshambuliaji huyu wa Azam Fc ambaye wakati anatoka Kagera Sugar alikuwa wa moto sana, hadi akawa hakosekani timu ya taifa.
Wengi tulimtabiria makubwa baada ya kutua Azam Fc, lakini sasa...
Imeripotiwa kua 28/10/2018 vijitetemeko vidogo vilirekodiwa katika sehemu mbali mbali nchini, na hii ilikua ni kuanzia saa 1 kamili usiku hadi 3 kasoro.
Vitetemeko hivyo vilitokana na shangwe za...
Ni hatari sana kwa kweli. Genk wamerudi kileleni,club brugge ya 2 royal antwerp bado ya 3
goals ni 4-2 ,Samatta kapiga 2 hivyo anaongoza msimamo wa wafungaji bora akiwa na GOALS 10
SAFI SANA...
Kamati ya kuzuia na kupambana na dawa zisizoruhusiwa michezoni ya Kanda ya Tano Afrika (RADO) imetoa hukumu ya kumfungia mchezaji Mohamed Issa banka kutokana na matumizi ya dawa zisizoruhusiwa...
Whatever lotto game you decide to play, first do these important checks:
1. The game is state backed. Make sure your government is behind it for added security.
2. Do not play lottery games...
KAZIKAZI YANGA IMESHINDA TENA 1-0
PTS 3
NDUGUZETU WA KARIAKOO MSIMBAZI NASIKIA NAO WAMEPIGA MTU TANO.PTS TATU AGAIN TANO PTS TATJ
DDOH MPIRA WA MIGUU AUKO FAIR..KABISA
Nimesikia leo kuwa mchezaji Ibrahim Ajib wa klabu ya Yanga kaomba asicheze mechi leo dhidi ya KMC kwa kuwa anaumwa.
Nimekuwa natafakari sana suala hili kwani mie hupendelea sana kumuona akicheza...