Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wagombea Uenyekiti ni Dk. Jonas Benedict Tiboroha, Mbaraka Hussein Igangula na Erick Ninga. Wagombea wa umakamo ni Titus Eliakim Osoro na Salum Magege Chota. Kwa upande wa nafasi za Ujumbe ni...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa shirika la habari za michezo la Sky Sports, kiungo wa Arsenal ya Uingereza, Aaron Ramsey amekubali kujiunga na klabu ya Juventus ya Italia mwisho wa msimu huu Mchezaji huyo wa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari members!!! Dakika 90 zimeisha kati ya Simba SC na Mlandege uku Simba akiibuka kidedea kwa ushindi wa Goli Moja dhidi ya Mlandege nao wakiambulia Patupu(Sifuri). Goli likifungwa na Haruna...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Mchezaji wa klabu ya Yanga, Mzibambwe, Thaban Kamusoko, ameamua kuachana rasmi na Klabu hiyo. Mchezaji huyo kupitia ukurasa wake wa Instagram, ameandika akiwashukuru wadau na mashabiki wa timu...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
TIMU ya Arsenal imepangwa kukutana na Manchester United Uwanja wa Emirates katika raundi ya nne ya Kombe la FA. The Gunners wanashikilia rekodi kwa kushinda kombe hilo mara 13, nao United ndiyo...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Hakika ni busara kwa Viongozi kuwa na busara ya kuwasikiliza walio chini yao. Klabu ya Simba ina kabiliwa na Mashindano makubwa barani Afrika. Mashindano hayo yanahitaji Wachezaji wenye uwezo na...
0 Reactions
41 Replies
11K Views
United imepangwa kucheza mechi ya ufunguzi dhidi ya Kaimu bingwa wa Ligi Kuu ya Kenya, Bandari FC, katika michuano ya SportPesa Cup inayotarajiwa kutimua vumbi kwa msimu wa tatu mfululizo kuanzia...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika limeitangaza rasmi leo nchi ya Misri kuwa mwenyeji wa michuano hii itakayofanyika mwezi wa 6 mwaka huu. Hii ni baada ya muundaaji wa mwanzo Cameroon...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu, Naombeni kujua mechi kati ya spurs na chelsea itaonyeshwa kwenye chaneli gani na kstika king'amuzi gani? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Katika kupitapita nimekutana na Makala ya mwanaspoti ikielezea habari ya mchezaji chipukizi aliyezaliwa singida anaeitwa Michael John Lema. Mchezaji huyu kwa sasa anachezea timu ya sturm graz ya...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Wasalimu ndugu zangu na wasio ndugu pia baada ya salama nijielekeza moja kwa moja ktk mada kama. Ilivo.... Kwanza nianze kwa kuipongeza timu yetu ya mashujaa kutoka mkoa wa kigoma kushinda mchezo...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Kilichofanya mashabiki Wakajaza uwanja katika mechi yenu na nkana ni kiingilio cha chini ambacho watu wa chini waliweza kukimudu so msije mkavimba vichwa mkapandisha viingilio vya mechi ijayo...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Nimemsikia kocha wa Simba akisema baada ya kuona Nyoni kaumia,eti analeta kikosi B kimalizie mashindano,hivi hakujua kua ana mashindano mawili makubwa yanamsubiri zaidi ya bonanza la mil 15? Luna...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Sajili mbovu ambazo sio mapendekezo ya Kocha, Mf. Yule golikipa ambaye yupo mapinduzi ambaye kocha Zahera alimkataa. Si ajabu kukuta kasajiliwa kwa mamilioni ya kwenye makaratasi huku ukweli akiwa...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
HAYA HAYA TWENDE NA Dr WA MICHEZO NA MTU MAKINI KUTUVUSHA HAPA TULIPO..... CHAGUA DR TIBOROHA KWA MAENDELEO ENEDELEVU YA YANGA..... Don't waste your vote on 13th Jan 21019 TIBOROHA OYEEEEEEEEEEEEE
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna vita inaendelea kwenye social media kati ya watu wawili ambao wanajulikana ni wana Msimbazi kinda kindakindaki. Kila kijembe cha Dauda kinajibiwa kwa kuikashfu Yanga ambayo haina uhusiano na...
5 Reactions
71 Replies
14K Views
Simba wamepeleka kikosi kamili huku Yanga wakipeleka wachezaji wachache tu wa kikosi cha kwanza. Najiuliza tu, ikitokea Simba na Yanga zikakutana aidha nusu fainali au fainali yenyewe, nini...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Wanajanvi naomba kumfahamu vizuri huyu mchambuzi wa mpira anayesikika Tbc mara nyingi . Nani anafahamu vyema huyu jamaa Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Mshambuliaji wa klabu ya Azam fc na taifa stars Yahya Zayd miaka 20 amesaini rasmi miaka 3 na klabu ya Ismailia ya Misri . Zayd amesajiliwa kuongeza nguvu kwa klabu hiyo iliyopo kindi C katika...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…