Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Ukiangalia kikosi kinachoa anza, ni rahisi hata kubet na kuiua stars. Kocha huyu hajifunzi hata mechi ya kule verde, wachezaji waliobadilisha mchezo bado amewaweka benchi. Hivi ametumia akili...
0 Reactions
0 Replies
723 Views
Hali ya barabara ya kuelekea Cameroon kwenye fainali za AFCON au CON 2019 ikionekana kuwa safi na siyo na matuta mengi. Tanzania inacheza na Lesotho jumapili hii ikiwa na pointi 4 nyuma ya Uganda...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
TFF ambao ndio wasimamizi wa mpira wa miguu , wanaye msemaji wake hakuna haja ya waziri kupora cheo cha mtu , ataharibu ! Ifahamike kwamba TFF inaye msemaji wake ambaye analipwa kwa kazi hiyo ...
7 Reactions
41 Replies
4K Views
Maradona; Nimesha sema sana Mourinho ni kocha bora sana kuliko Gardiola. -Mfumo wa tick tack(pasi nyingi)yeye sio mwanzilishi,ameiga kwa Johan. -Kwa sasa anabebwa na pesa za waarabu,anasajili...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
1. Aishi Manula 2. Ramadhan Kessy 3. Abdi Banda 4. Erasto Nyoni 5. Kelvin Yondan 6. Jonas Mkude 7. Simon Msuva 8. Mudhathir Yahaya 9. Shaban Chilunda 10. John Boko 11. Shiza Kichuya Ni huyu huyu...
4 Reactions
56 Replies
7K Views
Mungu tunakuomba uibariki na kuiongoza timu yetu ya Tanzania katika mchezo dhidi ya Lesotho...... Mungu ukawabariki walinzi wake wote bila kumsahau Manula..... Ukawatie nguvu na wepesi katika...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni dhahiri kuwa baada ya Uganda kuichapa Cape Verde pale Kampala na hatimaye kufuzu AFCON 2019, Tanzania ina nafasi kubwa sana ya kufuzu pia. Sasa wakati timu yetu ikisubiri kutupa zawadi hiyo...
2 Reactions
100 Replies
11K Views
Wengi wanaibeza Lesotho na kuona kuwa tumewafunga. Swali Kama ni kibonde Mbona tulishindwa kuwafunga hapa TZ tena mbele ya kina Samata. Tunaweza tusiamini kesho ratio wachezaji wetu ni wepesi...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
kila la kheri taifa stars
0 Reactions
1 Replies
702 Views
My own expected line up Aishi Manula, Erasto Nyoni, Gadiel Michael,Abdi Banda, Kelvin Yondani, Himidi Mao,Shiza Kichuya, Mudathir Yahya, Simoni Msuva, John Bocco, Thomas Ulimwengu. Tutamkosa...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu heshima mbele, nimewiwa kuandika hii sredi baada ya kufuatilia historia ya muanzilishi na mmiliki wa limbe leaf baadae Tukuyu stars Ramnik Patel, kwa ufadhili wa huyu mhindi Tukuyu stars...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Kipigo cha goli 1-0 walichokipata Cape Verde leo Nambole stadium kimeongeza matumaini ya timu yetu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kuvuzu Afcon itakayofanyika nchini Cameroon. Stars ambayo...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kamwe cjawah kuona tija ya kumwita ulimwengu hajitambui kabsa awapo uwanjani anakimbiakimbia na kuzunguka na kukosa welekeo hajitambui kabsa wajibu wake anatumia nguvu nyingi bila msingi wowote...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
mechi ya tz vs lesotho inaonyeshwa app/website ipi kwa wanaopendelea kutazama kwenye gadget.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Timu ya Fulham inayoburuza mkia kwenye msimamo wa ligi kuu ya England imemtimua kocha wake Slavisa Jokanovic baada ya kuambulia pointi 5 tu katika mechi 12 , nafasi yake imechukuliwa na Mkongwe...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
kwa kifupi ni kama vile burndi,kenya na uganda walisha qualify tukaze na sisi tupite for the fisrt time afcon iwe na teams 4 toka east africa
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Hbr bandugu, Kesho ndo tutajua hii kauli ya mzee wetu bado ipo au imekufa. Tukikosa kesho, labda undugu wa Jiwe na mu 7 utatusaidia tena.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Live update Uganda vs cape Verde Live ZBC2 Game on
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Ili kukata mzizi wa fitna, kama kweli wanachama wanamhitaji manji na yeye amerithia, wamchukulie form ya kugombea, then wampitishe kama mwenyekiti wao kwa kura, kama TFF walikuwa na mtu wao walio...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hope mko poa wakuu niko curious bei za gym zikoje dar preferably za mitaa ya makumbusho mpka mwenge
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…